Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,962
- 13,943
Mkuu shule ya kata kukosa syllabus, vitabu na maabara haizuii Mitihani ya Kitaifa kufanyika, yanga ni shule ya kata tuuu...
Uje hapa baada ya mechi saa 12 na nusu jioni J2.
Mkuu shule ya kata kukosa syllabus, vitabu na maabara haizuii Mitihani ya Kitaifa kufanyika, yanga ni shule ya kata tuuu...
Uje hapa baada ya mechi saa 12 na nusu jioni J2.
Niongee na nani wakati Yanga wote mtakuwa mmezimia au kufa kama kawaida yenu?Uje hapa baada ya mechi saa 12 na nusu jioni J2.
Hata tukipanga timu ya Wanawake ya Simba yanga ameshinda sana sare.yanga kuifunga simba ni ndoto hata km wachezaji wa simba wote ni majeruhi
Habari ya Jiji na miji kwa sasa ni Ibrahim Ajib pekee.na trh8 hajib ndani ya dimba! Mbn mnamuogopa bwana mdogo huyu!! Ndala fc karibuni taifa! Tulipokuwa nafac ya 9 mkasema tunashuka daraja sasa ushindi dhidi ya prison mmeanza kubwabwaja!! Kweli yanga km timu ya ndondo!!
Kuita mtu mbumbumbu hiyo ni lugha nyepesi au umekurupuka kutoka usingizini na mawenge?Kweli ndugu yangu this is sport ,tumia rugha za utani punguza matusi,nimekuona mara nyingi sana unapanic kupita kiasi na unatumia rugha za ajabu ajabu na nzito kama upo kwenye jukwaa la siasa na katiba...
Wakukurupuka kwa akili yako unajua Aveva yuko TFF? Hatuwashangai nyinyi tumewazoea kila hoja mnakurupuka mwisho wa siku mnaangukia pua na mdomo.Mbu3 umepanic,jibu hoja co unaleta mipasho hapa
Wewe yeboyebo taahira mbumbumbu mbona hushangai Kiongozi wako Manji hapingi tamko la TFF kuwa Yanga ilipelekewa nakala ya taarifa ya mabadiliko na wakakiri kupokea. Ni wewe tu mlalahoi mbwatukaji wa kijiweni ndiye unashabikia kitu usichokijua.Wewe mkia acha umbu3 wako,sheria haiwezi kutumika bila kupitishwa bila kujulishwa vilabu vingine,ile sheria ingepitishwa Yanga ingeomba kumtumia twite ktk mechi ya city,hapo mnachotumia kina aveva ni kufunika kombe mwanaharamu apite,ktk vilabu vyote vinashiriki ligi kuu iweje hiyo taarifa ya kubadilisha kanuni muijue nyie tu!
Wewe yeboyebo taahira mbumbumbu mbona hushangai Kiongozi wako Manji hapingi tamko la TFF kuwa Yanga ilipelekewa nakala ya taarifa ya mabadiliko na wakakiri kupokea. Ni wewe tu mlalahoi mbwatukaji wa kijiweni ndiye unashabikia kitu usichokijua.