Simba ni wasaliti,hoja ya yanga inamashiko-shaffih dauda!!!!!

Bahati nzuri siku ya tukio nilikuwepo na nilishuhudia cheki kumi za milioni kumi kumi zikiandikwa kwaajili ya malipo kwa simba,

Sikubaliani na malipo hayo kwa kuonyesha mechi za simba zote, pesa hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na mapato ya milangoni ya kawadi ya vilabu hivi kwa kila msimu!
 
Malipo kwa ajili ya kuonyesha mechi sio substitution ya gate collections, malipo hayo watapata na watu watajaa tu uwanjani kama timu itaonyesha performance nzuri.
 
Mkuu Masuke kwa hapa Dar mimi binafsi kama mechi inarushwa live siendi taifa,ya nini kuangaika na mifoleni wakati gemu inarushwa live?na isitoshe ntaona vizuri tuu mwanzo mwisho?
 
Last edited by a moderator:
Yanga siku zote wanatumia akili aisee.Na kwa mara ya kwanza namfagilia Shafii...........
 
Mkuu Masuke kwa hapa Dar mimi binafsi kama mechi inarushwa live siendi taifa,ya nini kuangaika na mifoleni wakati gemu inarushwa live?na isitoshe ntaona vizuri tuu mwanzo mwisho?
Ni kweli unachosema lakini kama timu inafanya vizuri ndugu yangu uwanjani kuna raha yake ukute timu yako inasakata soka la kuvutia mbona mapema tu uko uwanjani wala hutajali foleni, ni sawa na wanywa pombe eti umletee bia nyumbani asiende bar hakuelewi.
 
Last edited by a moderator:
Bahati nzuri siku ya tukio nilikuwepo na nilishuhudia cheki kumi za milioni kumi kumi zikiandikwa kwaajili ya malipo kwa simba,

Sikubaliani na malipo hayo kwa kuonyesha mechi za simba zote, pesa hiyo ni ndogo sana ukilinganisha na mapato ya milangoni ya kawadi ya vilabu hivi kwa kila msimu!

Kwani hayo malipo yanawaondolea haki kupata mapato ya mlangoni au mapato yatapungua kwa watu kutokwenda uwanjani? Kama ni watu kupungua, kila timu ilihitaji kufanya utafiti wa mashabiki waakaopungua kwa mpira kuonyeshwa "live" na kuanda kitu kinachoitwa "Benefit analysis" ya huo udhamini.
 
Maana yake ni kuwa unakubali kwamba hakukuwa na cost-benefit analysis kwa kila timu. Maana yake ni kwamba wahusika wa mkataba huo, hasa timu zenyewe, zilikurupuka (au zilikurupushwa kuusaini). Maana yake ni kwamba hata Yanga nao wangeuridhia, bado kasoro hiyo ya msingi ingekuwapo. Sasa kinachobishaniwa juu ya kasoro ya mkataba wenyewe ni nini basi?
 
Ni kweli unachosema lakini kama timu inafanya vizuri ndugu yangu uwanjani kuna raha yake ukute timu yako inasakata soka la kuvutia mbona mapema tu uko uwanjani wala hutajali foleni, ni sawa na wanywa pombe eti umletee bia nyumbani asiende bar hakuelewi.
Inategemea mkuu!
Ukizingatia hii foleni ya Dar ilivyo kero.
Kwamfano sisi tunaoishi huku UK,
Ukifika mitaa ya kipawa tuu basis unakutana na bonge la cheni ya kufa mtu mpaka tazara,alafu upo kwenye daladala,mpaka uje kuiacha nyerere rd ukamate mandela rd,mpaka kufika taifa basi utakua umeshakiona cha moto,maana lazima upoteze zaidi ya masaa2 wakati sijui ni kilomita 8 tu.Wakati wa kutoka taifa sasa ndio balaa zaidi,maana ata simu na wallet unaihamishia kwenye m.a.p.u.m.b.u.ukijifanya bisho basi toto za kiumeni TMK zinakuacha na chupi kudadadeki,yani full majanga.Walahi ngoma ikianza kurushwa live siendi taifa.

Cc Manji
 
Nadhani kiasi cha pesa 100,000,000 kimewapa kiwewe club nyingi bila kufahamu mapato ya mlangoni yatapungua kwani Watazamaji wengi watatulia tuu baa na kufuatilia huo mpira. Hata TFF haijatafakari vizuri maana yenyewe pia itapoteza mapato ya mlangoni. Kwa upande mwingine serikali ikikosa mloangoni itapata kodi Azam (VAT + Corporate tax)
 
Wakati mwingine unapaswa kufikiria zaidi gharama za uendeshaji wa mashindano ya Kagame ni ndogo kulingansha na Ligiya Vodacom.
Bingwa wa Kagame anapata millioni 50 Bingwa anacheza mechi hata 10 hazifiki na michuano hufanyika ndani ya wiki mbili na hufanyika kwenye mji mmoja,Ligi ya Vodacom bingwa anapata milioni 70 mechi 26 zinachezwa karibu mwaka mzima na viwanja vingine ni mikoani (Mwanza,Kagera,Tanga,Moro,Pwani,Mbeya)

Kwani Azam Tv umeambiwa wanaonyesha mechi ngapi za Yanga ?
Hivi tunajua kuwa ni Mechi 4 Tu ?
 
Nadhani kiasi cha pesa 100,000,000 kimewapa kiwewe club nyingi bila kufahamu mapato ya mlangoni yatapungua kwani Watazamaji wengi watatulia tuu baa na kufuatilia huo mpira. Hata TFF haijatafakari vizuri maana yenyewe pia itapoteza mapato ya mlangoni. Kwa upande mwingine serikali ikikosa mloangoni itapata kodi Azam (VAT + Corporate tax)

Jamani mapato yapi? Mbona ni Mechi Nne tu wanazoonyesha Azam TV ?
 
Ni kweli unachosema lakini kama timu inafanya vizuri ndugu yangu uwanjani kuna raha yake ukute timu yako inasakata soka la kuvutia mbona mapema tu uko uwanjani wala hutajali foleni, ni sawa na wanywa pombe eti umletee bia nyumbani asiende bar hakuelewi.

Simba na Yanga hakuna soka ya Kuvutia ni fujo tu, na kununua mechi kwa Rushwa kwa wachezaji pinzani na waamuzi.
 
Sasa mlitegemea Shaffih Dauda aseme nini wakati ndo utaratibu wao pale Clouds, wanawatumia wasanii wachanga kujaza watu kwenye matamasha yao halafu wanawalipa kidogo kwa sababu ni wachanga, wanataka wizi huo huo utumike kubana vilabu vidogo, bila hivyo vilabu vidogo sio ligi tena na hao Simba na Yanga wanajiona wakubwa kwa sababu hao wadogo wapo lakini siku hao wadogo wakipotea nao ukubwa wao hawatauona.

Shafii Dauda anajulikana kwamba ni Simba damu lakini amefika mahali ukweli lazima usemwe. Msomali hawana hamu naye tena.
 
Domestic broadcast revenue is divided on a 50:25:25 basis; 50% is divided equally between the clubs; 25% is awarded on a merit basis determined by a club’s final league position and the final 25% is distributed as a facilities fee for the number of matches shown on television involving the club.

International broadcast revenue is distributed equally between all 20 clubs.
The current domestic media rights packages were sold for a total of £1.78bn.

SOURCE How much money do the Clubs receive from broadcast payments?

MY take, ukitazama vyema , kwenye mfano wangu hapo juu unaohusisha EPL, kuna mgawo sawia kwa club zaote, uwe wa kwanza hadi wa mwisho, pia kuna mgawo unaoangalia nafasi yako katika League , mwisho kuna mgao unaangalia idadi ya mechi zilizoonyeshwa.
Sasa wakua ndio msimu wa kwanza wa udhamini, vilabu vyote ni sawa , vyote vinakula mgao sawa, sasa Yanga anapaswa kushinikiza mkatana useme wazi katika mwaka wa udhamini iwapo club itatwaa ubingwa basi italamba zaidi, iwapo club itaonyeshwa zaidi basi italamba zaidi,.
Yanga club yangu inakosa hoja yenye mantiki na mashiko inapodai kuwa ina stahili fedha zaidi kwaua ina mashabiki wengi.

Ukiangalia vyema kwenye EPL, Man U kapata fedha nyingi , akifuatiwa na city kisha My Gunners, Liverpool yenye wapenzi wengi zaidi ya Gunners na City wanashika nafasi ya Tano kwakulamba fedha nyingi za zitokanazo na mgowo wa Tv rights.
Hongera Azam Ltd kwa udhamini huu.
 
Inategemea mkuu!
Ukizingatia hii foleni ya Dar ilivyo kero.
Kwamfano sisi tunaoishi huku UK,
Ukifika mitaa ya kipawa tuu basis unakutana na bonge la cheni ya kufa mtu mpaka tazara,alafu upo kwenye daladala,mpaka uje kuiacha nyerere rd ukamate mandela rd,mpaka kufika taifa basi utakua umeshakiona cha moto,maana lazima upoteze zaidi ya masaa2 wakati sijui ni kilomita 8 tu.Wakati wa kutoka taifa sasa ndio balaa zaidi,maana ata simu na wallet unaihamishia kwenye m.a.p.u.m.b.u.ukijifanya bisho basi toto za kiumeni TMK zinakuacha na chupi kudadadeki,yani full majanga.Walahi ngoma ikianza kurushwa live siendi taifa.

Cc Manji

Pole mkuu, kumbe kwnda taifa ni zaidi ya adhabu kwa wengine.
Lakin hta sisi tunaokaa karbu na uwanja wa taifa tunakereka sana, mfano mnyama alvyotupga zile tano, yan mtu unajifungia ndan na unafungulia redio mwanzo mwisho, lakin makelele ya ndani ya uwanja yapo pale pale, siku ilikuwa mbaya sana ile!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu ACCOUNT FULL nimecheeeka bala!
Ila kiukweli kwenda taifa ni bonge la adhabu aise!
 
Last edited by a moderator:
Mkuu je ule mkataba na Super Sports ulikuwa na faida yoyote kwa Yanga? Au ndio ile kasumba ya mzawa akifanya kelele ila mgeni inakuwa sawa tuu?

Umesahau kuwa Yanga ndio klabu pekee iliyogomea Super Sports kuonyesha mechi za mwishoni mwa ligi?
 
Back
Top Bottom