CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 930
Katika kuonyesha kwamba amechukizwa na kitendo cha Simba kuwasaliti Yanga kwa kwenda kuchukua mshiko wa AZAM MEDIA,leo ameungana na Yanga kuwasapoti katika msimamo wao wa kugomea 100m ili kuonyeshwa live michezo yao.
Amesikitikia kitendo cha Simba kwa kuwageuka wakati walishakubaliana awali kwamba hawatachukua million100 kama haki ya kurushwa live maana wao Yanga na Simba wana mashabiki wengi zaidi ya timu nyingine.Lakini cha ajabu Rage aliamua kuwageuka Yanga na kwenda kusaini mkataba na Azam MEDIA.
Mytake.Rage atakua kavuta mpunga ili awageuke Yanga,ili wakose nguvu.
Huu ni umbulula wa viongozi wetu wababaishaji na warafi!