...sikwambii.....

...sikwambii.....

Thanks.
Ni kweli kuna uhusiano mkubwa wa mada hii na para ya mwisho ya lara 1, in fact ujumbe mkuu ni KUJIAMINI.

Hapo nimekumbuka salaam za mwaka mpya za lara 1 kwenye ule uzi wake paragraph ya mwisho (Ignore society) wa 2013 acha ushamba ushamba wako!!take control, nadhani ndio maana mdau amu umemwacha atafakari mwenyewe kwa kuhofia utampa mwongozo potofu na yeye atafanya mambo kwa maslahi ya jamii

Shairi bomba
 
Last edited by a moderator:
Elimu inasaidia sanaakwani ni vigumu kugundua na kukubali kuwa kuna vitu unakosea! Kuna vitu tu out of pride unakomaa ni haki kumbe sio! Mie semina sikosi!!!!!!!

Jst imagine usingeenda shule na kujifunza ungejua vitu vingapi? Si rahisi kujua mapyaaa yoote na ya zamani kijiweni!!!!!!!!

Education is sexy and sex education makes you sexier!!!!!!!!
elimu inasaidia ila sio kila kitu kinaaply lara,kumbuka tunatofautiana kimazingira na kilife style
mafundisho ya mwanamke wa monduli hayawezi kuwa sawa na wa masaki never!
 
Elimu ni muhimu, unaipataje ni muhimu pia! Elimu ya kuambiwa ni tofauti na ya kufanya mwenyewe. Tangu kale na kale elimu ilikuwepo na hata wanyama wanayo pia.

Sex education pamoja na kutolewa kila siku haijaproduce desired results so far (IMO) na mara nyingi inaweza leta shida tu ktk ndoa.
Mf: mmeenda kwenye seminor na mada ikawa moto moto. Unafika nyumbani, mambo tofauti; matokeo yake unaanza kumcompare mumeo na mtoa mada (wishing he was like him). Unless hiyo elimu inakupa mbinu za kujitambua, kujikubali na kujiexplore itakibomoa zaidi ya kukujenga!
......Love urself n everybody else will.......

Hata shule kuna VILAZA na VIPANGA so unakuta mtu ana Masters na PHD Kaajiriwa tena kwa mshahara wa mawazo ila Bakhresa form 4 anamiliki maviwanda kibao!

So kupata sex education inategemea na ukipanga wako! Unaweza ukaenda shule ila usielimike sema lazima utastaarabika! Hata sex education hivo hivo japo unaweza usielewe ila utaambulia mawili matatu!
 
elimu inasaidia ila sio kila kitu kinaaply lara,kumbuka tunatofautiana kimazingira na kilife style
mafundisho ya mwanamke wa monduli hayawezi kuwa sawa na wa masaki never!

Sikatai sio yote ila kuna baadhi katika hiyo elimu dunia usingeenda hapo usingeyajua maishaaaa! Cha maana ni kuwa sharp na kusort ukiwa unapata hiyo elimu dunia! Mi niko radhi nisichange sendoff wala harusi ila kitchen party never miss!!!!!!
 
ujue kuna theory nyingi sana mtaani.wanawake zaidi naona tunaongoza kwa kupotoshana mara ohoo ukitaka kumdatisha mumeo akija mbebe mgongoni muogeshe na karafuu mswakishe na tui la nazi...sasa wanaume wengine huwezi wafanyia hivo so unakuta mwanamke ambae anashindwa kufanya hivo anajiona inferior kwenye ndoa kwamba ndoa yake haijakaa vizuri kwa vile tu mumewe haswakii tui la nazi..

It is so frustuating hizo A, B, C za kuwa kama Kaunga sasa sijui huyo Kaunga ndiye authority wa vigezo vya kuwa mwanamke! Na zaidi is she 100% perfect, na huyo mumewe ni 100% perfect?

Ili uzoefu wangu ufanye kazi, unatakiwa uwe 100% Kaunga na mumeo awe 100% Eiyer na muishi katika mazingira ambayo ni 100% yale ninayoishi mimi na Eiyer.
 
