Simba kesho hatoboi kwa yanga anapigwa tena.

zawadi special

Senior Member
Joined
Sep 30, 2026
Posts
139
Reaction score
158
Habari zenu,kiukweli hili mechi ni kama imeisha tu,sioni simba akishida kivyovyote vile,nasema hivi kwasababu naona siasa imeingia,

Na ukizingatia yanga ina watu wazito serikalini,suala la uwanja suala la tiketi.kuna mauzauza mengi sana kwenye soka la mbogo,hizi mechi zinachezwa nje uwanja sana na wamezidiwa pakubwa nje ya uwanja,kuna kauli Manara alitoaga alisema simba kuchukua ubingwa hadi mwaka 2030.

Hakusema kwa bahati mbaya kuna kitu anajua,mashabiki wa simba kesho mjiandae kwa maumivu mengine alamski.
 
Yanga Bingwa.
 
Kuna magoli yanafungwa yanakataliwa,rejea mechi ya Zanzibar ya ligi Sele mwalimu.
 
Habari zenu,kiukweli hili mechi ni kama imeisha tu,sioni simba akishida kivyovyote vile,nasema hivi kwasababu naona siasa imeingia,

Na ukizingatia yanga ina watu wazito serikalini,suala la uwanja suala la tiketi.kuna mauzauza mengi sana kwenye soka la mbogo,hizi mechi zinachezwa nje uwanja sana na wamezidiwa pakubwa nje ya uwanja,kuna kauli Manara alitoaga alisema simba kuchukua ubingwa hadi mwaka 2030.

Hakusema kwa bahati mbaya kuna kitu anajua,mashabiki wa simba kesho mjiandae kwa maumivu mengine alamski.
Toa ahadi kabisa ili tujue imekaaje.
 
Mimi nimeota yanga amekufa goli tano
 
kuna Yanga ambazo ilikuwa mkiingia nayo uwanjani kama mwanasimba kiroho kinapwita pa kutokea hupaoni ila siyo hii ya kuomba Mungu mbele ya Makhirikhiri..

Simba
akifungwa ni kocha aje na machaguzi mabovu ya wachezaji au wachezaji wenyewe wawe na uoga kutokana na kufungwa mara kwa mara na Yanga... au kama kawaida yao wachoyo kama Mpanzu walete ungese wa uchoyo..
 
Back
Top Bottom