CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 950
- Thread starter
- #41
Msamehe alikua hajui anachokitetea!Huu utaratibu ulishafutwa,siku hizi mapato klabu zinagawana sawa sawa.Inaonekana uliondoka bongo muda mrefu
Msamehe alikua hajui anachokitetea!Huu utaratibu ulishafutwa,siku hizi mapato klabu zinagawana sawa sawa.Inaonekana uliondoka bongo muda mrefu
ndio maana club hazipigi hatua mmehendekeza nja Nyie hiyo 100 million itawafikisha wapi usajili tu tayari 300 million zimepotea mazuzu Kweli
Azam watenge pesa maalumu kwa bingwa japo million 300 kwa bingwa,100m kwa mshindi wa pili.
Hapo haki itakua imetendeka.
kutupa mgawo sawa bado hakusaidii soka la bongo.
Wewe inaonekana ni mtu wa ndani kama unajua hadi kwamba kulikuwa na makubaliano ya kupewa milioni ishirini halafu pia unajua mwenyekiti alipewa milioni nane, sasa tuambie hii tenda Azam wakiipata nyie mnapoteza nini? Kama ishu ni gate collection uzoefu unaonyesha mechi za Simba na Yanga huwa zinajaa tu bila kujali kama itaonyeshwa au haitaonyeshwa, mfano ni ile ya fainali ya kagame ya mwaka juzi ilivyojaza watu pamoja na kwamba ilionyeshwa live.Mkuu kagame alitoa $60,000 ambayo ni zawadi kwa mshindi wa kwanza,pili na tatu,bado kuna gharama za waamuzi na gharama za kuzigharamikia timu ambazo ndizo superSport walitoa.Na pia huwa kuna makubaliano ya mgawo wa Simba na Yanga katika baadhi ya mechi,na mara nyingi huwa kuna makubaliano ya mgawo wa ziada endapo Simba na Yanga zitakutana katika hatua za kuanzia mtoano mpaka final,makubaliano hayo ndiyo yaliyopelekea yangu kufungiwa kushiriki michuano ya kagame mwaka 2008 baada ya kugoma kucheza na Simba katika kumsaka mshindi wa tatu,na katika inshu hii Simba kwa mara nyingine alimgeuka Yanga,walikubaliana kabla ya michuano kwamba endapo watakutana katika hatua yoyote basi kila timu ipewe million20 cash masaa manne kabla ya game,siyo mpaka game iishe,cha ajabu Simba waliwageuka Yanga baada ya mwenyekiti wake kupewa 8m na wakapeleka timu taifa!!!!!
Yanga hawana dhiki ya milion mia,na ufadhili wa Manji siyo wa mtego kama wa Azam
Ndiyo maana nimesema hivyo vilabu vya Yanga na Simba vimejaa vilaza wanaojiita washabiki/wanachama maarufu! Wewe mtu mwenye weledi wa kutosha hawezi kuhangaika na RANGI NYEKUNDU kwenye nembo ya jezi eti kisa yeye YANGA! Hivi kuna mwana YANGA mwenye DAMU YA NJANO? Acheni UJINGA WENU kwa mambo ya kizamani!!
Kwa hiyo udhamini wa Manji kwa Yanga ni kiasi gani?Yanga hawana dhiki ya milion mia,na ufadhili wa Manji siyo wa mtego kama wa Azam
Mkuu inshu siyo 100m.Wewe inaonekana ni mtu wa ndani kama unajua hadi kwamba kulikuwa na makubaliano ya kupewa milioni ishirini halafu pia unajua mwenyekiti alipewa milioni nane, sasa tuambie hii tenda Azam wakiipata nyie mnapoteza nini? Kama ishu ni gate collection uzoefu unaonyesha mechi za Simba na Yanga huwa zinajaa tu bila kujali kama itaonyeshwa au haitaonyeshwa, mfano ni ile ya fainali ya kagame ya mwaka juzi ilivyojaza watu pamoja na kwamba ilionyeshwa live.
