...sikwambii.....

...sikwambii.....

Unajua KUJUA ni subjective, mimi naweza jua kuishi na mume wangu ambaye ni mlevi, sex maniac na pesa nje nje. Ila sijui kuishi na mume asiye kunywa, lazy in bed na bahili; huoni kama nikimpa ushauri reference itakuwa ya uzoefu wangu zaidi?

"Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, ila nitakusaidia uchague jinsi ya kuishi maisha yako."

You are right!
 
Kaunga asante kwa ujumbe mzuri wa kuanzia mwaka
happy new year 2013
 
Last edited by a moderator:
Kaunga nilianza kukusoma kwenye 'post mama'...na nikaendelea kusoma michango iliyofuatia..pointi niliyogundua unaisimamia ni hii hapa kama ulivoiweka hapa chini...
...."Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, lakini nitakusaidia UCHAGUE jinsi ya kuishi maisha
yako".

Ninachotaka kukijenga mimi ni kwamba..'everybody has a stake in other individuals' life too'...Nikiamini kwamba 'UNAPASWA TU KUNIAMBIA' regardless that am also a human being and we're both created by God. Ukiyatazama MAISHA tunayoishi wote tunawish tupate PEACE and LOVE maishani...na kinyume chake ndio matatizo yasokwisha..If i see some potentials on you why shouldnt i consult you?...Lakini pia kuna wakati unagundua kuwa 'maisha' yako taabuni na unamuona rafiki yako kila siku ana'smile' means yanamuendea vizuri...obviouisly utashawishika kumuuliza 'how do you make it'...Sikatai in some circumstances baadhi ya shauri hazisaidii lakini pia in most cases Kuambizana na Kushauriana kumeokoa NDOA/MAHUSIANO mengi tu.............................
 
Last edited by a moderator:
niambie jinsi ya kuishi na mume wangu, kwani huyo ni mume wako pia
niambie jinsi ya kumwandalia chakula, kwani wajua mapendeleo yake
niambie jinsi ya kuwa naye faragha, kwani ulishawai kuwa nae
niambie Kaunga niambie.kwani mwenzio nitaumbuka

hahahahaha malenga wetu mwaka huu lazima pachimbike lol
Heri ya mwaka mpya
 
Nakubali as social being maisha ya kila mmoja wetu yana mchango + na - kwa mwingine. Na ni muhimu kusaidiana.

Njia ambayo kwa maoni yangu inafaa ni ile inayomjenga mtu na sio kumfanya awe tegemezi. Hivyo ukitaka soln inayolast na kuleta impact ni lazima ushiriki ktk kuitafuta hiyo soln na sio kupewa as a package. Hivyo nisaidia kwa kukufanya (sometimes we need this) wewe upate au ufikie hiyo soln katika kutatua tatizo lako.

Matatizo may be common lkn root cause za matatizo zaweza kuwa tofauti. Wote tuna homa, lkn sio wote tuna malaria; ingawa wote twaweza pata Nafuu kwa kumeza Asprin lkn sio wote tutakaoponywa na @Krolokwini, kwani wewe uliumwa na Mbu mimi nilipata virus vya mafua ya ndege.

Kaunga nilianza kukusoma kwenye 'post mama'...na nikaendelea kusoma michango iliyofuatia..pointi niliyogundua unaisimamia ni hii hapa kama ulivoiweka hapa chini...

Ninachotaka kukijenga mimi ni kwamba..'everybody has a stake in other individuals' life too'...Nikiamini kwamba 'UNAPASWA TU KUNIAMBIA' regardless that am also a human being and we're both created by God. Ukiyatazama MAISHA tunayoishi wote tunawish tupate PEACE and LOVE maishani...na kinyume chake ndio matatizo yasokwisha..If i see some potentials on you why shouldnt i consult you?...Lakini pia kuna wakati unagundua kuwa 'maisha' yako taabuni na unamuona rafiki yako kila siku ana'smile' means yanamuendea vizuri...obviouisly utashawishika kumuuliza 'how do you make it'...Sikatai in some circumstances baadhi ya shauri hazisaidii lakini pia in most cases Kuambizana na Kushauriana kumeokoa NDOA/MAHUSIANO mengi tu.............................
 
Last edited by a moderator:
thanks Kaunga.
happy new yr too my dearest.

