Simba kunyang'anywa point zake dhidi ya Prisons

yahoo

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2011
Posts
3,526
Reaction score
1,410
Ni baada ya kumchezesha Ibrahim Hajibu mwenye njano 5
 
Simba hawana uongozi, wana watu wenye personal agendas zao

Wacha washushwe daraja kabisa labda watatia akili
 
kama ni kwel ndo ntaamin ng'ombe wa maskini hazai
 
watapatia sbb kuwa tumeshuka kwasababu tuliporwa pointi zetu.
 
Ni baada ya kumchezesha Ibrahim Hajibu mwenye njano 5
Hii taarifa uliileta siku ya mechi na ukaweka source kutoka kwenye blog ya Saleh Ally, kwa jinsi habari ile ilivyoandikwa ni kama ilikuwa mahojiano kati ya kocha na mwandishi, na kocha akataja wachezaji ambao wangekosa mechi dhidi ya prison. Siku ile nikakuuliza hivi inaingia akilini kocha ataje mchezaji atakayekosa mechi kwa sababu ya kuwa na kadi za njano halafu siku ya mechi ampange?

Halafu kikanuni ni kadi tatu na sio tano, sijui kwa nini na wewe unashindwa kutumia akili ya kawaida au na wewe unataka kuwa kama hao waandishi?
 
Mbona simba walimuombea kutoka tff na akaruhusiwa kucheza tena kuanzia mechi ya Prisons, Mtibwa na Yanga?!
 
Sorry waliomba acheze mchezo baina ya Simba nna Prisons na baina ya Simba na Yanga isipokuwa asicheze mchezo kati ya Simba na Mtibwa.
 
Mbona simba walimuombea kutoka tff na akaruhusiwa kucheza tena kuanzia mechi ya Prisons, Mtibwa na Yanga?!
Mkuu mimi sina hakika sana lakini hiyo taarifa hata mimi niliiona, sijui kama ni ya kweli au la. Ila mimi napata shida kuamini kocha aseme mchezaji ana kadi tatu za njano halafu baadaye ampange. Labda kama unavyosema kwamba Simba waliomba aruhusiwe kucheza lakini inawezekanaje kwa mchezaji ambaye ana kadi tatu za njano?
 
Ni baada ya kumchezesha Ibrahim Hajibu mwenye njano 5

Una KILEMA Cha AKILI Wewe! Kadi Aliyopewa Juzi Ndiyo Ilikuwa Ya Pili Baada Ya Ile Aliyopewa Ktk Mechi Na Stand United Pili Utambue Kuwa Kabla Ya Mechi Yoyote Ile Huwa Kuna Pre Match Meeting Ambapo TFF Pamoja Na Viongozi Wa Timu Husika Huzungumzia Kuhusu Suala La Kadi Hizo Na Huwataja Hadi Wachezaji Wasiotakiwa Kucheza Na Mengineyo Yahusuyo Mchezo Husika. Siyo Kosa Lako Bali Ni UPEO Wako Mdogo Na Kupenda Timu Ya Wendawazimu Nchini Tanzania Ya Yanga FC. Jipangeni Mnavyoweza Jumapili Huyo Huyo Uliyeombea Afungiwe Na Asicheze Ibrahim Hajibu Mido Ndiyo Atawalazeni Mapema.
 
Hii taarifa uliileta siku ya mechi na ukaweka source kutoka kwenye blog ya Saleh Ally, kwa jinsi habari ile ilivyoandikwa ni kama ilikuwa mahojiano kati ya kocha na mwandishi, na kocha akataja wachezaji ambao wangekosa mechi dhidi ya prison. Siku ile nikakuuliza hivi inaingia akilini kocha ataje mchezaji atakayekosa mechi kwa sababu ya kuwa na kadi za njano halafu siku ya mechi ampange?

Halafu kikanuni ni kadi tatu na sio tano, sijui kwa nini na wewe unashindwa kutumia akili ya kawaida au na wewe unataka kuwa kama hao waandishi?

Tangia Lini Mshabiki Wa Yanga Akawa Na AKILI Mkuu? Kwanini Unapoteza Muda Na Hawa Wana Yanga Mkuu? Humo Kumejaa Matahaira Tupu!
 
Una KILEMA Cha AKILI Wewe! Kadi Aliyopewa Juzi Ndiyo Ilikuwa Ya Pili Baada Ya Ile Aliyopewa Ktk Mechi Na Stand United Pili Utambue Kuwa Kabla Ya Mechi Yoyote Ile Huwa Kuna Pre Match Meeting Ambapo TFF Pamoja Na Viongozi Wa Timu Husika Huzungumzia Kuhusu Suala La Kadi Hizo Na Huwataja Hadi Wachezaji Wasiotakiwa Kucheza Na Mengineyo Yahusuyo Mchezo Husika. Siyo Kosa Lako Bali Ni UPEO Wako Mdogo Na Kupenda Timu Ya Wendawazimu Nchini Tanzania Ya Yanga FC. Jipangeni Mnavyoweza Jumapili Huyo Huyo Uliyeombea Afungiwe Na Asicheze Ibrahim Hajibu Mido Ndiyo Atawalazeni Mapema.

Mkuu ningeshangaa sana kama aliyeleta taarifa hii ya kipumbavu asingekuwa mshabiki wa yanga. Hao tumewazoea ni sawa na mke bila kumtaja mumewe au bwana wake.
 
watapatia sbb kuwa tumeshuka kwasababu tuliporwa pointi zetu.

Wewe unafikiri Simba ni mambumbumbu wa kanuni 17 za soka kama nyinyi mliochezesha jitu lenye straight red card Tanga na Coastal Union halafu mlivyopokonywa point 3 mkaanza kumlaumu Aden Rage, kwani ndiye aliyemtuma apige mwamuzi?
 
Kanuni inasema hv
 
Attachments

  • 1425327913796.jpg
    1425327913796.jpg
    34.6 KB · Views: 504
Kiujumla hapa simba anatakiwa kunyang'anywa point na TFF imeliona hilo ndio maana wametoa barua yao ya kuonyeaha wamemruhusu acheze mech 2 yaan ya prison na young then asimame mech nyingine kitu ambacho c sahh
 
Well said, sasa tunataka huyo kiherehere aliyeleta upuuzi huu hapa atuambie Ibrahim Ajibu amepewa kadi za njano 3 katka mechi ipi na ipi.

Tatizo la viongozi wa vilabu kuwa na nyadhifa ktk bodi ya ligi,barua inasema kanuni iliyofanyiwa marekebisho hv karibuni,je vilabu vilishirikishwa kwenye hayo marekebishoo?
 
Back
Top Bottom