Na kama mnadhani kwamba Azam hela waliyotoa ni ndogo unadhani kuna kampuni nyingine yenye uwezo wa kutoa hicho kiasi? Na kama ipo unadhani inaweza kuwa kampuni gani?. Kumbuka Star TV walikuwa wanalipwa na Azamili waonyeshe baadhi ya mechi badala ya wao kulipa.
mkuu ulishawahi kujiuliza kwanini tv huwa hazitaki kuonesha ligi ya bongo? na hata media zingine za nje kuja kuomba kuonesha kwa kuwalipa tff na timu? hapa cha msingi ni bora ukubali watu waoneshe kwa vile kwenye MOU wamesema kwamba hatakama itatokeo vyombo vingine vinataka kuonesha gemu ruksa sasa sijui mgomo wa nini..
Sasa mlitegemea Shaffih Dauda aseme nini wakati ndo utaratibu wao pale Clouds, wanawatumia wasanii wachanga kujaza watu kwenye matamasha yao halafu wanawalipa kidogo kwa sababu ni wachanga, wanataka wizi huo huo utumike kubana vilabu vidogo, bila hivyo vilabu vidogo sio ligi tena na hao Simba na Yanga wanajiona wakubwa kwa sababu hao wadogo wapo lakini siku hao wadogo wakipotea nao ukubwa wao hawatauona.
Rage anaandaa mazingira ya nyumbani kabla jua halijazama,....Yanga wajanja wameona mbali sanaaaaaa......
Hilo wazo ni zuri endapo kiasi cha hiyo hela kitatumika na kiasi chote, mfano asilimia 60 ya hizo hela inaweza kutolewa flat rate ili timu zipate hela ya kutumia wakati ligi inaendelea halafu asilimia 40 ndo inaweza kutumika kwa mtindo huo, lakini kama hela yote itatumika kwa mtindo huo basi vilabu vyenye uwezo tu wa kifedha ndo vitafika Canaan na vingine vitaishia tu jangwani(sio jangwani makao makuu ya Yanga).Ndugu Masuke, unaonaje utaratibu wa kutoa hizo pesa kufuatana na msimamo kwenye ligi? Yaani ligi ichezwe ndio pesa itoke. Wa kwanza apate zaidi na wa mwisho apate pesa ndogo kuliko wote. hapo ni kutafuta tu formula namna ya kufanya huo mgawo. Labda kwa njia hiyo tunaweza tena kupata bingwa kama Maji Maji au Tukuyu Stars enzi hizo. Hata hizo timu ndogo zitapigana kufa na kupona ili ziwe juu. Longolongo ya kuuza mechi ilimradi timu inajua haishuki daraja ndio utakuwa mwisho wake. Timu ikiwa ya 7, 8,9, 10 kwa mfumo wa sasa haileti tofauti yoyote. lakini kama hizo pesa zitaenda kwa msimamo wa ligi, ni dhahiri wa 7 atapata pesa zaidi kuliko wa 10 kwa mfano.
Mkuu Yanga wana maongezi na superSport tangu december mwaka jana ili waonyeshe mechi zao za ligi kuu,lakini TFF wamekataa,Yani wamewambia Yanga kwamba kama wakikataa udhamini wa Azam basi ata huo udhamini wao na supersport nao TFF watauzuia,nimeisikia kauli hii kwa masikioa yangu kutoka kwa katibu wa TFF sijui ndiye Anjetile Usia.
Sasa huu ubabe mpaka lini?
Kisa watu wamehoji mkataba?why mkataba uwe siri?
We ukisusa wenzako wala,,endeleeni kumtegemea Muhindi ambae mnamnyenyekea kama nini akisema anajitoa vichwa vinauma maana hamna vyanzo hata vya mapato zaidi ya kutegemea getini.
Kama kidogo huridhiki hata upewe kikubwa huwezi kuridhika. Mmeonesha michuano ya kagame bure.