You are welcome shosti.
What do u think about my new year resolution? "sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, bali nitakusaidia uchague jinsi ya kuishi maisha yako".
 
Last edited by a moderator:
You are welcome shosti.
What do u think about my new year resolution? "sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, bali nitakusaidia uchague jinsi ya kuishi maisha yako".
to me its a nice poetry, ila sasa hii resolution itafunga jukwaa letu la MMU kabisa. itakuwa kila mtu anakaa kimya hakuna ushauri.
 
..Njia ambayo kwa maoni yangu inafaa ni ile inayomjenga mtu na sio kumfanya awe tegemezi. Hivyo ukitaka soln inayolast na kuleta impact ni lazima ushiriki ktk kuitafuta hiyo soln na sio kupewa as a package.
Of course mpaka nakutafuta nakuja kwako ili UNIAMBIE unayoyajua tayari ntakuwa nimeanza kufanya sehemu yangu. Na Unaponiambia au kunishauri najua pia utazingatia mambo mengi na lazima pia na mimi nionyeshe utayari wa kulitatua tatizo. Kwa hiyo kwa vyovyote sitegemei ushauri wako utakuja as a blue print.

Hivyo nisaidia kwa kukufanya (sometimes we need this) wewe upate au ufikie hiyo soln katika kutatua tatizo lako...Matatizo may be common lkn root cause za matatizo zaweza kuwa tofauti.
Ni kweli chanzo cha matatizo sio mara zote kinakuwa kimoja ..lakini the results might be the same...Kuniambia ulifanyaje wewe ukawa na amani hakuniondelei bado nafasi ya kuushirikisha ubongo wangu..bado nadhani ushauri wako ni muhimu hapa.

Wote tuna homa, lkn sio wote tuna malaria; ingawa wote twaweza pata Nafuu kwa kumeza Asprin lkn sio wote tutakaoponywa na @Krolokwini, kwani wewe uliumwa na Mbu mimi nilipata virus vya mafua ya ndege.
Hapa ndipo umesema vizuri..kumbe bila kujali tulipataje homa tunaweza meza Asprin na bado tukajisikia vizuri...lolz.
Kiufupi usiache kuniambia..elewa tu na mimi ntachanganya na za kwangu!
 
niambie jinsi ya kuishi na mume wangu, kwani huyo ni mume wako pia
niambie jinsi ya kumwandalia chakula, kwani wajua mapendeleo yake
niambie jinsi ya kuwa naye faragha, kwani ulishawai kuwa nae
niambie Kaunga niambie.kwani mwenzio nitaumbuka

Hey Smile! Hujambo?
Naona umeanza mwaka na mambo mapya; UKE WENZA.

Bazazi!
 
Last edited by a moderator:
to me its a nice poetry, ila sasa hii resolution itafunga jukwaa letu la MMU kabisa. itakuwa kila mtu anakaa kimya hakuna ushauri.

Hapana, ushauri unakuwa kiparticipatory zaidi; mnasemaje walimu sijui critical nini? Kuna kipindi mlikuwa mnafikiria kubadilisha mfumo wa ufundishaji ili kuhamasisha critical thinking zaidi.

Dictating ndio naikataa!
 
That is the case pale ambapo umetaka ushauri. What if pale mtu analeta kanuni zake (bila kuombwa) zinazowork kwake na kuclaim kwamba this is how a marriage should be?

Of course mpaka nakutafuta nakuja kwako ili UNIAMBIE unayoyajua tayari ntakuwa nimeanza kufanya sehemu yangu. Na Unaponiambia au kunishauri najua pia utazingatia mambo mengi na lazima pia na mimi nionyeshe utayari wa kulitatua tatizo. Kwa hiyo kwa vyovyote sitegemei ushauri wako utakuja as a blue print.

Ni kweli chanzo cha matatizo sio mara zote kinakuwa kimoja ..lakini the results might be the same...Kuniambia ulifanyaje wewe ukawa na amani hakuniondelei bado nafasi ya kuushirikisha ubongo wangu..bado nadhani ushauri wako ni muhimu hapa.

Hapa ndipo umesema vizuri..kumbe bila kujali tulipataje homa tunaweza meza Asprin na bado tukajisikia vizuri...lolz.
Kiufupi usiache kuniambia..elewa tu na mimi ntachanganya na za kwangu!
 
