Simba kunyang'anywa point zake dhidi ya Prisons

Kama kweli hiyo kanuni ilishaanza kutumika kwa nn vilabu vingi vinashangazwa na huo utaratibu uliotumika kumchezesha Ajibu!!!
Tafakari....

Dah!
Ujinga wa wengine (timu zingine) kisiwe kigezo cha wale wenye ufahamu na kanuni hizo kutokuzitumia.
 
Masuke;

Acha kuongopea watu, na watu kama nyie ndio mmeufikisha hapa mpira wa bongo!

leo mtendaji mkuu wa bodi ya ligi amehojiwa na kituo cha radio cha Efm, amekili kuwa kuna makosa ya kiufundi yamefanywa na Tff, kwa kutovijijurisha virabu vyote juu ya mabadiliko hayo ya kanuni!

ila Yanga wana hoja ya msingi, hivyo waulizwe tff, na inakuwaje ni simba pekee tu ndio ana barua hiyo?

Tatizo la washabiki wa bongo mna yale MAHABA NIUE, badala ya kuangalia jambo la msingi. Utaratibu wa kubadili kanuni zozote za mashindano unajulikana ni lazima wadau wote washirikishwe toka mwanzo, Sasa huyo kiongozi wa kamati ya ligi anasema hiyo kanuni imeonekana ina mashiko eti labda huyo mchezaji alionyeshwa kadi hizo ki makosa!

kwani mtu akionyeshwa kadi kimakosa c kuna utaratibu wa kufuata? ndio wa kubadilisha kanuni?

Badaye walipombana sana akamalizia kwa kusema wao wasilaumiwe kwani aliyekuwa anatakiwa kuvijulisha vilabu ni tff, Huyu malinzi naye ni wale wale tu yaani ameshindwa kabisa kuifanya tff kama taasisi, imekuwa kama club ya walevi kila mtu na lwake!! Kama ungekuwa umemsikia vizuri huyo kiongozi wa kamati ya ligi usingeandika huo utumbo hapo juu.

Kwa hiyo ulitaka Simba wajulishe vilabu vingine kwamba kuna mabadiliko ya kanuni?

Na kama hiyo kanuni haijaanza kutumika ilikuwaje huyo kaimu mtendaji aitumie kuwaruhusu Simba kumtumia huyo mchezaji?

Na hiyo nakala ya kumruhusu mchezaji huyo kucheza Yanga waliipata, Mtibwa waliipata, Prisons waliipata kwa nini hawakuweka pingamizi kabla ya mechi, kwa nini hawakusema mara tu baada ya kupata hiyo nakala kwamba hiyo kanuni haipo? Kwa nini walikaa kimya wakati taarifa walikuwa nayo siku moja kabla ya mechi.

Mkuu ungejibu tu baadhi ya vitu nilivyoandika na sio kuanza kunishambulia.
 
Last edited by a moderator:
Kama kweli hiyo kanuni ilishaanza kutumika kwa nn vilabu vingi vinashangazwa na huo utaratibu uliotumika kumchezesha Ajibu!!!
Tafakari....

Vilabu vingi ni vingapi na vipi hivyo?
 
Vilabu vingi ni vingapi na vipi hivyo?
Wewe acha kuropoka ropoka ovyo!!
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi amekiri kuwa tff ndo ilifanya kosa wewe nani unaeloloma kwa mahaba yako niue kwa timu yako!!? Na wale prisons wanaosema kuwa taarifa hiyo ya kumchezesha Ajibu waliipata saa moja kabla ya kuanza mechi na wao utasemaje?! We jamaa una ushabiki wa kishamba sana hata kama ukweli unauona kwann hutaki hukubali!!! Malinzi na kaburu wanataka kulipeleka shirikisho letu mahal pabaya kwa ujinga wao huu wa kutaka kuvibeba vilabu vya yanga na simba.
 
Wengine hatujakuzwa kujibishishana kwa kutukanana, kama huwezi kunijibu swali rahisi kiasi hicho badala yake unaamua kuandika maelezo mengi na kunitukana unataka niseme nini zaidi kumbe? Ngoja niseme unayoyapenda:

"Kuanzia leo Kaburu na Jamal Malinzi wamezuiwa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Yanga Ndugu Jerry Muro kujihusisha na soka. Aidha ndugu Jerry Muro amemutaka kaimu wa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kujiuzuru mara moja.

