Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Sep 6, 2014
6,170
7,660
Coastal Union haijawahi kupata ushindi mbele ya Simba kwenye ligi kuu kwa misimu mitatu mfululizo iliyopita tangu msimu wa 2018/19. Katika mechi sita walizokutana, Simba imeshinda mechi tano na kutoka suluhu mechi tatu, Jumla Ya Magoli 21 Wagosi wa Kaya Wafungwa na simba katika Michezo hii 6 huku Simba Wakiruhusu magoli 2 katika michezo 6. Timu hizi hazijawahi kupata sare ya mabao. Leo wanakutana kwenye Dimba la Benjamin Mkapa, Dares Salaam. Je, Coastal watafuta uteja?

Ni leo saa 1:00 usiku

======

Mchezo umemalizika uwanja wa Benjamin Mkapa kwa matokeo yasiyo na Magoli. Kila upande umelamba kadi nyekundu Coastal wakitangulia na baadae mchezaji wa Simba

FT: Simba SC 0-0 Coastal Union
 
Coastal hawawezi toka leo kwa Suluhu labda kwa Samia au Hasani wangetoka.
Simba ni kiigizo chema cha Yanga.
 
Leo ni Mkubwa na Mwanae.

Sijasikia ahadi za fedha zikitolewa kwa Coast toka kwa Viongozi wenye mahaba na Yanga.

Sako ashindwe mwenyewe tu kupiga goli 3 ili aondoke na mpira wake.
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom