Kelvin hakuwa mwarobaini wa beki Simba,tuna timu mbovu ambayo hata Scolari hawezi kuiokoa na lawama zote ni uongozi tuache ushabiki wa kijinga kama tunataka mabadiliko!
mjinga ni wewe na timu yako mnao fundisha wachezaji usen wewe timu kubwa kama hiyo unaweza kuwalaza kitanda kimoja twite,fuso na chuji huku yule kocha mwenye vikuku akilala na Sendeu halafu unakuja uni binulia mdomo hapa.
south sudan na angola wapi na wapi? kumbuka south sudan (national team au club) haijawahi kushinda mechi yoyote ya kimataifa! libolo ina wachezaji 6 kwenye timu ya taifa ya angola iliyocheza afcon mwaka huu. dunia mbili tofauti