Akiongea kwa makini na kuonyesha kuwa ndugu Jerry Muro anajua anachokisema ameipoka klabu ya Simba pointi tatu na magoli yote matano waliyofunga dhidi ya Prisons na badala yake ameamua kuwapa Prisons pointi moja na magoli mawili na pointi mbili na yale magoli matatu amewapa Yanga maana wao ndo waliofanya Inteligensia na kugundua figisu figisu zote hizo."
 
Kumbuka hiyo kamati inaongozwa na Geofrey Nyange Kaburu unategemea nini hapo!!
Huyu si ndo aliwaambia simba waandike barua ya kuiomba tff iwaruhusu simba kumchezesha Ajibu kwenye mechi dhidi ya Prisons na yanga!!!! halafu asicheze mechi ya mtibwa!? Nina mashaka na hayo maamuzi yatakayo fikiwa kwenye hiyo kamati itayoketi hapo Jumanne. Nadhani yatakuwa ya kuibeba timu fulan bila kujali kanuni za ligi zinasemaje!, kama desturi ya viongoz wetu wa pale tff.

Jibu nimelipata,maana hiyo sheria vilabu vyote vya ligi kuu havina taarifa km ilipitishwa,kutokana na kutopewa taarifa,kumbe taarifa walipewa cmba tu na ndio maana wakapata ujasiri wa kumuombea hajib acheze ile game,mpira wetu una kazi kubwa kufikia level inayotakiwa,tenga tunakukumbuka mapema mno
 
Viongozi wa yeboyebo ndala mgongo wazi wamekiri kuwa na nakala ya mabadiliko hayo sielewi wewe mlalahoi unasema nini humu!
Walichopinga viongozi wenu ni kanuni hiyo kutokuwa na baraka za mkutano mkuu wa TFF suala ambalo TFF wamesema Yeboyebo wamekurupuka maana kanuni sio Katiba ipitishwe na mkutano mkuu.
 
Wengine hatujakuzwa kujibishishana kwa kutukanana, kama huwezi kunijibu swali rahisi kiasi hicho badala yake unaamua kuandika maelezo mengi na kunitukana unataka niseme nini zaidi kumbe? Ngoja niseme unayoyapenda:

"Kuanzia leo Kaburu na Jamal Malinzi wamezuiwa na mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa Yanga Ndugu Jerry Muro kujihusisha na soka. Aidha ndugu Jerry Muro amemutaka kaimu wa mtendaji mkuu wa bodi ya ligi kujiuzuru mara moja.

Akiongea kwa makini na kuonyesha kuwa ndugu Jerry Muro anajua anachokisema ameipoka klabu ya Simba pointi tatu na magoli yote matano waliyofunga dhidi ya Prisons na badala yake ameamua kuwapa Prisons pointi moja na magoli mawili na pointi mbili na yale magoli matatu amewapa Yanga maana wao ndo waliofanya Inteligensia na kugundua figisu figisu zote hizo."

Hahahahahaaaaaaaaa.......hii inaweza kuandikwa na vichwa vichache sana duniani, sidhani kama Wakukurupuka a.k.a wazee wa kuvua kambale matopeni wameelewa.

Ikiwa kanuni ndogo tu imewashinda kuelewa hii logic wataielewa?
 
Wewe acha kuropoka ropoka ovyo!!
Mtendaji mkuu wa bodi ya ligi amekiri kuwa tff ndo ilifanya kosa wewe nani unaeloloma kwa mahaba yako niue kwa timu yako!!? Na wale prisons wanaosema kuwa taarifa hiyo ya kumchezesha Ajibu waliipata saa moja kabla ya kuanza mechi na wao utasemaje?! We jamaa una ushabiki wa kishamba sana hata kama ukweli unauona kwann hutaki hukubali!!! Malinzi na kaburu wanataka kulipeleka shirikisho letu mahal pabaya kwa ujinga wao huu wa kutaka kuvibeba vilabu vya yanga na simba.

Acha kubwabwaja humu bila kituo, kama unaona haki haijatendeka kwa sababu mnamuogopa Hajib nendeni mkakate rufaa FIFA ambako Malinzi na Kaburu hawapo.
Vinginevyo mkishindwa mtaudhihirishia umma wa dunia kwamba nyinyi si tu ni mbumbumbu bali ni mataahira ya mirembe hosp. Kabisaaaa.
 
