kagera sugar wamepata penati!
Nasikia kuna penati ebu tupeni taarifa basi
ha ha ha ha ha ha!!mkuu,nipe matoke hadi dakika hii ya sabini!!gemu imeisha hawa wadudu hawana ubavu wa kuzirudisha goli mbili kwa mnyama ..labda tutoe timu libaki goli wazi
bao tamu wamepiga kagera..
2-2
ha ha ha ha ha ha!!mkuu,nipe matoke hadi dakika hii ya sabini!!
....dah Kagera wanasawazisha bwana 2-2
kausha man. Mpira haujaisha bado
Kwa mujibu wa karedio kangu, mabao ni 2-2kwa hiyo sasa ngapi!
habari ya saa hizi mkuu..
sokoine ni bila bila bado..