Last edited by a moderator:
happy new year kaunga mzidishie maufundi apate kujirekebisha

Thanks dear.
Maufundi ntayazidisha kama yataniletea raha, lkn kama ni kwaajili ya kumkeep; he can as well go! Primary goal yangu ni kujipa raha; as selfish as it may seem lkn ndio ukweli WANGU.
 
Thanks dear.
Maufundi ntayazidisha kama yataniletea raha, lkn kama ni kwaajili ya kumkeep; he can as well go! Primary goal yangu ni kujipa raha; as selfish as it may seem lkn ndio ukweli WANGU.
haaaaaaaa ma dear KAUNGA raha mpate wote na sio apate mmoja mwingine anagugumia kwa maumivu poa jipe raha inapo bidi
 
Sikatai sio yote ila kuna baadhi katika hiyo elimu dunia usingeenda hapo usingeyajua maishaaaa! Cha maana ni kuwa sharp na kusort ukiwa unapata hiyo elimu dunia! Mi niko radhi nisichange sendoff wala harusi ila kitchen party never miss!!!!!!
teh hicho kitchen party hizo full upotoshaji? makungwi wenyewe 95% hawana ndoa ...ooohoo chambia wine,oshea viroba loh!
 
Hata shule kuna VILAZA na VIPANGA so unakuta mtu ana Masters na PHD Kaajiriwa tena kwa mshahara wa mawazo ila Bakhresa form 4 anamiliki maviwanda kibao!
So kupata sex education inategemea na ukipanga wako! Unaweza ukaenda shule ila usielimike sema lazima utastaarabika! Hata sex education hivo hivo japo unaweza usielewe ila utaambulia mawili matatu!

Elimu kama huwezi kuicustomize ifit Mazingira yako haifai na wala haitalast. Kwa asili ya binadamu hasa watu wazima kitu lazima kimake sense au kiendane na what we knew before (our assumptions) na then unakibadilisha kulingana na Mazingira yako. We do that everyday kwa zile formal na non formal elimu tunazopata. Lkn kuna watu wanachukulia yale wanayopewa kama ndivyo inavyopaswa kuwa (wakaka wengi wanalalamikia mapenzi ya tamthilia); ndoa nyingi zinaharibika kwa ushauri wa mashoga.

Nikiwa mmoja wapo nimeshauri wengi kuwa hiyo ndoa haifai (hopefully hakuna aliyevunja just because nimeshauri hivyo).

A good councilor hakuambii nini cha kufanya, bali anakusaidia ufikie maamuzi ya maisha yako. This is what l want to be this year.

"Sikwambii nini cha kufanya, bali nitakusaidia ujue cha kufanya"
 
teh hicho kitchen party hizo full upotoshaji? makungwi wenyewe 95% hawana ndoa ...ooohoo chambia wine,oshea viroba loh!

Anakwambia jinsi ya kumthibiti mume, wakati wake kila akiona sketi damu inakimbilia kwenye central bolt. LOL
 
I beg to differ with this..Mimi naamini tunazaliwa tukiwa hatujui kitu..na mambo mengi tunafundishwa na kuelekezwa tunapoanza kujitambua..Halikadhalika mahusiano yanafundishika, kuna mambo ni 'common' kwa wababa au wamama..kujifunza hakukomi na kuelekeza au kuelekezwa ni sehemu ya maisha yetu..Kiukweli hakuna 'ndoa' au 'mahusiano' ambayo ni unique..ukiangalia na kutafakari kwa makini utaona matatizo kwenye ndoa/mahusiano mengi yanafanana..na sio siri pia kuna watu ni extaordinary..lakini hii isikutishe, hao wako wachache!
.....Sex education pamoja na kutolewa kila siku haijaproduce desired results so far (IMO) na mara nyingi inaweza leta shida tu ktk ndoa. ...Mf: mmeenda kwenye seminor na mada ikawa moto moto. Unafika nyumbani, mambo tofauti; matokeo yake unaanza kumcompare mumeo na mtoa mada (wishing he was like him). Unless hiyo elimu inakupa mbinu za kujitambua, kujikubali na kujiexplore itakibomoa zaidi ya kukujenga!........Love urself n everybody else will.......

