Silaha kuu ya mwanaume katika mapenzi ni ipi?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Silaha kuu ya mwanaume katika mapenzi ni ipi??

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by St. Paka Mweusi, Mar 23, 2011.

 1. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #1
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Naomba kuuliza wanajamvi,katika mapenzi ili yadumu na kutopungua thamani mwanaume anatakiwa awe na silaha ipi?Naomba kwa kuanzia niseme tu ninavyoona mimi, naona ni mapenzi ya kweli na kujali hisia za mpenzi wako,nina imani kuna watakaofikiria pesa lakini kwangu mimi pesa ninaona kama hazina faida yoyote katika mapenzi ya kweli kwani tumeshuhudia mapenzi yanapotawaliwa na pesa basi huwa hayadumu kwa muda mrefu.Wana JF naomba tusaidiane..
   
 2. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #2
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  siraha kubwa kabisa ni UONGO Maana kila jambo unalofanya ukilipamba na ka uongo kidogo mambo bam mbam.mf unalazimika kuvaa uhalisia wa jambo hata kama nigumu kiasi gani kwako.mfano wife/mpenzi anataka mwanaume mcheshi so inabidi umdamganye kwa kuvaa sura ya ucheshi kwa muda.
   
 3. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #3
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145

  Lazima mwenza wako atakuwa na furaha sana mkuu na nimekutendea haki hapo juu,lakini waswahili husema njia ya mwongo ni fupi sijui ni vipi hapo
   
 4. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #4
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Ulimi tu hakuna kitu tunapenda wanawake kama kupewa maneno ya mahaba muda wote, haijalishi kama mengine ni uongo au nini, umjali na kumheshimu mwenzako hapo umemaliza mchezo mengine ni kumalizia tu
   
 5. NATA

  NATA JF-Expert Member

  #5
  Mar 23, 2011
  Joined: May 10, 2007
  Messages: 4,516
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Batery iwe on kila unapotaka kupiga cm na pesa ni muhimu pia la sivyo watakupigia cm wanaume wenzako mkuu
   
 6. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #6
  Mar 23, 2011
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,651
  Likes Received: 8,207
  Trophy Points: 280
  be u!
  Be u!
  Be u!
   
 7. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #7
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145  Sijakataa suala la pesa lakini iwe ni katika kuendesha maisha na sio kwamba pesa ndio ishikilie mapenzi yenu,maana kuna wengune usipompa pesa basi hakuna maelewano.
   
 8. P

  Pomole JF-Expert Member

  #8
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Silaha kubwa ni kubobea ktk kuchakachua!Ukiweza kumsoma mwenza wako vema na ukawa unampa mkwaju vizuri hadi anafika pale juu ya kilima bila bughudha utamaliza kila kitu!!hiyo silaha itakulinda sana.Silaha za ziada ni uongo,heshima,pesa na kujali.Nawasilisha
   
 9. Mwanamayu

  Mwanamayu JF-Expert Member

  #9
  Mar 23, 2011
  Joined: May 7, 2010
  Messages: 7,936
  Likes Received: 2,086
  Trophy Points: 280
  shaft imara na art ya kutosha!
   
 10. Susy

  Susy JF-Expert Member

  #10
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 1,450
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  ninavyojua mimi hakuna shule/chuo kinachofundisha mapenzi/ndoa, ila haya mambo yako kitofauti kabisa na kivingine, hayana fomula maalum!! na ukimuegelezea mwingine imekula kwako!! watu tumetofautina kuanzia maumbile mpaka tabia ss basi utakuta ww umeoa mkeo anapenda sana umuheshimu, umwambie kila jambo, mwingine akiletewa zawadi, mwingine akimuona mwenzi wake yuko karibu na yy ndio anaona haibiwi yaani yy ni yy tu, hivyo hizi silaha zinatofautiana sana!!! lbd tu watu muorodheshe then mtu achague anataka ku-apply ipi.
   
 11. Slave

  Slave JF-Expert Member

  #11
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 6, 2010
  Messages: 5,223
  Likes Received: 616
  Trophy Points: 280
  sipendi kuingiza siasa humu ila naomba nitoe kama mfano. NDG WANANCHI NAOMBA KURA ZENU NITAWALIPA MAENDELEO.MIMI NAWAPENDA WANANCH WOTE NA NINAAHIDI TANZANIA ITAKUWA KAMA DUBAI.mkimpa kura mwenzenu kila siku anau apdate uongo na kuwa mpya.mwisho wasiku kamaliza muda wake wa kuongoza mean kufa kwa mmoja wenu mume/mke.
   
