CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
Mfa maji...................................sijui unatumia kigezo gani au ulitaka Simba ishinde mechi zote. Hata wakati anachukua ubingwa mwaka jana kuna mechi alitoa droo na kupigwa vilevile. Kwa kifupi ujuavyo sivyo, wenye timu tunajua. Ni changamoto tu za ligi na zimetoka kwenye timu nzuri