Simba ni wasaliti,hoja ya yanga inamashiko-shaffih dauda!!!!!

TFF wamesema viongozi wa Yanga walikuwa wanashiriki tokea mwanzo, tatizo ni kumtegemea kila kitu mdosi kwani yeye ndio kahoji kibiashara kama inalipa. Kiazi Shaffi Dauda ni wa kumpuuza na tena taifa litaingia hasara kama huyu jamaa atapata nafasi yoyote ya uongozi wa soka hapo TFF.

Mnajua kwamba TFF huwa ina vikao na waandishi wa habari kila baada ya siku chache, ikitangaza habari muhimu zilizojiri ndani ya kipindi hicho? Lini na nani alisikia habari juu ya Timu za Ligi Kuu kukutana na kuafikiana juu ya swala hili? Iweje la juzi lisemwe jana, nasi tukaingia kwenye mkumbo wa kukubali bila ya kutafakari?
Kimsingi, wanaounga mkono mkataba wa Azam Media wamelogwa na kauli ya kuwapo pesa nyingi, pengine na jina la mwenyenKampuni. Je wangeziona kabisa pesa zenyewe? Hayo ndiyo yanayowakuta watendaji kila siku makazini mwao, na ndio maana wengi wao wanatumbukia kwenye aibu ya ufisadi.
 
Yanga wote ni wajinga...
1. Kagame kwani mlilipwa hata senti 5 na SuperSport?
2. Halafu match zenu ambazo hazitooneshwa ni za nyumbani tu lakini za ugenini kama kawaida Azam ataonesha kwa hiyo kwenye match 13 za nyumban hazitooneshwa ila 13 za ugenini zitaoneshwa.

Its so funny kwa kweli yaan mnapenda ubishi ambao hauna kichwa wala miguu kama watu wa kigoma, mlianza kugomea udhamini wa Vodacom eti kisa kuna alama nyekundu mbona hamkatai Noti ya tsh10000 na ina rangi nyekundu karibia yote?
 
Si sahihi kuwatukana Yanga wote kwa maamuzi wanayoyaona ni sahihi kwao. Hoja hapa sio Yanga wamelipwa nini na Superspprt au mwingime yeyote. Hoja ni je ni sahihi kwa Azam Media kupatiwa mkataba huo, kwa kuzingatia sababu walizotoa Yanga? Usiijibu Yanga, jibu sababu zao.
 
unadhani wataruhusu mechi zao zionyeshwe kirahisi hivyo,,we subiri mkataba usainiwe ndo uone tambo zitakavyokuwa mahakamani,,,
hiyo hoja ya elfu kumi na jezi ya yanga haina mashiko mkuu,,jipange,,,
 
Mchakato wenyewe umeendeshwa kisanii sana,eti makampuni mengine ya tv yalinyimwa haki ya kuomba tender,maana tenda haikutangazwa ili ishindanishwe.Rusha imetawala kwenye mchakato mzima wa kuwapa Azam haki hiyo.Ujinga ujinga kama huu ndio umesababisha leo tunafungwa na uganda nje ndani!
 
unadhani wataruhusu mechi zao zionyeshwe kirahisi hivyo,,we subiri mkataba usainiwe ndo uone tambo zitakavyokuwa mahakamani,,,
hiyo hoja ya elfu kumi na jezi ya yanga haina mashiko mkuu,,jipange,,,

Ujipange wewe sasa wakati wameshaambiwa na TFF na wamekubali,,,match za ugenini kwao hawana mamlaka nazo hata kidogo.
 
Azam watenge pesa maalumu kwa bingwa japo million 300 kwa bingwa,100m kwa mshindi wa pili.
Hapo haki itakua imetendeka.
kutupa mgawo sawa bado hakusaidii soka la bongo.
 
Si sahihi kuwatukana Yanga wote kwa maamuzi wanayoyaona ni sahihi kwao. Hoja hapa sio Yanga wamelipwa nini na Superspprt au mwingime yeyote. Hoja ni je ni sahihi kwa Azam Media kupatiwa mkataba huo, kwa kuzingatia sababu walizotoa Yanga? Usiijibu Yanga, jibu sababu zao.

Kwani nyie hoja yenu si mnasema mnanyonywa sasa mbona hamkulalamika match za kagame kuoneshwa na supersports hapo anaekunyonya nani sasa? anaekulipa na asiekulipa?