 12. Nemo

  Nemo JF-Expert Member

  #12
  Mar 23, 2011
  Joined: Feb 22, 2011
  Messages: 661
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 80
  Knowing his woman's worth and recognising her place in the relationship
   
 13. LD

  LD JF-Expert Member

  #13
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Dah Paka Mweusi aka Mtakatifu.
  Unachokisema ni sahihi kabisaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
  Ukimjengea mpenzi wako mapenzi katika msingi wa pesa, siku zikiisha imekula kwako.
  Unajua ndo naiona hii thread sasa hivi ila nilikuwa naongea na mtu mmoja mawazo kama haya haya.
  Kwamba pesa na vitu vingine viwe ni sehemu ya matumizi tu, lakini sio mbolea ya kukuzia Penzi.
  Mfahamu mwenzio anapenda nini anachukia nini, mfanyie vile anavyovipenda usimfanyie vile anavyovichukia, hata kama
  unaviona ni sahihi kabla hujamuelewesha akakuelewa na kukubaliana na wewe. Sio lazima kila kitu unachokipenda wewe,
  ukifanye wakati mwenzio hakipenda. Kwenye mapenzi kuna kujitoa sadaka pia, unaacha kufanya jambo fulani ingawa linakufurahisha,
  wewe lakini kwa sababu mwenzio halipendi unaamua tu kuliacha.

  Sio lazima mpenzi wako akuombe pesa ndo umpe, wakati mwingine soma tu alama za nyakati,
  Na kama nafsi yako inaambatana vizuri na mwezio , unaweza ukasukumwa kumpa pesa pale anapozihitaji kabla hata hajakuambia.

  Upendo, heshima na utu katika yenu, pamoja na neema ya Mungu, ndiyo Mbolea ya mapenzi yenu.
  Ukiwa na utu wema, utaepuka usaliti kwa mwenzio, utajali pale panapotakiwa kujali.
  Na mapenzi yatakuwa yanakua na kukomaa siku kwa siku.

  Ndio navyowaza mimi!!!
   
 14. Eeka Mangi

  Eeka Mangi JF-Expert Member

  #14
  Mar 23, 2011
  Joined: Jul 27, 2008
  Messages: 3,182
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Ukiwa mwongo usiwe msahaulifu. Uongo nao sanaa ati.
   
 15. LD

  LD JF-Expert Member

  #15
  Mar 23, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 3,021
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Kwa maana ingine sisi wasahaulifu, inabidi tuwe tunasema ukweli daima sio?
  Manake inaweza ikala kwetu!!!
   
 16. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #16
  Mar 23, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,957
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  UJANJA. Ujanja wa kugundua mapema kuwa mpenzi wako anataka nini na nini ufanye ili kumfurahisha. Wanawake huwa wanabadilika kimahitaji kila wakati, sasa ukikariri mahitaji yake unapishana naye. Si unajua jinsi unavyoweza kuwatuliza watoto? Basi, wanawake ni hivyo hivyo, ila utumie tekiniki za kiutu-uzima.
   
 17. H

  Hute JF-Expert Member

  #17
  Mar 23, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,044
  Likes Received: 3,914
  Trophy Points: 280
  kwanini tuwajali wanawake tu? ambao akili zao ni dongo kuliko za wanaume? nyie viumbe dhaifu dawa yenu nyie ni pesa tu, nikiwa nazo nitakuendesha nipendavyo, hasa zote zikiwa kwenye akaunti yenye jina langu tu....mimi nilifikiri mtauliza silaha ya kumshikilia mwnaaume kwenu nyie wadada ni nini?...jibu lingekuwa rahisi..sambusa...hiyo tu inalinda ndoa na inakupatia pesa zozote toka kwa bwanako hata za kujenga nyumbe kwenu kule bomang'ombe.....ila ukitaka kuuliza silaha za kwetu sisi wanaume kwaajili yenu nyie wanawake...aaah, mbona nyie ndo huwa mnajibembeleza, hatuhitaji kuwa na silaha sasa kwasababu mnashikika bila hata silaha.
   
 18. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #18
  Mar 23, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  We Hute hukuzaliwa na mwanamke?Acha dharau...eti akili ndogo!Yako ina ukubwa gani tofautisha na ya mwanamke?Nwy pesa haiwezi kumcontrol kila mtu kijana..hapo unapotea njia!Labda ukutane na mtu ambae bila pesa zako hawezi kuishi ndo umwendeshe unavyosema!

  Nwyz binafsi silaha nnayoamini itaniweka ni UKWELI!Hata kama aliwahi kuua nikijua kutakua na nafasi kubwa ya mimi kuendelea kuwepo kuliko kunificha nikaja gundua baadae!Then inafuatiwa na heshima..kujali..uelewa..uwepo wake nikimhitaji n.k
   
 19. P

  People JF-Expert Member

  #19
  Mar 23, 2011
  Joined: Jan 15, 2011
  Messages: 364
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  umenena
   
 20. St. Paka Mweusi

  St. Paka Mweusi JF-Expert Member

  #20
  Mar 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 5,896
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 145
  Kuna mdada mmoja kani PM ananiambia mle tiGo kama anapenda na hatakuacha.............
   
Loading...