Simba vs Libolo -LIVE UPDATES

Status
Not open for further replies.
Libolo leo limesimama mwanzo mwisho, simba analisikilizia kwenye koo.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Aaah jaman, haka kasimba kamegeuka kadada poa, kanapigwa bao la nne na Libolo kenyewe kametulia tu! Sio bure kuna kitu
 
Aisee hawa libolo walikunywa mkuyati bila shaka!
 
Full tme libolo 4 simba 0 hii ndio simbaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Aaah jaman, haka kasimba kamegeuka kadada poa, kanapigwa bao la nne na Libolo kenyewe kametulia tu! Sio bure kuna kitu
Alafu libolo halijalala limetandika 4 mfululizo bila kulala

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
hii Simba ya kocha Mfaransa, ni kicwa cha wenda wazimu; inabidi makocha wote, mwenyekiti wa club na Benchi la ufundi wote waachie ngazi
 
MTAZAMO nakubaliana na wewe ni kweli simba inatatizo la beki lakini limeongezeka baadala ya kelvin kuondoka kama unavyofahamu kazi ngumu kwa makocha ni kusuka ukuta imara..tujipange kwa ligi ya msimu ujao..
 
Last edited by a moderator:
Lazima mtu alazimishwa kujiuzulu leo hasa msomali!
 
Alafu libolo halijalala limetandika 4 mfululizo bila kulala

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums

Doh, nasikia hiyo ilitokana na Simba kuanza kwa kutumbuiza kwa kibao cha taarabu, Libolo kuamka ndo ikawa mazima
 
mjinga ni wewe na timu yako mnao fundisha wachezaji usen wewe timu kubwa kama hiyo unaweza kuwalaza kitanda kimoja twite,fuso na chuji huku yule kocha mwenye vikuku akilala na Sendeu halafu unakuja uni binulia mdomo hapa.
Dah mtani una maneno makali kweli....

Sidhani kama kupigwa bao 4 na LIBOLO ndo kumekufanya uongee hayo...

Kweli LIBOLO limewaweza mpaka mmechanganyikiwa....

Lazima mrudi MMELEGEAAA.....Watu watakuwa wanajipigia tu mabao kila uwanja mnaokwenda kucheza....

Tatizo ni Oman mlikoenda kufanya mazoezi....Waarabu waliwaharibu kabisa....Huko nyuma hamkuwa hivyo...Tangu mmetoka Arabuni ni vichapo bin mabao tu...

Na mbado.....
 
MTAZAMO nakubaliana na wewe ni kweli simba inatatizo la beki lakini limeongezeka baadala ya kelvin kuondoka kama unavyofahamu kazi ngumu kwa makocha ni kusuka ukuta imara..tujipange kwa ligi ya msimu ujao..
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…