simba vs kagera live updates

simba vs kagera live updates

Kama simba kafa kwa droo, Yanga atakuwa ameoza kabisa maana kashakula vichapo viwili na droo moja

Yanga Imeshindwa UGENINI... Hamjaenda Kwao Kagera kama YANGA na huko Morogoro...
Kwanini kuandikia MAJI wakati WINO UPPOO????
 
Matokeo ya leo hasa ya Taifa na Sokoine ni mazuri sana. Naziombea timu hizo mbili ziende kwa mwendo huu hata kwa mechi zao mbili zijazo halafu wataona wenyewe upepo utakavyobadilika.

Bravo Simba, Bravo Azam. God bless you all for these impressive results.

Tartiiibu cream (Yanga) inaendelea kusogea pale juu mahali pake palipozoeleka wakati pumba (hizo nyekundu hapo juu) zimeanza kulowa na kushuka zikijiandaa kuipisha cream ikae mahali pake palipoinuka!
 
Yanga Imeshindwa UGENINI... Hamjaenda Kwao Kagera kama YANGA na huko Morogoro...
Kwanini kuandikia MAJI wakati WINO UPPOO????

Kwani nyie mlipoenda mbeya, moro na kagera mlishinda?
 
Kwani nyie mlipoenda mbeya, moro na kagera mlishinda?

Lanini nyinyi bado Hamjaenda HUKO; Kagera Wamewafuata Dar...
Tulitoka SULUHU MBEYA na MORO na KAGERA - SIJAPATA MATOKEO
 
Back
Top Bottom