Simba SC tunashinda ila Makocha wa JamiiForums tumsaidie Kocha Mgunda kukipanga Kikosi chake

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,647
109,034
Binafsi ningependa zaidi vifuatavyo:

Kikosi A

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Kikosi B

1. Aishi Manula
2. Israel Mwenda
3. Mohamed Hussein
4. Joash Onyango
5. Henock Inonga
6. Saido Kanoute
7. Pape Sakho
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Kikosi C

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Henock Inonga
6. Saido Kanoute
7. Kibu Denis
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Karibuni akina Juma Mgunda wa JamiiForums nanyi kutoa vikosi vyenu. Ila tambueni kuwa Simba SC itashinda mechi hiyo na ushindi kwa Yanga SC ni sare ya magoli au suluhu isiyo na magoli, keshokutwa Jumapili tarehe 23 Oktoba, 2022 Uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Dar es Salaam.
 
Kikosi A

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Hiki kikosi ndio kizuri. Ila badilisha inonga acheze 4 kennedy acheze 6. Basi.
 
Kikosi A

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Hiki kikosi ndio kizuri. Ila badilisha inonga acheze 4 kennedy acheze 6. Basi.
Ngoja tuwasubiri akina Mgunda wengine nao waje na vyao japo Mimi naona kwa Kikosi A Yanga SC si tu anafungwa bali anafungwa nyingi na Watatafutana kwa Mkapa hiyo Jumapili Kudadadeki zao.
 
My kikosi
1.Manula
2.Kapombe
3.Hussein
4.Onyango
5.Inonga
6.Muzammil
7.Sakho
8.Kanoute
9.Phiri
10.Chama
11.Okrah
Kizuri pia japo nisiwaficheni wana Simba SC wote mlioko hapa JamiiForums kuwa simpendi hakuna mfano huyu Pape Sakho kutokana na Uchoyo na Utoto wake mwingi ambao huwa Unatucheleweshea sana Ushindi wa mapema na hata wa Mchezo mzima.
 
GENTAMYCINE sasa mbona vikosi vyote Mkude hayupo mzee wa daby?,toa Kenedy weka Nungunungu hapo.
Jonas Gerald Mkude ni mwana kabisa tena tokea akiwa Simba B na anacheza pale Barafu, Kinesi, Biafra na Kawe, ila kwa sasa amepungua mno Kiwango na akipunguza sana kupenda Kuzibua Mitaro ya akina Hawa wengi na kutumia Jani Tukuka la Bob Marley atarejea kama zamani.
 
Mimi nina Leseni A ya UEFA kwenye derby waingie wazoefu haohao achana na Kibu..Golini akikaa Aishi amna Mashaka..tabu ni hapo kati kwa Kiungo...Kanoute anacheza rough sana Na game ikishamshinda anapanic na akipanic ni mwendo wa kadi tu Umeme njenjee...Na Mzamiru mapafu ya mbwa panamfaa ila wampe kyombo Dakika kadhaa yote kwa yote tusijioe matumaini sanaaa ya Ushindi ili nyuzi za matusi zipungue baada ya game..tuwe nyutroo tu tukipigwa kama tumepiga
20220722_020654.jpg
 
Kikosi A

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Hiki kikosi ndio kizuri. Ila badilisha inonga acheze 4 kennedy acheze 6. Basi.
Wengi naona mnapanga majina makubwa makubwa ya kutisha,ila sidhani Kama shomari anaweza kumueka benchi israh currently ..
 
Vikosi vyote vizuri bila kusahau waliokosa kikosi A au B watakuwa SUBS za uwakika. Kiufupi iwe jua, iwe mvua SIMBA inapaswa isibitishe ubora wake na kuwaongezea machungu utos kwakuwagonga hiyo J'pili zaidi ya goli 2 kwa bila.
 
1. Aishi Manula
2. Israh Mwenda
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Kapombe asianze maana naona kwa sasa Israh ana ubora mzuri na pia Baba Ester hajacheza mechi nyingi hivi karibuni hivyo kuna chemistry haitakuwa sawa.
 
Binafsi ningependa zaidi vifuatavyo:

Kikosi A

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Kikosi B

1. Aishi Manula
2. Israel Mwenda
3. Mohamed Hussein
4. Joash Onyango
5. Henock Inonga
6. Saido Kanoute
7. Pape Sakho
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Kikosi C

1. Aishi Manula
2. Shomary Kapombe
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Henock Inonga
6. Saido Kanoute
7. Kibu Denis
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Karibuni akina Juma Mgunda wa JamiiForums nanyi kutoa vikosi vyenu. Ila tambueni kuwa Simba SC itashinda mechi hiyo na ushindi kwa Yanga SC ni sare ya magoli au suluhu isiyo na magoli, keshokutwa Jumapili tarehe 23 Oktoba, 2022 Uwanja wa Benjamin Mkapa Temeke Dar es Salaam.
Du yaani Mkude umemchinjia baharini kabisa!
 
Vikosi vyote ulivyo orodhesha hapo viko vizuri, cha muhimu wachezaji watambue uzito wa jezi ya simba. Wapambane kufa na kupona naona tukishinda goli mbili kipindi cha kwanza na huwenda mpira ukaisha kwa mbili moja..
 
Wengi naona mnapanga majina makubwa makubwa ya kutisha,ila sidhani Kama shomari anaweza kumueka benchi israh currently ..
Kuwa na Adabu Shomary Kapombe akiwa 100% hakuna Beki yoyote wa Kulia Tanzania hii na si tu kwa huyu Dogo Israel Patrick Mwenda anaweza kumuweka Benchi.

Na kwa Kukusidia tu pamoja na Beki Israel Patrick Mwenda kujitahidi kwa Siku za Karibuni ila kwa tunaoujua vyema Mpira ( Fabo ) bado hata hajafikia 40% tu ya alionao Beki Shomary Kapombe ambaye kuwa Kwake that proin injury kunaharibu performance yake.
 
1. Aishi Manula
2. Israh Mwenda
3. Mohamed Hussein
4. Kennedy Juma
5. Joash Onyango
6. Henock Inonga
7. Saido Kanoute
8. Muzamir Yasin
9. Moses Phiri
10. Clatous Chama
11. Augustine Okra

Kapombe asianze maana naona kwa sasa Israh ana ubora mzuri na pia Baba Ester hajacheza mechi nyingi hivi karibuni hivyo kuna chemistry haitakuwa sawa.
Umeongea Kiufundi ( Kiutalaam ) sana Mkuu. Heko ( Kongole ) Kubwa tu Kwako.
 
Back
Top Bottom