Hii pia sioni kama ina taabu as long tayari kuna mtu anaamua kutoa experiences zake na jinsi mambo yanavyomuendea vizuri!..Labda tu nikukumbushe kuwa mambo mengi tunayooambiwa hatuyapati from the 'thin air'...yanakuwa tayari yako well-researched kutoka kwa watu wengi tu..Mafundisho mengi ya ndoa na 'recipes' ukiyafuatilia kimsingi wewe na mwenza wako yanafanya kazi niamini..tatizo kubwa kwenye mahusiano mara nyingi tiba anapewa mtu mmoja ili isaidie watu wawili na hapo ndio tatizo linaanzia!...Kama una amini uko kwenye 'good track' wala huwezi kuhofia but tatizo liko kwa wale ambao tayari wanaona wameanza kuchoshwa!..

That is the case pale ambapo umetaka ushauri. What if pale mtu analeta kanuni zake (bila kuombwa) zinazowork kwake na kuclaim kwamba this is how a marriage should be?
 
That is the case pale ambapo umetaka ushauri. What if pale mtu analeta kanuni zake (bila kuombwa) zinazowork kwake na kuclaim kwamba this is how a marriage should be?

ninachomni ni kwamba, kuna vitu ambvyo mtu anaweza kuwa mkali juu yake regardless hata kama wengine hawatakiunga mkono.

lkn pia huwez kulazimisha mtu kufanya unavyoshauri wewe ingawa lazima tone yako ya kusemea iwe na mamlaka juu kile unachokisema.

kati ya challenge kubwa sana wanazopata wana ushauri nasaa ni kule kushindwa kuweka mamlaka, kwenye tone zao lakn mamlaka ambayo yako kirafiki na kiupendo zaid.

sasa linapokuja swala la mtu kutaka kudectate juu ya hoja yake,lazima aisimamie ili kuipa mashiko lkn ni swala la msomaji kuchagua kulingana na akili yake.

ngoja nikwambie mm huwa najua kauli zangu zina mamlaka sana, yaani niko hivyo labda taaluma yangu ya ualim imeniharibu, lkn pia lazima niismamie ili unapokwenda kupambanua upambanue kwa akili manake nikushinde kwa nguvu ya hoja wala si hoja ya nguvu.
 
Hapana, ushauri unakuwa kiparticipatory zaidi; mnasemaje walimu sijui critical nini? Kuna kipindi mlikuwa mnafikiria kubadilisha mfumo wa ufundishaji ili kuhamasisha critical thinking zaidi.

Dictating ndio naikataa!

unapokuja kwenye swala la kufundisha may dearest Kaunga kuna mambo makuu ambayo mwl huyawaza, kwanza ni uwezo wa huyo mwanafunzi wake. na pili mbinu gani aitumie kwenye mada husika.

yawezekana ikawa ni darasa hilo hilo topic fulan ukatumia participatory method na ndani yake ukatumia dictating rule na simply hapa huwa unalenga mtoto lazima ashike kanuni husika kwenye hii topic na hapa sasa anatakiwa aiapply kwenye participation.

sasa linapokuja swala la hapa jamvini tunafundishana wengi ni wazi kwamba inabidi uitetee hoja yako kama jinsi ilivyo ila uitete kwa hoja za msingi zenye mashiko. na mwisho wa siku ibakie ni kazi ya mtu kupambanua kipi ndicho the best. tofouti na darasani ambapo mwisho wa siku lazima uwa tahini huku hakuna kutahiniwa bana hapa kuna kuish kiuhalisia.
 
Last edited by a moderator:
Ni vizuri basi kutenganisha fact na opinion; it is okay kutetea opinion yako lkn sio kulazimisha.

Kutoa mifano halisi ni nzuri pia, ila ni nzuri (kama lengo lako ni kusaidia na sio kuonesha ni bora kuliko wengine) kwenda zaidi na kuonesha context.

Washauri nasaha, kidogo ninachojua hawapaswi kukuambia nini cha kufanya. Wanatakiwa wakusaidie u-come up with nini cha kufanya.

Mwenyewe nimekuwa very authorative ndio maana nimeona nibadilike!

Back
Top Bottom