simba vs kagera live updates

simba vs kagera live updates

Nilichoona ni kuwa Juma Nyosso ni mzuri wa kupanic akitiwa presha lakini lazima tuwasifu kagera kwa hiyo presha waliyotoa kipindi cha pili. Ndo utamu wa ligi, ila tunashukuru hata kwa pointi moja
 
Nilichoona ni kuwa Juma Nyosso ni mzuri wa kupanic akitiwa presha lakini lazima tuwasifu kagera kwa hiyo presha waliyotoa kipindi cha pili. Ndo utamu wa ligi, ila tunashukuru hata kwa pointi moja

Ni ijuavyo simba huu ndo mwanzo wa makali kupungua
 
Ni ijuavyo simba huu ndo mwanzo wa makali kupungua

sijui unatumia kigezo gani au ulitaka Simba ishinde mechi zote. Hata wakati anachukua ubingwa mwaka jana kuna mechi alitoa droo na kupigwa vilevile. Kwa kifupi ujuavyo sivyo, wenye timu tunajua. Ni changamoto tu za ligi na zimetoka kwenye timu nzuri
 
swahiba kamanda Crashwise uko wapi? mganga wenu kafa ghafla ama imekuaje mbona spidi inaendelea kupungua?
 
Last edited by a moderator:
Matokeo ya leo hasa ya Taifa na Sokoine ni mazuri sana. Naziombea timu hizo mbili ziende kwa mwendo huu hata kwa mechi zao mbili zijazo halafu wataona wenyewe upepo utakavyobadilika.

Bravo Simba, Bravo Azam. God bless you all for these impressive results.
 
Back
Top Bottom