Hoja yenu ni kwamba mnataka mzidi kimapato kwa kuwa tu mna mashabiki wengi kwa hiyo bado mnapenda Club nyingine ndogo zinyonywe ili muende kuwahonga wachezaji wao si ndio? Unaumia kabisa Toto au mtibwa kupewa Mil.100 sawa na wewe?
Kumbuka Hispania league ilitaka isimame kwa kuwa club ndogo hazina fedha za kujiendesha mbona Barcelona na Real Madrid nazo ziligoma na kuwaSupport team za chini,,kwenye suala la kujiendesha wenzako hawana umimi kama nyie Yeboyebo.
 
Ujipange wewe sasa wakati wameshaambiwa na TFF na wamekubali,,,match za ugenini kwao hawana mamlaka nazo hata kidogo.
Hakuna mechi yoyote ya Yanga itakayoonyeshwa live,iwe ya nyumbani au ya ugenini,na TFF wameshakubali hilo isipokua wamesema hawataipa yanga mgawo wao wa 100M!!!
 
Kwani nyie hoja yenu si mnasema mnanyonywa sasa mbona hamkulalamika match za kagame kuoneshwa na supersports hapo anaekunyonya nani sasa? anaekulipa na asiekulipa?

Hoja yenu ni kwamba mnataka mzidi kimapato kwa kuwa tu mna mashabiki wengi kwa hiyo bado mnapenda Club nyingine ndogo zinyonywe ili muende kuwahonga wachezaji wao si ndio? Unaumia kabisa Toto au mtibwa kupewa Mil.100 sawa na wewe?
Kumbuka Hispania league ilitaka isimame kwa kuwa club ndogo hazina fedha za kujiendesha mbona Barcelona na Real Madrid nazo ziligoma na kuwaSupport team za chini,,kwenye suala la kujiendesha wenzako hawana umimi kama nyie Yeboyebo.
Lakini je, huko Hispania unakosema, tenda yenyewe ilitolewa nyuma ya pazia kwa Kampuni isisyokuwapo wala kuwa na rekodi yoyote ya kuonyesha angalau matangazo ya katuni? Je, Makamu wenyeviti wa Real na Barcelona walikuwa ndio wajumbe wa Bodi iliyotoa zabuni hiyo? Je, washindi wa juu hawakuwa na tunzo ya ziada ya mgao wa kawaida wa kila timu?
 
Unajua maana ya home and away mkuu au unataka kuleta ubishi tu? Yanga akicheza Mkwakwani ambapo ni pa Coastal Union hana mamlaka napo ila Coastal akija huku ndo Yanga ana mamlaka napo,,,kasome vizuri chanzo chako cha habari.
 
SuperSport ilidhamini michuano ya kagame,michuano ambayo Yanga wala Simba hawana mamlaka na get collection.
Pia michuano hiyo mbali na kila timu shiriki kupewa kila kitu,lakini kulikua na zawadi ya ubingwa,kitu ambacho Yanga ndio wanakitaka kutoka Azam media Mkuu!
Nadhani utakua umenielewa vema sasa.
 
Mkuu kama hakuna wadhamini waliojitokeza?na wadhamini wote wanajulikana wao ni kununua match mbili za Simba na Yanga,,unafikiri mdhamini gani angekubali kutoa Mil.100 kwa team zote 14?

Kwahiyo kama kampuni ndo imeanzishwa leo ikose tenda au? Basi hizi kampuni mpya sizingeanzishwa. Unajua masharti ya PPPR lakini au?
Kinachoangaliwa ni uwezo anao au la.
 
SuperSport ilidhamini michuano ya kagame,michuano ambayo Yanga wala Simba hawana mamlaka na get collection.
Pia michuano hiyo mbali na kila timu shiriki kupewa kila kitu,lakini kulikua na zawadi ya ubingwa,kitu ambacho Yanga ndio wanakitaka kutoka Azam media Mkuu!
Nadhani utakua umenielewa vema sasa.
Kwa hiyo zawadi ya ubingwa walitoa Supersport au alitoa Kagame? Yaani nyie mawazo yenu hayana tofauti na CCM kujipendelea eti kwa sababu wana wabunge wengi basi wapate ruzuku kubwa na chama chochote kisicho na mbunge kisipate ruzuku kabisa, ni mawazo hayo hayo ya kutaka kila kikubwa kije kwako, hizo timu ndogo kama Toto Africa zitajenga uwezo lini ili ziache utegemezi wa kuandaliwa kila kitu na Yanga hasa zinapocheza na timu pinzani ya Yanga mfano Simba?
 
