MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 15,743
- 39,796
Yanga 90 - Simba 0
Tabiri fakeFT 3-1
Baleke kama kawaida na migoli yake ya UEFA
Utasikia sisi tupo busy na CAF champions League nyie endeleeni kuroga, mara bahasha maneno kibaoMashabiki wa simba wanapenda sana kujitutumua kabla ya mechi, huku wakiwa wanaujua ukweli.
Halafu baada tu ya mechi sasa! utaona watakavyo washushia wachezaji wao, benchi la ufundi, na mwekezaji wao; gunia la lawama.