radika
JF-Expert Member
- Jul 15, 2014
- 20,450
- 32,292
Ukifuatilia vzr kumbukumbu zetu,msimu ujao tutakuwa daraja la kwanza tukipambana na kina kimondo.
mwaka wa hasara huu mjomba
Ukifuatilia vzr kumbukumbu zetu,msimu ujao tutakuwa daraja la kwanza tukipambana na kina kimondo.
Yeboyebo hakulaliki tena, mtu akisinzia anamuota Ajib akipiga H.T basi anakurupuka usingizini. Chezea Ajib wewe huku World classic Tomentor 'Okwi' ananyemelea.
Umejipambanua mwenyewe sina cha kuongeza hapo.Nina wasiwasi na wewe mtu,
Lazima utakuwa Evans Aveva. yaan sioni tofaut kati yako na Aveva, akili zetu zilivyodumaa kama kinyesi cha mbuz wala haziwazi mbali kabisa. Uwezo wenu wa kufikiri ni sawa sawa na ndege kuku apigwae sasa na akasahau baada ya dakika tano huu kwel ni umbumbumbu!!!, Mnamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano kimakusudi watu wakihoji uhalali wa kufanya hivo ninyi mambumbumbu mnakurupuka na majibu ya kitoto eti yanga inamwogopa Ajibu!!! Huu ni ujinga kabisa tena unaofugwa na tff ya Jamal Malinzi.
Ndo mwisho wa upeo wako wa kufikiri ulipoishia hapo!!!Umejipambanua mwenyewe sina cha kuongeza hapo.
Wadau wa Simba msijisumbue na huyu mtu mwenye akili za kinyesi, tena nahisi na wewe ulikuwepo wakati wenzako hawa wanakunya porini:
Umbumbumbu kuzidi wa yanga kuchezesha mtu mwenye straight red kule Tanga? Kweli wewe akili zako ni za kinyesi kama ulivyojisema mwenyewe hapo juu.Ndo mwisho wa upeo wako wa kufikiri ulipoishia hapo!!!
Nilijua utaniletea sababu za kwanin simba iliamua kumchezesha Ibrahimu Ajibu ambae ana kadi tatu za njano kumbe umeleta umbumbumbu wako tu!!!
Kwahiyo ninyi na umbumbumbu wenu ndo mkaamua kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano eti kwa sababu yanga waliwahi kumchezesha mchezaji ambae alipata straight red cad!!!!Umbumbumbu kuzidi wa yanga kuchezesha mtu mwenye straight red kule Tanga? Kweli wewe akili zako ni za kinyesi kama ulivyojisema mwenyewe hapo juu.
Makalio yanawacheza cheza mkisikia jina la kinda Ibrahim Ajib, mmemsahau E. Okwi alivyowageuza kama samaki kila upande?
Tangia Lini Mshabiki Wa Yanga Akawa Na AKILI Mkuu? Kwanini Unapoteza Muda Na Hawa Wana Yanga Mkuu? Humo Kumejaa Matahaira Tupu!
Sikushangai na akili zako za kinyesi kuongea hayo unayoongea, juzi ulikuja na maneno kuwa siyo nyinyi mliokata rufaa ni Prisons leo mmekaririwa na media mkiwa kimbelembele kuhusu suala la kadi 3 za njano za Ajib, hata Ofisa wa Bodi ya Ligi TFF Bwana JOEL BALISIDYA amewashangaa Yanga kwa umbumbumbu wao kwani walishirikishwa na nakala ya mabadiliko ya Katiba wanayo lakini kwa umbumbumbu wao hata kusoma hamjui leo mnakuja humu na kubinuka binuka mbele ya vidume wa Simba.Kwahiyo ninyi na umbumbumbu wenu ndo mkaamua kumchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano eti kwa sababu yanga waliwahi kumchezesha mchezaji ambae alipata straight red cad!!!!
Na ndio maana nikasema watu wa simba ni mambumbumbu kwa sababu mpaka leo mnafanya mambo yenu kwa kukariri!! kwann ufanye kosa ambalo limeshatendwa na mwingine na akapata matokeo hasi!! ni umbumbumbu.....Rage hakukosea.
