Simanjiro: James Millya vs Ole Sendeka

Rafiki,
Hivi yeye msee wetu Olesendeka anatarajiwa kuikomboa lini Simanjiro yetu?
Kwani yeye amekuwa kiongosi kwa muda gani sasa?
Ktk muda huo, kaifanyia nini Simanjiro yetu?
Rafiki, hii ni ngumu kumesa!
 
Na wewe rafiki, unakosea sana kugeneralise!

Unaposema wamasai hatunaga akili hata kidogooo, weye hapo unaonesa akili kweli?
 
Na wewe rafiki, unakosea sana kugeneralise!

Unaposema wamasai hatunaga akili hata kidogooo, weye hapo unaonesa akili kweli?

Nani kasema wamasai ni wajinga? Ni Mimi au nani? Ni kweli kuna baadhi ya wamasai wajinga kwa mfano Millya na Oleleshwa.
 
Nani kasema wamasai ni wajinga? Ni Mimi au nani? Ni kweli kuna baadhi ya wamasai wajinga kwa mfano Millya na Oleleshwa.

Katika post yake moja Ukweli Mtupu kasema '...Yani wamasai ni manamba wetu watarajiwa make hamnaga akili hata kidogo '
 
Nani kasema wamasai ni wajinga? Ni Mimi au nani? Ni kweli kuna baadhi ya wamasai wajinga kwa mfano Millya na Oleleshwa.
Kwanini usiwe wewe ndie mjinga kwa kuja na andiko la kijinga la kumsifia fisadi na mnafiki wakutupwa ole sendeka! Si unakumbuka undumila kuwili wake pale bungeni! alimponda Lisu kuwa hajui sheria, kabla mwezi haujaisha hoja ya marekebisho ya sheria ya katiba mpya iliporudishwa bungeni sendeka akalamba matapishi yake na kuja kumsifia Lisu kuwa anaijua sheria! Looo wewe na sendeka wako ni wamasai choka mbaya
 
Endelea na ubabaishaji wako kama, pia acha kukaa nyuma na kufikiri kwa kutumia masaburi.
 
Mie nadhani wewe ndiye Ole Sendeka mwenyewe kwani una dalili zote za mto mwenye "kibyongo"!

Ana dalili zote za kupata zero form six siyo???? Kuna watu wanatia hasira mpaka unataka kuwalamba vibao.
 
upumbavu ni kipaji! Na unacho GPA ya neg 5
 
umelipwa bei gani? kama Simanjiro kuna watu watano tu kama ww basi safari ya ukombozi bado ngumu mno !nani kakwambia siasa ni vita? TAFAKARI
 
umelipwa bei gani? kama Simanjiro kuna watu watano tu kama ww basi safari ya ukombozi bado ngumu mno !nani kakwambia siasa ni vita? TAFAKARI

Asee huo ukombozi wenu hautafanikiwa kwa maana tuko zaidi ya watano.
 
mwanzisha thread ni kilaza mbaya hata elimu ya uraia hana so hawezi fundisha wengine ni kumpoteza coz anafuata mkumbo wa babu zake wa kumuamini kumtukuza na kumuogopa mkoloni mweusi
 
Mh Mbunge anamajukumu mengi sana hawez kuja huku kwani atakuja kufanya nini.
Hakika umenena, ana majukumu mengi! ya kifisadi of course! Wezi katu hawathubutu kukanyaga humu, wakichungulia tu ni mawe kama kibaka vile...naona wewe umepotea tu njia, sasa angalia unavyorushiwa mawe...kibaka mkubwa!
 
Nyie tafuteni propaganda za kuwahadaa watanzania pasipokujua kuwa hawahadaiki, badala ya kufikiria nini mfanye ili angalau mwe na cha kuongea kwa miaka 51 ya uhuru wa tanganyika chini ya lindi kubwa la ujinga na umasikini uliokithiri pamoja na huduma duni za afya zinazotolewa chini ya ufadhili mkubwa wa rushwa inayoanzia kwenye chaguzi zenu za ndani, serikalini hadi kwa watumishi.

Wazeni upumbavu, chukueni maneno ya wassira mkiaminishwa kuwa kwa kufanya hivyo chadema itakufa kumbe ndio mnaijenga na kuiaminisha zaidi kwa wananchi maana ccm mmekosa sera, dira na kauli ya kuwaambia wananchi juu ya nini mmefanya cha maana hadi leo hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…