gfsonwin
JF-Expert Member
- Apr 12, 2012
- 18,272
- 20,715
yeah uko sahihi sana, ngoja nijitahd nione kama ninaweza lol!Ni vizuri basi kutenganisha fact na opinion; it is okay kutetea opinion yako lkn sio kulazimisha.
Kutoa mifano halisi ni nzuri pia, ila ni nzuri (kama lengo lako ni kusaidia na sio kuonesha ni bora kuliko wengine) kwenda zaidi na kuonesha context.
Washauri nasaha, kidogo ninachojua hawapaswi kukuambia nini cha kufanya. Wanatakiwa wakusaidie u-come up with nini cha kufanya.
Mwenyewe nimekuwa very authorative ndio maana nimeona nibadilike!
nimeona kama umenisema mm atii?? manake nakumbuka kwenye ule uzi wangu wa uvumilivu nilijitetea na uvumilivu wangu ingawa mlinipa za uso........... mweeeeeeeh!
but unajua nn kama mtu unatoa mfano halisi yaani lazima ukumbuke kwamba hauta apply kwa wote ila tu unatakiwa uwarishe wengine juu ya kwann ulichukua hatua uliyochukua hata kama wenzio wataona haina uzito lkn lazima uwaridhishe kwamba kwan ilikuwa hvyo.
hope mara nyingi sana nimekuona ukiwa unafanya hivo.