Nina wasiwasi na wewe mtu,
Lazima utakuwa Evans Aveva. yaan sioni tofaut kati yako na Aveva, akili zetu zilivyodumaa kama kinyesi cha mbuz wala haziwazi mbali kabisa. Uwezo wenu wa kufikiri ni sawa sawa na ndege kuku apigwae sasa na akasahau baada ya dakika tano huu kwel ni umbumbumbu!!!, Mnamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano kimakusudi watu wakihoji uhalali wa kufanya hivo ninyi mambumbumbu mnakurupuka na majibu ya kitoto eti yanga inamwogopa Ajibu!!! Huu ni ujinga kabisa tena unaofugwa na tff ya Jamal Malinzi.
Kauli ya mwenzako ikidhihirisha Yanga ilivyo na Akili za kinyesi. Hamtaacha kumtaja mume wenu Rage maana ndiye aliwafanya vibaya kama kula samaki pande zote mbili.Yap chairman Rage alitoboa wazi simba ni mambumbumbu
Yap chairman Rage alitoboa wazi simba ni mambumbumbu
Kauli ya mwenzako ikidhihirisha Yanga ilivyo na Akili za kinyesi. Hamtaacha kumtaja mume wenu Rage maana ndiye aliwafanya vibaya kama kula samaki pande zote mbili.
Mkuu umeufanya mchana wa leo uwe wenye furaha kwangu. ha ha ha haaaaaaaMmmmmmh! Ila Na Sisi Simba Tunabahati Mbaya Kweli Na Viongozi Na Haswa Kwa Kukutukana Sisi Wanasimba Wenzao. Kwa Mfano Hassan Hassanoo Alishatuita Wapenzi Na Wanachama Wote Wa Simba Ni Sawa Na Mabaa Medi Tukaona Kama Vile Ni Bahati Mbaya Tu Ulimi Wake Uliteleza Alipokuja Rage Nae Akatutukana Tena Kuwa Sisi Wanachama Na Wapenzi Wote Wa Simba Dunia Nzima Ni Mambumbumbu Hapo Tukashtuka Kidogo Sasa Sipati Picha Kauli Ambayo Rais Aveva Atatutoloea Wanasimba Na Nina Hofu Tu Siku Moja Na Yeye Akituchoka Hashindwi au Hatokawia Kutuambia Kuwa Wanasimba Wote Tuna Liberariwa ( Kushikishwa Ukuta ). Hakika Tukifika Hapo Tutazaa Nao Hao Viongozi Wetu Na Sijui Maneno Yao Haya Ya Shombo Huwa Wanayatoa Wapi.
Umbumbumbu kuzidi wa yanga kuchezesha mtu mwenye straight red kule Tanga? Kweli wewe akili zako ni za kinyesi kama ulivyojisema mwenyewe hapo juu.
Makalio yanawacheza cheza mkisikia jina la kinda Ibrahim Ajib, mmemsahau E. Okwi alivyowageuza kama samaki kila upande?
Sikushangai na akili zako za kinyesi kuongea hayo unayoongea, juzi ulikuja na maneno kuwa siyo nyinyi mliokata rufaa ni Prisons leo mmekaririwa na media mkiwa kimbelembele kuhusu suala la kadi 3 za njano za Ajib, hata Ofisa wa Bodi ya Ligi TFF Bwana JOEL BALISIDYA amewashangaa Yanga kwa umbumbumbu wao kwani walishirikishwa na nakala ya mabadiliko ya Katiba wanayo lakini kwa umbumbumbu wao hata kusoma hamjui leo mnakuja humu na kubinuka binuka mbele ya vidume wa Simba.
Mambumbumbu yeboyebo mambo ya Simba na TFF waachieni wenyewe, TFF ni yenu lakini pia inawashangaa kwa umbumbumbu wenu. Kama kwa soka hamtuwezi hamtatuweza kamwe kwa sheria na kanuni ndio maana RAGE alipowaambia Yanga mmecheza mechi ya ndondo Tanga kwa kumchezesha Cannavaro mkajifanya najua kubwabwaja matokeo yake yakawakuta yaliyowakuta. Subirini kipigo cha mbwa jizi kama kawaida yenu mbele ya Simba acheni kujamba jamba.
Lugha ngumu iko wapi hapo, wakati mtu amejita mwenyewe ana akili za kinyesi cha mbuzi. Rudi juu kasome uzi wake mpwa.Jitahidi kutumia rugha nyepesi ,kama unahasira sana mnase kibao tujue unahasira
Mkuu umeufanya mchana wa leo uwe wenye furaha kwangu. ha ha ha haaaaaaa