Silinde umeweka rehani jimbo

Silinde tumemaliza nae chuo mwaka mmoja namjua vizur na mpaka kwake tbt nipajua,,, ndio mshkaj anamalizia nyumba yake ndo inamkeep busy kuwa dar mara nyingi na hata mdogo wake anaitwa T.... ameshamwambia sana bro utapoteza jimbo,,, tatizo ana biashara zinamtesa, plus wife ana watoto mapacha nao wanamchanganya si unajua watoto wakiumwa umwa na hata demu wake nae ajakomaa kiakili as walimaliza wote b com 2010 so kila jambo hadi silinde awepo alisolve na hii imesababisha ashindwe kufatilia mambo ya jimbo..

Ila msijali wadau wadau tunampush kamanda wetu wa m4c arudi jimbon kuleta maendeleo tusije tukapoteza jimbo kwa magamba uchaguz ujao

Jamaa naona umefunguka mno,japo usemayo yana ukweli.
 
Alisema yeye ni sauti ya simba na baada ya mwezi sita atasikika dunia kote lakini mpaka sasa jamaa anapwaya sana kama vp jaribuni kumshauri maana ubunge 2015 atasikia kwenye mtandao.

Sauti ya simba mana yake nini mkuu?
 
Tatizo watu mnalitaman sana hilo jimbo... Tell you what, Silinde atabaki jimbon for the next many years. Ushaur wako umekaa kishar so jipange.
 
Siasa za SIlinde ni kama hataki jimbo

unaonaje ukiipeleka fiesta jimboni kwa silinde mwakani?
Halafu hela itakayopatikana isaidie kuchimba visima vya maji maana nasikia kuns shida ya maji sana.
 
Silinde tumemaliza nae chuo mwaka mmoja namjua vizur na mpaka kwake tbt nipajua,,, ndio mshkaj anamalizia nyumba yake ndo inamkeep busy kuwa dar mara nyingi na hata mdogo wake anaitwa T.... ameshamwambia sana bro utapoteza jimbo,,, tatizo ana biashara zinamtesa, plus wife ana watoto mapacha nao wanamchanganya si unajua watoto wakiumwa umwa na hata demu wake nae ajakomaa kiakili as walimaliza wote b com 2010 so kila jambo hadi silinde awepo alisolve na hii imesababisha ashindwe kufatilia mambo ya jimbo..

Ila msijali wadau wadau tunampush kamanda wetu wa m4c arudi jimbon kuleta maendeleo tusije tukapoteza jimbo kwa magamba uchaguz ujao

Mkata kiu, hayo maelezo yoooote ya ndani ya familia ya jamaa yanin.. In short yamekaa Kiunafiki.
 
Unafiki wa vijana na tamaa ya majimbo na vyeo vya vijana wenzao.

Du kweli hawa vijana uchwara wenye safu nyembamba wanatisha..........

Silinde piga mzigo baba na achana na walevi wachache kama SIAME wa CCM alikushindwa wewe sauti ya simba, je hawa vijana misukule ndio watakuweza?
 
Wapiga kura wa Tunduma jimbo la Silinde tumekosa umeme siku 13 mfululizo tunampigia mbunge wetu anatujibu utumbo wapiga kura wake eti fuatilieni mambo yenu kwa vile umehamishia makazi Dar ndo utusahau wapiga kula? Chama tuna kipenda ila wewe 2015 ukigombea jimbo tunarudisha kwa magamba kwa kura za hasira.

wewe mvuta bangi hebu peleka huko huo uroho wako wa majimbo ya wanaume, yani mwenzako alipiga kampeni kwa Tsh 25,000 lakini wakampa kura je www kilaza itakuwaje?

WIVU NI DHAHABU KWA MPUMBAVU.
 
Kazi ya mbunge ni ipi nyie wanafiki hapo juu

Kazi ya Mbuge ni kuhakikisha umeme jimboni kwake hauzimi? kama ndio hivyo wabunge wa Kigoma mjini, Songea Mjini, Tuduru, Mbinga, (kutaja kwa uchache)wasinge tawala hizo awamu walizotawala hadi sasa!usimhukumu Silinde kwa chuki binafsi, au Silinde ni fundi mtambo wa TANESCO?
 
Wapiga kura wa Tunduma jimbo la Silinde tumekosa umeme siku 13 mfululizo tunampigia mbunge wetu anatujibu utumbo wapiga kura wake eti fuatilieni mambo yenu kwa vile umehamishia makazi Dar ndo utusahau wapiga kula? Chama tuna kipenda ila wewe 2015 ukigombea jimbo tunarudisha kwa magamba kwa kura za hasira.

Wala tusiumize vichwa vyetu katika uzi huu kwani huyu jamaa katumwa dhahiri ila kaja kwa style ya kujikosha huku anatupia mawe! Eti mimi mwanachadema! Umetumwa ba Nape wewe! Shilinde unaweza kumlinganisha na gamba gani hata Tz? Shilinde mmoja na magamba 100 kumbuka! Angali hata picha yake inafanana na masaburi kabisa! Utamjuaje!
 
We jikoshe tu ila Silinde 2015 kesha poteza jimbo tayari
 
Unafiki wa vijana na tamaa ya majimbo na vyeo vya vijana wenzao.Du kweli hawa vijana uchwara wenye safu nyembamba wanatisha..........Silinde piga mzigo baba na achana na walevi wachache kama SIAME wa CCM alikushindwa wewe sauti ya simba, je hawa vijana misukule ndio watakuweza?
Mpeni tiketi Zitto agombee urais 2015
 
Back
Top Bottom