Viongozi wa yeboyebo ndala mgongo wazi wamekiri kuwa na nakala ya mabadiliko hayo sielewi wewe mlalahoi unasema nini humu!
Walichopinga viongozi wenu ni kanuni hiyo kutokuwa na baraka za mkutano mkuu wa TFF suala ambalo TFF wamesema Yeboyebo wamekurupuka maana kanuni sio Katiba ipitishwe na mkutano mkuu.

Wewe mkia acha umbu3 wako,sheria haiwezi kutumika bila kupitishwa bila kujulishwa vilabu vingine,ile sheria ingepitishwa Yanga ingeomba kumtumia twite ktk mechi ya city,hapo mnachotumia kina aveva ni kufunika kombe mwanaharamu apite,ktk vilabu vyote vinashiriki ligi kuu iweje hiyo taarifa ya kubadilisha kanuni muijue nyie tu!
 
....makelele yote haya ni kwa vile SIMBA ilishinda tena USHINDI wa kutia fora, lakini ingulikuwa ndiyo imepoteza mchezo huo hakuna ambaye angejitokeza kusema chochote juu ya ukiukwaji wa kanuni.
 
Kwa hiyo ulitaka Simba wajulishe vilabu vingine kwamba kuna mabadiliko ya kanuni?

Na kama hiyo kanuni haijaanza kutumika ilikuwaje huyo kaimu mtendaji aitumie kuwaruhusu Simba kumtumia huyo mchezaji?

Na hiyo nakala ya kumruhusu mchezaji huyo kucheza Yanga waliipata, Mtibwa waliipata, Prisons waliipata kwa nini hawakuweka pingamizi kabla ya mechi, kwa nini hawakusema mara tu baada ya kupata hiyo nakala kwamba hiyo kanuni haipo? Kwa nini walikaa kimya wakati taarifa walikuwa nayo siku moja kabla ya mechi.

Mkuu ungejibu tu baadhi ya vitu nilivyoandika na sio kuanza kunishambulia.

Mkuu haya mataahira kuelewa kitu ni kazi ya miaka 10 mbele, achana nayo
 
Wewe mkia acha umbu3 wako,sheria haiwezi kutumika bila kupitishwa bila kujulishwa vilabu vingine,ile sheria ingepitishwa Yanga ingeomba kumtumia twite ktk mechi ya city,hapo mnachotumia kina aveva ni kufunika kombe mwanaharamu apite,ktk vilabu vyote vinashiriki ligi kuu iweje hiyo taarifa ya kubadilisha kanuni muijue nyie tu!
Wakukurupuka acha utaahira, uliambiwa na gabachori lenu kuwa kazi ya kujulisha vilabu vingine vyote ilikuwa ni ya Simba SC???????
 
....makelele yote haya ni kwa vile SIMBA ilishinda tena USHINDI wa kutia fora, lakini ingulikuwa ndiyo imepoteza mchezo huo hakuna ambaye angejitokeza kusema chochote juu ya ukiukwaji wa kanuni.

Ushindi ambao umekishtua kiss me tulichokipiga bao 5, sasa kinataka tena
Demu wako ni wako hata apate bwana Botswana atarudi kwa mumewe tu.
 
Dah!
Ujinga wa wengine (timu zingine) kisiwe kigezo cha wale wenye ufahamu na kanuni hizo kutokuzitumia.

Mkuu shule ya kata kukosa syllabus, vitabu na maabara haizuii Mitihani ya Kitaifa kufanyika, yanga ni shule ya kata tuuu...
 
Hapo mkuu mnadanganyana tu hakuna pointi zitakazochukuliwa, kanuni ile ilishaanza kutumika tayari na Katibu wa TFF ndugu Mwesigwa amewaambia Yanga kama nao wanataka kuitumia hiyo kanuni wawasilishe tu maombi yao siku moja kabla ya mechi nao wataruhusiwa na sio kutaka Simba wapokwe pointi zao wakati walifuata taratibu zote za kumchezesha huyo bwana mdogo.

Mke anataka mume asipewe mshahara wakati kazi kafanya mume, mke yake kusubiria bao zake 5 dimbani kwa seremala.
 
Back
Top Bottom