Utatu wenye utata: Umri, Pesa na Mapenzi

Ebo!
Penzi la mkopo ndo lipi hilo?

Mi naogopa sana demu kila ukimpa kazawadi,,, eti ah acha tu mpenzi, ukimpa hela akajinunu chochote hataki eti hakuna shida. Ngoja siku anataka kuchukua,,, Oh honey unajau yule shangazi wa mama mkubwa kule Kigoma anaumwa sana anatakiwa kupelekwa mhimbili kwa matibabu na ma mkubwa hayuko mi ndo niko na wananitegema mimi tu. Hata hivyo nilienda benki nikakuta kuna foleni sana na nataka niondoke sasa hivi nimeuliza precission wamenambia tiketi zipo na ntachukulia pale pale airport.
Mwanaume umeunganishiwa hata majibu hujatoa,,,,
Anaendelea,,,, nimewaambia kuwa wamtayarishe mi nikifika tu nageuza na ndege ya jioni hivyo nitamleta kwa ndege! Du
Ukifikiria mkopo ulopewa wa MAPENZI unajikuta unauliza kinyonge kwani shs ngapi dear?
Kwa haraka haraka tu kama m1unusu itatosha,,,,, We hapo ndo utajua ka ulikuwa DECI ama Upatu,,,, Kaazi kwelikweli
 
Eeka,
Kwani ungekua umetoa na zikapokelewa, akikujia na gia hiyo utakwepa vipi na huku unataka ujitutumue kuwa wewe ni mwanaume?
Mbona hata wanaume wako hivyohivyo? kuna wanaume nao hawaishi kulialia shida kwa mtindo huo.Mara oh unajua cheki yangu haijatoka na ninahitaji kwenda kulipia deposit ya.....mara unajua cheki haijawa cleared, unaweza kunikopesha kiasi cha..... then nitakurudishia.Ukimpa tu kosa! Hairudi.Bora hata huyu mwanamke anakuomba na hajasema atarudisha.
 
Ila kusema kweli siku hizi pesa iko mbele zaidi ya mapenzi. Ukikuta mtu anapendwa lazima kuna rupia kiasi pia. Hata hivyo nafasi ya pesa katika mapenzi inadhihirishwa na idadi ya vimwana (na wake za watu) wanaomegwa na vibabu kisa vina pesa. Ndio maana tunashuhudia majina kama pedejee, ATM, FATAKI, Buzi e.t.c. Ila nionavyo mie mapenzi ya hivi hayana hadhi ya kuitwa mapenzi bali ni njia mojawapo ya kujipatia maisha.
 
Eeka,
Kwani ungekua umetoa na zikapokelewa, akikujia na gia hiyo utakwepa vipi na huku unataka ujitutumue kuwa wewe ni mwanaume?
Mbona hata wanaume wako hivyohivyo? kuna wanaume nao hawaishi kulialia shida kwa mtindo huo.Mara oh unajua cheki yangu haijatoka na ninahitaji kwenda kulipia deposit ya.....mara unajua cheki haijawa cleared, unaweza kunikopesha kiasi cha..... then nitakurudishia.Ukimpa tu kosa! Hairudi.Bora hata huyu mwanamke anakuomba na hajasema atarudisha.

Ila mimi huwa inanishangaza kwa sababu mara nyingi wanawaake wa hivyo ni walle ambao wanataka kukuonyesha wewe kuwa yuko na wewe si kwa sababu ya pesa au vijizawadi vyako bali anakupenda. Hivi mfano ukiwa unanipa hizo pesa mara kwa mara na vijizawadi vyako halafu napokea kila ukinipa hutanitafsiri vibaya kuwa napenda mali au inategemea?
 
Eeka,
Kwani ungekua umetoa na zikapokelewa, akikujia na gia hiyo utakwepa vipi na huku unataka ujitutumue kuwa wewe ni mwanaume?
Mbona hata wanaume wako hivyohivyo? kuna wanaume nao hawaishi kulialia shida kwa mtindo huo.Mara oh unajua cheki yangu haijatoka na ninahitaji kwenda kulipia deposit ya.....mara unajua cheki haijawa cleared, unaweza kunikopesha kiasi cha..... then nitakurudishia.Ukimpa tu kosa! Hairudi.Bora hata huyu mwanamke anakuomba na hajasema atarudisha.

Yote kwa yote,,,fweza=mapenzi ama?
 
Mi naogopa sana demu kila ukimpa kazawadi,,, eti ah acha tu mpenzi, ukimpa hela akajinunu chochote hataki eti hakuna shida. Ngoja siku anataka kuchukua,,, Oh honey unajau yule shangazi wa mama mkubwa kule Kigoma anaumwa sana anatakiwa kupelekwa mhimbili kwa matibabu na ma mkubwa hayuko mi ndo niko na wananitegema mimi tu. Hata hivyo nilienda benki nikakuta kuna foleni sana na nataka niondoke sasa hivi nimeuliza precission wamenambia tiketi zipo na ntachukulia pale pale airport.
Mwanaume umeunganishiwa hata majibu hujatoa,,,,
Anaendelea,,,, nimewaambia kuwa wamtayarishe mi nikifika tu nageuza na ndege ya jioni hivyo nitamleta kwa ndege! Du
Ukifikiria mkopo ulopewa wa MAPENZI unajikuta unauliza kinyonge kwani shs ngapi dear?
Kwa haraka haraka tu kama m1unusu itatosha,,,,, We hapo ndo utajua ka ulikuwa DECI ama Upatu,,,, Kaazi kwelikweli

watu wataalamu haswa, lol
 
Sina hakika sana kama pesa in mvuto,nachoelewa ni kwamba inategemea na huyo mtu mmekutana kwenye mazingira gani,unajua mwingine anaporusha ndoana huanza kwa kujisifia mimi ni bosi,pesa kwangu si tatizo,sasa akikutana na mtu ambae yuko after money ngoma inanoga,shida zitakua haziishi mara mama mgonjwa,mara nataka kununua hiki ili mradi karaha tupu,na hii iko kwa jinsia zote wapo wanaume ambao akijua mdada ana kazi nzuri basi shida na kulilia ovyo hakuisha na pia hata wanawake.
 
