Siku nzuri sana, tena ilibidi wapigwe hata kimoko ili walale na viatu leo😂😂Haha siku nzuri leo
Poleni sana mkuuHii sasa too much. Tujiatafakari
Lol sijawahi kunywa pombe ila leo nna hamu na kesto right...lazima ninyweSiku nzuri sana, tena ilibidi wapigwe hata kimoko ili walale na viatu leo😂😂
Hahaaa ila drink responsibly mkuu, usije kuzimia kwa furaha😂Lol sijawahi kunywa pombe ila leo nna hamu na kesto right...lazima ninywe
Nisije mwaga radhi..kahawa tu nimechukua kulala saa 9Hahaaa ila drink responsibly mkuu, usije kuzimia kwa furaha😂
Coastal union wapewe kadi nyekundu +penati ndo Makolo fc watashinda hii mechi lasivyo mechi naiona droo Kila lakheri Coastal Union
Amna mjeshi sisaliti kambiIla wewe mwaka huu watakuua hawa wa matopeni
For real, hapo namuona inonga na kibu ndio watu walio jituma zaidi kwenye mechi ya leoNdugu yangu hii timu inahitaji kazi ya ziada kuijinga tena kuna kitu nyuma ya haya wachezaji wana jambo mioyoni si bure.
Sawa bana sie wabovu ila msijisahau sana, kuimba kupokezanaKuona kama nyau atapata chochote
Hata kama tume enyeka lakini sio kindezi kama hivyoSubirini na goli la penati
Kibu D hahaha jamaa msanii tu, hana lolote la maanaFor real, hapo namuona inonga na kibu ndio watu walio jituma zaidi kwenye mechi ya leo
Jambo gani ?Ndugu yangu hii timu inahitaji kazi ya ziada kuijinga tena kuna kitu nyuma ya haya wachezaji wana jambo mioyoni si bure.
Mmeshinda njaa labdaLazima tushinde cost ni wadogo sana kwetu.
Zamu yao kuteseka😃😃Mmeshinda njaa labda
Kufeni tu kwani mnasubiri niniIli kurudisha morali kwa ujumla, timu ishinde 3+... Mambo ya kusubiria penati yatatuua kwa presha...
#NguvuMoja!