Daudi Mchambuzi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 62,204
- 128,027
Pira makande.Mkuu linapigwa pira gani hapo?😂😂😂😂
Pira makande.Mkuu linapigwa pira gani hapo?😂😂😂😂
Kutoka timu ya ushindani hadi timu ya kupigania draw za Clean shit za 0-0Siyo mbaya, at least. Ni Cleansheet ya 4.
Kama inauma chomoaBasi huu uzi mtaujadili mpaka siku inayo cheza yanga
Saizi kila mtu kawa mshauri wa simbaMatola aondolewe kwenye timu haraka sana,
Najua hamtaelewa mapema ila itakuwa too late,
Tatzo kubwa Simba ni Matola
Pumzi ndogo ruti ndefu tunawajua, mtakata tu pumzi afu ubingwa tunauchukua.../
Coastal Union nae kapewa tshs ngapi na GSM?Pumzi ndogo ruti ndefu tunawajua, mtakata tu pumzi afu ubingwa tunauchukua.../
Haya mambo hayakuhusu fanya yako we keisali, baki na timu lako kamshangilie feisal.../
Matola kafanya nini ?Matola aondolewe kwenye timu haraka sana,
Najua hamtaelewa mapema ila itakuwa too late,
Tatzo kubwa Simba ni Matola
GSM ni mdhamini wa coastal Union walipewa millioni mia nafikiri ilikuwa tarehe 23 mwezi wa nane huko tafuta taarifa za tarehe hiyo utaiona.
Ilikuwa na ya nini?GSM ni mdhamini wa coastal Union walipewa millioni mia nafikiri ilikuwa tarehe 23 mwezi wa nane huko tafuta taarifa za tarehe hiyo utaiona.
Ngoja nisubiri jibu hapa. Naona timu yao inawafanya madishi yayumbe
Kwa hiyo GSM asiwadhaminiGSM ni mdhamini wa coastal Union walipewa millioni mia nafikiri ilikuwa tarehe 23 mwezi wa nane huko tafuta taarifa za tarehe hiyo utaiona.
Leo Coastal Union anakufa nyingi
simba isipo jiangalia inaelekea kubaya.
Yanga kwa sasa inaonekana kuwa timu boda zaidi, ujezaji wake ni wa kiwango cha juu sana kuliko Simba!!
Simba mnatumiza sisi washabiki wenu.
Badilikeni
Huyo Mchezaji ndiye katubeba!Haters semeni refa katubeba