grafani11
JF-Expert Member
- May 24, 2011
- 15,441
- 5,820
Hiyo ni sehemu ya mchezo na ndiyo maana hukumuona mwanasimba anapiga makelele humu kama nyinyi kwa mambo yasiyo wahusu. Nilitarajia Prisons ndiyo wapige kelele lakini kinyume na matarajio unakuja na uzi wako usio hata na chembe ya ukweli eti Ibrahim Ajibu alikuwa na kadi za njano 5. Kweli yanga mnafanana akili zenu, halafu mkiambiwa ukweli mnasema tumetumia lugha kali.Usisahau ya simba kumchezesha musa hasan mgosi,na wakalimwa point, mbumbumbu hukumbuka ya jana jioni na kamwe hakumbuki ya juzi