Unajua maana ya home and away mkuu au unataka kuleta ubishi tu? Yanga akicheza Mkwakwani ambapo ni pa Coastal Union hana mamlaka napo ila Coastal akija huku ndo Yanga ana mamlaka napo,,,kasome vizuri chanzo chako cha habari.
Naona kumbe hujui ata utaratibu wa ligi ya tanzania ulivyo,but ngoja nikusaidie.

Ni hivi,zamani ulikua unatumika utaratibu kwamba timu zinakua na mamlaka ya kuchukua get collection ya nyumbani tuu.
Hali hii ikawa inazifanya timu za Yanga na Simba kupunjika maana walikua wakienda mikoani viwanja vinajaa sana na kumuacha mwenyeji akipata pesa nyingi kuliko wazipatazo wao taifa,ikabidi sheria ibadilishwe na ikawa mgawo ni 50/50 iwe home au away,sasa hoja ya yanga ni kwamba ata mapato ya mkwakwani yanawahusu maana kuna 50% ambayo ni around 25m,sasa Azam wakionyesha hiyo gemu nani atawapa hizo 25m???????
Yanga wanataka liandaliwe fungu la bingwa na mchakato wa haki za tv utangazwe upya ili mwenye kisu kikali ndio ale nyama,Hiyo ndio point.
Sasa kwanini TFF hawataki kuitangaza hii tenda?na kwanini waizuie Yanga isiingie mkataba na kampuni nyingine ya tv wakati ni timu inayojitegemea?
Weka ushabiki pembeni na uJibu hayo maswali kitaalamu.
 
Acha kuendekeza njaa wewe tumia akili yako vizuri, nakupa mfano mdogo tu hapo chini:

Wadanganyika bana! lini tutajikomboa? yaani unashabikia wizi wa mchana kweupe jua kali kabisa.
Ndugu yangu nakupa mfano rahisi tu ambao Azam Media watawanyonya watanzania na vilabu husika.
Kitu kikubwa ambacho Azam Media wanataka kufanya ni kuuza king'amuzi kupitia hiyo channel ya mpira.
kwa hesabu ya haraka tu ni kuwa:
1. Kama watauza ving'amuzi 400,000 na kuweza kupata TZS 10,000 kila kimoja kama faida.
2. Watapata jumla ya TZS. 4,000,000,000.
3. Azam wanatoa TZS. 100,000,000 kwa kila Timu ambazo ziko 14 kwenye Ligi.
4. Jumla ya TZS. 1,400,000,000 Zitatumika kwenye Timu.
5. Ina maana Azam Media watapata Faida ya TZS. 2,600,000,000.
Sasa wewe Mdanganyika angalia hapo tu kwenye King'amuzi tu pekee yake jinsi tutakavyopigwa mashabiki wa soka.
Na hapo bado Monthly fee ya King'amuzi.

Nionavyo mimi Yanga madai yao ni ya Msingi na Azam wa lengo zuri lakini linatakiwa liwe wazi, mambo ya kutoa hela kijumla jumla yalishapitwa na wakati, Azam media na Timu zote zikae chini waweke makubaliano ya % kwenye mapato ya Urushaji wa mechi hizo badala ya kuja na Sh. 100,000,000 eti unawalingishia timu masikini kuwa ni hela kubwa.

Naipongeza Yanga kwa kulijua hilo, hayo ndo mawazo yangu. Amkeni tumeenda shule za nini?

Bado una mawazo yaliyochoka tu, huna lolote! Azam wameona opportunity na wamei-exploit wewe unakuja na bla bla za hesabu zako uchwara! So far how do you know about investing? Kama una hayo maujuzi kwa nini hujawapelekea hao Simba/Yanga wakawekeza? Hiyo shule uliyoenda bado haikusaidii zaidi ya kupiga longo longo! AZAM vidume bwana inabidi muwakubali tu! Nadhani wewe huwezi kuajiriwa na mtu mwenye kampuni yake kisa tu ulimuacha nyuma shuleni. Yanga na Simba ndiyo zinazoharibu mpira wa nchi hii kwa sababu ya washabiki uchwara kama nyie!
 
