simba vs kagera live updates

simba vs kagera live updates

Mkuu EL TORO acha hizo lete matokeo ya kweli,unasema wamesawazisha.Nadhani watakuwa wamekusawazisha wewe,huyo mnyama leo anashinda.
 
nawasikiliza ma pundit wa kibongo starTV
 
Red card kwa kaseja,kamshika uboho mchezaji wa kagera wakati akienda kutupia kitu kunyavu lol
 
kipindi cha pili ndo kishaanza simba 1 kagera 0 ila simba wameanza kwa kasi sana,vipi mbeya mbona kimya Azam na Prisons
 
Red card kwa kaseja,kamshika uboho mchezaji wa kagera wakati akienda kutupia kitu kunyavu lol
mkuu, JF ni sehemu ya kupeana habari si kama unavyofanya, unaharibu maana nzima ya uwepo wako humu. BADILIKA.
 
Back
Top Bottom