Simba Sc 0-0 Coastal Union | Ligi kuu | Benjamin Mkapa

NILIYO YAONA 1.Simba tuna timu nzuri shida ni umaliziaji. Boko anaitaji kuanzia bench na nafasi apewe kagere. 2.Mkunde ni mkude tu labda umnyanganye njumu tu ila mpila anaujua 3.Bwalya alichoka, kipindi cha pili alitakiwa kuwa bench maana mpira ulipoa ulipofika miguuni mwake wakati simba waliotaji kumbia sana. 3. Muhilu alitakiwa asubiri mechi ijayo alishindwa kuusoma mchezo kabla ya kuingia. 4.Kocha ni mgonjwa wa kufanya sub na kupanga kikosi, bench la simba linaitaji mabadiliko ya haraka sana. 5.Molisoni alikua bora sana leo nampa 9/10 6. Refa alishindwa mchezo, yule aliyemsababishia inonga kadi alipaswa naye kula nyekundu kwani lile ni kosa la violence ambalo ni kadi nyekundu pia. Wote walipaswa kutoka uwanjani. 7.Cost walipaswa kucheza nane uwanjani maana yupo aliyemchezea kibu dangerous foul akiwa na njano na lefa akapeta. 8.Mwisho mashabiki tuwe watulivu hii ni mechi ya 4 tu, tuwatie moyo wachezaji watatupa kile tunacho kitaka muda bado wanao wakurekebisha mapungufu yao.
 
Matola aondolewe kwenye timu haraka sana,
Najua hamtaelewa mapema ila itakuwa too late,
Tatzo kubwa Simba ni Matola
Saizi kila mtu kawa mshauri wa simba

wewe umeona tatizo lipo kwa matola, wengine wanasema kuuzwa kwa chama na luis, wengine wanadai kocha, wengine wanadai mishahara ya wachezaji haijalipwa

Bado maoni ni mengi
 
simba isipo jiangalia inaelekea kubaya.
Yanga kwa sasa inaonekana kuwa timu boda zaidi, ujezaji wake ni wa kiwango cha juu sana kuliko Simba!!
Simba mnatumiza sisi washabiki wenu.
Badilikeni
 
Ni kweli lakin kwa game zenu hizi za karibuni apa jana mecheza vizuri
simba isipo jiangalia inaelekea kubaya.
Yanga kwa sasa inaonekana kuwa timu boda zaidi, ujezaji wake ni wa kiwango cha juu sana kuliko Simba!!
Simba mnatumiza sisi washabiki wenu.
Badilikeni
 
Back
Top Bottom