Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

Hata wewe ukitaka kuja kutupiga njoo uweke billion 20 zingine sisi tunataka makombe na team ifanye vizuri basi
Bado nawaza kama mudi anadai kaweka 49%, akajipinda tena akampa kimbebezi babra 5% ya maji, alafu ka wifi ka babra kakaweka 10%. Ninyi wana chama na wapenzi wa thimba, Nguvu ya kumwambi mudi out, mtaitoa wapi? pale kanjibai, akianza kwenda mwendo wa glazer?
 
IMG_3810.jpg
 
sema kitu anafanya Benard Morrison akiwa kwao kwenye mapumziko mi kikubwa , anaitangaza vyema SIMBA nje ya mipaka

kupitia page yake ya instagram
 
Back
Top Bottom