I second that idea..hata usomeje huwezi kuelewa kila kitu..na kujifunza is just a process!
Kuambizana na kukanyana lazima kuwepo tu...
Sikatai sio yote ila kuna baadhi katika hiyo elimu dunia usingeenda hapo usingeyajua maishaaaa! Cha maana ni kuwa sharp na kusort ukiwa unapata hiyo elimu dunia! Mi niko radhi nisichange sendoff wala harusi ila kitchen party never miss!!!!!!
 
lara1, si tu kwamba najipa moyo, kuna misingi ambayo hata ikitikisika haiwezi kubomoka. Hilo unalijua wazi. Ila napenda critical posts kama hizi.

JIPE MOYO UTAYASHINDAAAA!!!!!! JIPEEEEEEE MOYOOOOOOOO!!!!!!! Hahahaaaaaaaa! Mumeo akiwa kitombi huko nje mtaa mzima utajua kasoro wewe mhusika tu!!!! Simply because NANI ATAMFUNGA PAKA KENGELE????????

Usijali mwaya IF YOU BELIEVE ANYTHING CAN HAPPEN!!!!!!!! Na HOPE IS THE LAST THING YOU LOOSE!!!!
 
Anakwambia jinsi ya kumthibiti mume, wakati wake kila akiona sketi damu inakimbilia kwenye central bolt. LOL
sio hilo tu mume kamkimbia kamuachia nyumba
 
Kumbe na wewe ni malenga? Thanks my, ila mengine kuhusu uloandika Smile kakujibu hapo juu. Utasema hujui kumbe wajua zaidi ya mke wake.

Unajua KUJUA ni subjective, mimi naweza jua kuishi na mume wangu ambaye ni mlevi, sex maniac na pesa nje nje. Ila sijui kuishi na mume asiye kunywa, lazy in bed na bahili; huoni kama nikimpa ushauri reference itakuwa ya uzoefu wangu zaidi?

"Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, ila nitakusaidia uchague jinsi ya kuishi maisha yako."
 
hahahah OMG iddnt see ths.....mang* fan...hahahahahahah
Elimu inasaidia sanaakwani ni vigumu kugundua na kukubali kuwa kuna vitu unakosea! Kuna vitu tu out of pride unakomaa ni haki kumbe sio! Mie semina sikosi!!!!!!!

Jst imagine usingeenda shule na kujifunza ungejua vitu vingapi? Si rahisi kujua mapyaaa yoote na ya zamani kijiweni!!!!!!!!

Education is sexy and sex education makes you sexier!!!!!!!!
 
hahahahah Smile asanteeeeeeeeeeeeeeeee.................
teh hicho kitchen party hizo full upotoshaji? makungwi wenyewe 95% hawana ndoa ...ooohoo chambia wine,oshea viroba loh!
 
Last edited by a moderator:
SnowBall you are allowed to differ. Lkn naomba ucomment kwenye original post kwanza ili nielewe tunadiffer wapi.

Maana nakubali elimu ni muhimu. Ila muhimu zaidi ni ile inayokukomboa na sio kukustaarabisha (domesticate). Maana kukustaarabisha ni kukufanya according to standards za mtu, watu au kundi fulani.

Na mimi nimekataa kumwambia Smile awe kama Kaunga (kumpa majibu ambayo yamefanya kazi kwangu) kwani nataka awe Smile kama Mungu alivyopanga. Ndio maana nikasema:- "Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako".

Baada ya watu wenye mapenzi mema kuniambia ni uchoyo nikasema sawa. Ikiwa Mungu ametaka kunitumia basi, bado "Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, lakini nitakusaidia UCHAGUE jinsi ya kuishi maisha yako".
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom