...sikwambii.....

...sikwambii.....

My 'thanks' is still valid.
I real l don't know if l am a poet; turushie basi humu hiyo "The subsitute".
Duu ,I don't know jamii forum rules kiundani zitanibanaje,coz its kind of adult thing ingawa sio hardcore.
 
Duu ,I don't know jamii forum rules kiundani zitanibanaje,coz its kind of adult thing ingawa sio hardcore.

Waweza ipost Jukwaa la kikubwa; ila nitaimiss coz nimejipa ban kwenye hilo jukwaa. UtaniPM ukiipost huko!
 
Nakubali as social being maisha ya kila mmoja wetu yana mchango + na - kwa mwingine. Na ni muhimu kusaidiana.

Njia ambayo kwa maoni yangu inafaa ni ile inayomjenga mtu na sio kumfanya awe tegemezi. Hivyo ukitaka soln inayolast na kuleta impact ni lazima ushiriki ktk kuitafuta hiyo soln na sio kupewa as a package. Hivyo nisaidia kwa kukufanya (sometimes we need this) wewe upate au ufikie hiyo soln katika kutatua tatizo lako.

Matatizo may be common lkn root cause za matatizo zaweza kuwa tofauti. Wote tuna homa, lkn sio wote tuna malaria; ingawa wote twaweza pata Nafuu kwa kumeza Asprin lkn sio wote tutakaoponywa na @Krolokwini, kwani wewe uliumwa na Mbu mimi nilipata virus vya mafua ya ndege.
Hahahahahah! Khaaa!

Unajua kuniita kijanja............ Ila nilivo na roho mbaya kama kiatu cha Mugabe, sikuitiki naendelea kufyonza Guinness yangu tartiiiibu. Huu mwaka umenikuta nafyonza hii makitu nikiwa na afya yangu. Na kwa heshima ya hii makitu nakutakia usiku mwema Kaunga. Ule ai miiin OLE wako ukojoe tena kitandani. Ntakusemea kwa mama.
 
Last edited by a moderator:
Sikwambii jinsi ya kuwa mama wa kiafrika, kwani tayari wewe ni mama tena Mwafrika
Sikwambii jinsi ya kulea mwanao, kwani kila mtoto ni unique
Sikwambii jinsi ya kutunza nyumba yako, kwani sijui kilichopo nyumbani mwako
Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.

Sikwambii jinsi ya kuishi na mumeo, kwani huyo si mume wangu
Sikwambii jinsi ya kumwandalia chakula, kwani sijui mapendeleo yake
Sikwambii jinsi ya kuwa naye faragha, kwani ni ya wawili a faraghani
Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.

Sikwambii ukashop wapi, kwani sijui mahitaji yako
Sikwambii uanze na kipi, kwani sijui uwezo wala matamanio yako
Sikwambii wahitaji nini, kwani mimi si mmiliki wa maisha yako
Sikwambii uishi vipi, kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.

Sikwambii; sio kwasababu sitaki, bali kwakuwa SIJUI
Sikwambii; sio kwasababu mchoyo, bali kwakuwa sitaki KUKUPOTOSHA
Sikwambii; sio kwasababu sijali, bali kwakuwa si MNAFIKI
Sikwambii kwakuwa naamini UNAJUA kwani Mungu KAKIAMINI na kukukabidhi maisha yako.

.....Love you all and wishing you prosperity 2013 all tge way to 3013.....

The same 2 u too....... Kaunga...I kinda of love this version, though
 
Last edited by a moderator:
Kusema kweli nimekojoa, ila sio kitandani maana nilivaa pamper.
Jamani nilikumiss Mwaka huu ndio maana l had to call you anyhow!
Ngoja nikutumie Primus Biere basi ya kukuwishia hapi niu ya.

Hahahahahah! Khaaa!

Unajua kuniita kijanja............ Ila nilivo na roho mbaya kama kiatu cha Mugabe, sikuitiki naendelea kufyonza Guinness yangu tartiiiibu. Huu mwaka umenikuta nafyonza hii makitu nikiwa na afya yangu. Na kwa heshima ya hii makitu nakutakia usiku mwema Kaunga. Ule ai miiin OLE wako ukojoe tena kitandani. Ntakusemea kwa mama.
 
Last edited by a moderator:
lara1, si tu kwamba najipa moyo, kuna misingi ambayo hata ikitikisika haiwezi kubomoka. Hilo unalijua wazi. Ila napenda critical posts kama hizi.

You are allowed to Jipa Moyo my dear. So cheer up, your Thanda is yours and so it will remain.
 
Last edited by a moderator:
Kweli usiniambie kwani tuko tofauti ktk maamuzi na mapendeleo

Umeona eeh; halafu watu wamenichamba wee eti mchoyo wa vitu vyangu, ilhali mimi sitaki kuwapotosha
 
Naomba uniambie tu then nitaamua nifate uliyoniambia au nipotezee.
 
Naomba uniambie tu then nitaamua nifate uliyoniambia au nipotezee.

Ulipotelea wapi nu yia hii?
Nitakwambia ila kwa mtindo wa maswali, ili ktk majibuyo soln ipatikane! LOL
 
Kaunga my dear, I wish you too a Happy New Year full of blessings and success!!!
 
Back
Top Bottom