Simba kunyang'anywa point zake dhidi ya Prisons

Simba kunyang'anywa point zake dhidi ya Prisons

wewe unafikiri Simba ni mambumbumbu wa kanuni 17 za soka kama nyinyi mliochezesha jitu lenye straight red card Tanga na Coastal Union halafu mlivyopokonywa point 3 mkaanza kumlaumu Aden Rage, kwani ndiye aliyemtuma apige mwamuzi?

Mkuu Leo Naona Ni Kama Vile Treni Imekaa Mahala Pake Kwa Madongo Unayowapa Yanga. Ebwana Sina Mbavu Mkuu Utaniua Kwa Kucheka.
 
Wewe unafurahia madongo wakati mikia wananyanganywa point hiyo Sheria labda ni ligi ya kaburu na hiyo bodi yake hicho kitu hakuna duniani kote mtu afungiwe mechi 3 halafu achague basi hata kiungo Wa Chelse juzi alivyofungiwa angechagua labda Sheria za mpira ule na huu ni tofauti mleta mada upo sahii ila Hawa migongo wazi ni ubishi kama wanavyodanganywa na viongozi wao juzi kwenye mkutano Wa mambulula
 
Yaani Ndalla waoga kweli, kisa kapiga hat trick juzi basi wingu la hofu limetanda kila mahali, na atatupia tuu kama kawa!
 
jamali malinzi nakuonea huruma sana uliambiwa mapema sana kaburu mtoe tff kama unamtaka lazima awe shabiki wa simba kwenye ukurugenzi wa mashindano bora ungemuweka kibadeni au rage wambura na wengi sio tapeli la soka anaezunguza mdomo unachongoka watu wa namna hiyo iwenao mbali kama mwanamke usimuowe
 
Hawezi kumuondoa pale,kwani wana undugu wa damu na usinawajua tena kina...
 
Si mara ya kwanza yanga walipoteza point kwa coastal kwa kumchezesha cannavaro lkn maisha yakaendelea si ajabu kwa simba au timu nyingine leo
 
Mkuu unakosea unapoacha kuwatag wahusika nmeshindwa kuwatag na hyo kanuni maana humu kuna watu wanajifanya hamnazo kama bodi ya ligi ni ya baba yao Freeland

Haya hongereni...nendeni mkachukue point za simba....makofi tafadhaliiiiii
 
Hapa sheria imepindishwa jamar malinzi upo wapi ww
Kutokana na mabadiliko kanuni za uendeshaji ligi ni kuwa timu husika inaweza muombea mchezaji wake mwenye kadi tatu za njano game ipi acheze na game ipi asicheze kwa mujibu ya majibu kutoka board ya ligi SSC waliandika barua na kumuombea Ibrahim hajibu acheze game ya prison na ya yanga africa so SSC walikuwa wapo sahihi kumchezesha hajibu game yao ya prison na watamchezesha na ya yanga pia.
 
Yaani Ndalla waoga kweli, kisa kapiga hat trick juzi basi wingu la hofu limetanda kila mahali, na atatupia tuu kama kawa!
Wewe mkia, waliokata rufaa ya Ajibu kuchezeshwa kimakosa ni yanga!!?
Kuna watu wengine akili zao utadhani zinaongozwa kwa remote, rufaa akate prisons yanga uitajie nini!! Ninyi mikia na Malinzi wenu ndo mnaoharibu mpira wa tanzania. Siipendi tifutifu ya Malinzi mtu wa ajabu sana huyu.
 
Jamal Malinzi na kaburu hawakukutana barabarani,hili jambo litapigwa kata funua mchana mchana
 
Bora tushuke daraja labla tutapumua.tumeshinda uwanjani kumbe duuuuuuuu 5 sio za bure.
 
Ukifuatilia vzr kumbukumbu zetu,msimu ujao tutakuwa daraja la kwanza tukipambana na kina kimondo.
 
Wewe mkia, waliokata rufaa ya Ajibu kuchezeshwa kimakosa ni yanga!!?
Kuna watu wengine akili zao utadhani zinaongozwa kwa remote, rufaa akate prisons yanga uitajie nini!! Ninyi mikia na Malinzi wenu ndo mnaoharibu mpira wa tanzania. Siipendi tifutifu ya Malinzi mtu wa ajabu sana huyu.

Kama rufaa kakata prisons nyinyi inawapwelepweta nini? Aliyekwambia Malinzi ni mwanachama wa Simba nani? Leo mnamkana hata ndugu yenu, kumbe ile slogan ya 'KILA MTU ATAISHABIKIA SIMBA' imeanza kufanya kazi, bado wewe kuhamia chama kubwa, chama la kupiga watu 5 bila. Hahahahaaaaaaa....
 
Yaani Ndalla waoga kweli, kisa kapiga hat trick juzi basi wingu la hofu limetanda kila mahali, na atatupia tuu kama kawa!

Yeboyebo hakulaliki tena, mtu akisinzia anamuota Ajib akipiga H.T basi anakurupuka usingizini. Chezea Ajib wewe huku World classic Tomentor 'Okwi' ananyemelea.
 
Kama rufaa kakata prisons nyinyi inawapwelepweta nini? Aliyekwambia Malinzi ni mwanachama wa Simba nani? Leo mnamkana hata ndugu yenu, kumbe ile slogan ya 'KILA MTU ATAISHABIKIA SIMBA' imeanza kufanya kazi, bado wewe kuhamia chama kubwa, chama la kupiga watu 5 bila. Hahahahaaaaaaa....
Nina wasiwasi na wewe mtu,
Lazima utakuwa Evans Aveva. yaan sioni tofaut kati yako na Aveva, akili zetu zilivyodumaa kama kinyesi cha mbuz wala haziwazi mbali kabisa. Uwezo wenu wa kufikiri ni sawa sawa na ndege kuku apigwae sasa na akasahau baada ya dakika tano huu kwel ni umbumbumbu!!!, Mnamchezesha mchezaji mwenye kadi tatu za njano kimakusudi watu wakihoji uhalali wa kufanya hivo ninyi mambumbumbu mnakurupuka na majibu ya kitoto eti yanga inamwogopa Ajibu!!! Huu ni ujinga kabisa tena unaofugwa na tff ya Jamal Malinzi.
 
Back
Top Bottom