Na ndio hapo Msindima mambo yanapokuwa mambo. Hivi kwa nini baadhi ya wanaume wakiwa wanajiintroduce huanza na kazi wanazofanya? je ni kwamba wanakaribisha tabia hii au huwa wanaamini kuwa wanawake wote huwa wako after wanaume wenye nazo au wenye kazi nzuri?
 
Haswaa hujakosea,,,,Ile kutamka tu nafanya kazi mahali fulani kazi kwisha. Unajua nyoka twanga rungu ya kichwa kwisha habari yake.
 
sidhani kama anayoyafanya au kuyapata huyo pedeshee ni mapenzi, hao wadada wapo kazini, inwezekana hapo kila mmoja anawaza jamaa atamaliza saa ngapi amkatie posho yake aende kastarehe na ampendaye!! mie huwa sikubaliani kuwa kama mwanamke anakupenda usipompa pesa atakuacha, tumeona visa vya wanawake wanakataa watu wenye pesa na kukubali kuishi na mtu asiye na kitu,
Nadhani uchumi mdogo maisha duni inawapelekea wanawake hata wanaume kuangalia pesa zaidi ya penzi la kweli na hii ni chanzo kikubwa na kukosekana kwa upendo na amani katika ndoa!! tena kwa sasa wanaume wako zaidi kuangalia mwanamke mwenye kipato ....
 
Kweli kabisa bi kizee kwanza wanaume wengi wa wenye pesa kwa kweli hawafai kuishi nao kama wenzi huwa wana matatizo sana:
1. Watataka kila mwanamke amhonge (si anazo bwana)
2. Hutamwambia kitu yeye ni kila kitu anauwezo

Kwa hao niliopata kuwafahamu kimaisha ya ndoa na familia they are miserable.
 
MJ1 unakubaliana na Bibi Kize! Anazungumzia miaka yao. Siku hizi ni nani hataki pesa, nani asiyependa kukaa kwenye jumba la kifahari, nani hataki gari (jekundu,,,, hahaa joke)
Maisha hayo ya fweza kila mtu anayataka bwana. Pesa sabuni ya roho! Penye uzia penyeza rupia bibi!
 
Eeka Mangi umeniacha hoi huo mfano wa huyo mchumba wa kwenda kumchukua shangazi yake duh mzee aibu sasa mrembo ndo kaumbika na umempenda kweli utafanyaje mkuu?Utazama mfukoni kweli au utume tu mkwanja shangazi atibiwe kule kule duh mzee bonge la mtihani.
 
Kama mkopo ushakula ni lazima uulipe na hasa kama unataka mkopo tena shurti ulipe deni mazee, la sivyo no mkopo. Kwa uchungu mzee unazama hazina unachota fungu unampatia, huyooooooooooo Kigoma kwao. Na kwa taarifa tu wala hakuna cha shangazi mgonjwa wala nini,,,,Fidel anapelekewa ile kampuni ya simu ya long time tanzania kabla ya hata tritel.

Kwa miye Mangi najua basi hata kuutumia huo mtandao?
 
Kweli kabisa bi kizee kwanza wanaume wengi wa wenye pesa kwa kweli hawafai kuishi nao kama wenzi huwa wana matatizo sana:
1. Watataka kila mwanamke amhonge (si anazo bwana)
2. Hutamwambia kitu yeye ni kila kitu anauwezo

Kwa hao niliopata kuwafahamu kimaisha ya ndoa na familia they are miserable.

Uko sawa kabisa,si tu kuhonga,kuna dada namfahamu kaolewa na mtu mwenye pesa,jamani yule jamaa ana tabia za ajabu sijawahi ona,ukivunja glass,unajua bei yake,kimbembe ndugu wa mwanamke wakija,masimango ya ajabu ajabu,ilifika mahali dada wa watu akachoka, manyanyaso yakamshinda akaamua kurudi kwao.

Jamani wanaume wenye pesa sio!
 
Hata red car hutaki? teh teh
 
Hizi shida zetu tumezidi kuzibebea viroba.Kupangwa watu watatu na mwanaume mmoja halafu wote anawachezea kama mpira sio tu ni kujidhalilisha bali ni kuonyesha jinsi akili zetu tulivyozipeleka likizo na kutegemea kuishi kwa mteremko. Na chakushangaza watu kama hao ukiwasikia wanavyojisifu kuwa wao watoto wa mjini, nguvu huwa zinaniishia.
Kwa kuwa hela ni muhimu katika mapenzi, dawa ni kuzitafuta kwa kufanya kazi na kujaribu kuwa wabunifu zaidi. Hizi hela za miteremko zina mwisho mbaya sana mara nyingi na hazijaleta ukombozi wa kweli kwa watu walio wengi.
 
Back
Top Bottom