Simba SC, Mo Dewji na CEO Barbara nawaomba msimjibu lolote (chochote) aliyekuwa Msemaji 'Mnafiki' Haji Manara, ila mtuachie Mashabiki

Haji kasema yanayomhusu yeye na mwajiri wake. Kama kuna mwajiri wake humu amjibu, kama si sehemu tukae kimya tuwasubiri waliotuhumiwa. Si sahihi kila MTU lkujifanya Mo Dewiji, Barbra au Hans Pope.
 
Nendeni mkashitaki CAS ili Mo anyang'anywe hizo hisa
 
Manara kahusika kwa zaidi ya 30% mafanikio ya simba kwa misimu minne mfululizo, why nisimuamini ikiwa alikuwa mtu wa ndani wa klabu?
Tunashukul kwa mema Yake ila umefika mda wa yeye kwenda kutafuta changamoto sehem nyingine tumemshtukia mapema plan Yake alikua anataka amuangushe mo ili bakharesa atie mpuga simba ili awe muwekezaji ila ndo basi tena
 
Kuna tofauti ya kusema ukweli na kumchafua mtu. Ametuhumiwa kwa mambo mengi eti anahujumu timu, hivyo kaeleza mchango wake na vile timu inaendeshwa.

Sent from my TECNO K7 using JamiiForums mobile app
 
We hua unamkosa boss wako na kumtukana?
 
Bure kabisa
 
Kwahiyo mtu kusema michezo michafu inayoendelea klabuni ni kuichafua?

Aliyeturoga waTZ alifanikiwa 'kweri kweri'
Hiyo michezo michafu kwanini hakuisema siku zote akiwa ndani ya Simba????.....Haji Manara si ndio huyu alikuwa anasema Simba sc inaongozwa kisasa sio kama timu zingine....Simba hatuhitaji tena waganga njaa kama yeye atuache.
 
Simba ikitoka mbele na kumjibu Haji unategemea Haji atanyamaza? Kuna muda kukaa kimya ni jibu la busara Sana, waliomuamini haji sio dhambi wao wamuamini na maisha yaendelee lakini wakisema watoke waanze kumjibu ujue hiyo issue itakuwa na muendelezo
 
Kabisa, haji atajibiwa na voice note tu kwenye magroup ya watsup,
Mo, Babra na uongozi wa Simba wakae kimya waendelee na usajili, Dawa ya mpuuzi ni kumpuuza
 
Anafurujuta kama kuku aliechinjwa bila kubanwa vizuri, damu ikiisga ataanguka tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…