Kwa hiyo zawadi ya ubingwa walitoa Supersport au alitoa Kagame? Yaani nyie mawazo yenu hayana tofauti na CCM kujipendelea eti kwa sababu wana wabunge wengi basi wapate ruzuku kubwa na chama chochote kisicho na mbunge kisipate ruzuku kabisa, ni mawazo hayo hayo ya kutaka kila kikubwa kije kwako, hizo timu ndogo kama Toto Africa zitajenga uwezo lini ili ziache utegemezi wa kuandaliwa kila kitu na Yanga hasa zinapocheza na timu pinzani ya Yanga mfano Simba?
Mkuu kagame alitoa $60,000 ambayo ni zawadi kwa mshindi wa kwanza,pili na tatu,bado kuna gharama za waamuzi na gharama za kuzigharamikia timu ambazo ndizo superSport walitoa.Na pia huwa kuna makubaliano ya mgawo wa Simba na Yanga katika baadhi ya mechi,na mara nyingi huwa kuna makubaliano ya mgawo wa ziada endapo Simba na Yanga zitakutana katika hatua za kuanzia mtoano mpaka final,makubaliano hayo ndiyo yaliyopelekea yangu kufungiwa kushiriki michuano ya kagame mwaka 2008 baada ya kugoma kucheza na Simba katika kumsaka mshindi wa tatu,na katika inshu hii Simba kwa mara nyingine alimgeuka Yanga,walikubaliana kabla ya michuano kwamba endapo watakutana katika hatua yoyote basi kila timu ipewe million20 cash masaa manne kabla ya game,siyo mpaka game iishe,cha ajabu Simba waliwageuka Yanga baada ya mwenyekiti wake kupewa 8m na wakapeleka timu taifa!!!!!
 
Shafih Dauda,ulitaka nini?ama ulitaka clouds tv ndio ioneshe?Linapokuja suala la mpira kuoneshwa kwenye vituo vya runinga tofauti na Clouds unaanzishaga fitina sana!Nakumbuka Star tv walikuwa wakituonesha live mechi muhimu za hapa nchini wivu wenu mkaanza kukaanga sumu.Lilipokuja suala la superspot ukashabikia sana Yanga walivyogoma,sasa na hili unataka kuleta fitina zako ili upate sapoti!angalia unaweza kuwa mwanga ukizeeka! Hata palizi huanza mimea inapoimarika kwanza

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
Yanga wote ni wajinga...
1. Kagame kwani mlilipwa hata senti 5 na SuperSport?
2. Halafu match zenu ambazo hazitooneshwa ni za nyumbani tu lakini za ugenini kama kawaida Azam ataonesha kwa hiyo kwenye match 13 za nyumban hazitooneshwa ila 13 za ugenini zitaoneshwa.

Its so funny kwa kweli yaan mnapenda ubishi ambao hauna kichwa wala miguu kama watu wa kigoma, mlianza kugomea udhamini wa Vodacom eti kisa kuna alama nyekundu mbona hamkatai Noti ya tsh10000 na ina rangi nyekundu karibia yote?

Ndiyo maana nimesema hivyo vilabu vya Yanga na Simba vimejaa vilaza wanaojiita washabiki/wanachama maarufu! Wewe mtu mwenye weledi wa kutosha hawezi kuhangaika na RANGI NYEKUNDU kwenye nembo ya jezi eti kisa yeye YANGA! Hivi kuna mwana YANGA mwenye DAMU YA NJANO? Acheni UJINGA WENU kwa mambo ya kizamani!!
 
Unajua maana ya home and away mkuu au unataka kuleta ubishi tu? Yanga akicheza Mkwakwani ambapo ni pa Coastal Union hana mamlaka napo ila Coastal akija huku ndo Yanga ana mamlaka napo,,,kasome vizuri chanzo chako cha habari.
Huu utaratibu ulishafutwa,siku hizi mapato klabu zinagawana sawa sawa.Inaonekana uliondoka bongo muda mrefu
 
Back
Top Bottom