Sikwambii jinsi ya kuwa mama wa kiafrika, kwani tayari wewe ni mama tena Mwafrika
Sikwambii jinsi ya kulea mwanao, kwani kila mtoto ni unique
Sikwambii jinsi ya kutunza nyumba yako, kwani sijui kilichopo nyumbani mwako
Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.
Sikwambii jinsi ya kuishi na mumeo, kwani huyo si mume wangu
Sikwambii jinsi ya kumwandalia chakula, kwani sijui mapendeleo yake
Sikwambii jinsi ya kuwa naye faragha, kwani ni ya wawili a faraghani
Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.
Sikwambii ukashop wapi, kwani sijui mahitaji yako
Sikwambii uanze na kipi, kwani sijui uwezo wala matamanio yako
Sikwambii wahitaji nini, kwani mimi si mmiliki wa maisha yako
Sikwambii uishi vipi, kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.
Sikwambii; sio kwasababu sitaki, bali kwakuwa SIJUI
Sikwambii; sio kwasababu mchoyo, bali kwakuwa sitaki KUKUPOTOSHA
Sikwambii; sio kwasababu sijali, bali kwakuwa si MNAFIKI
Sikwambii kwakuwa naamini UNAJUA kwani Mungu KAKIAMINI na kukukabidhi maisha yako.
.....Love you all and wishing you prosperity 2013 all tge way to 3013.....
Sikwambii utamu wa shemeji yako kwani utataka hadi umuonje
Sikwambii bajeti yangu ya shopping kani ukiiomba utatolewa nje
Sikwambii saizi ya dushelele la shemijio kwani wako hamkuti hata punje
Sikwambii siri ya mafanikio yangu 6*6 kani utataka hadi kiuno uvunje
Sikwambii umsamehe mumeo muache hio hivo wallet yake iwe nje nje
Sikwambii kuwa wewe mzuri sana utaanza kumdharau mumeo
Sikwambii shemeji mzuri utaanza kujishaua na mumeo
Sikwambii mmefanikiwa mtajibweteka na mumeo
Sikwambii umeanza kuzeeka hutojiamini na mumeo
Sikwambii mali zako zinaliwa utakurupuka kumuacha mumeo
tuwe sirias kwenye mada
ni ngumu kweli kumwamini mtu 100% anayokuambia jinsi ya kuishi na mkeo/mume
unakuta mtu anaitisha semina ya laki moja ,mtu mwenyewe ndoa ilimshinda
misingi bora ya ndoa nadhani ni wanandoa wenyewe

Hapo kwenye hiyo line ya mwisho..hapo hapo! Mi zangu haziliwi, najiamini kuwa ni mwanamke anayeweza kumtosheleza mume kwa kila kitu. Labda tu kama ana tamaa ya vitu hivyo au tabia binafsi jambo ambalo kwa miaka mingi tuliyoishi sijawahi kuliona.
Sikwambii utamu wa shemeji yako kwani utataka hadi umuonje
Sikwambii bajeti yangu ya shopping kani ukiiomba utatolewa nje
Sikwambii saizi ya dushelele la shemijio kwani wako hamkuti hata punje
Sikwambii siri ya mafanikio yangu 6*6 kani utataka hadi kiuno uvunje
Sikwambii umsamehe mumeo muache hio hivo wallet yake iwe nje nje
Sikwambii kuwa wewe mzuri sana utaanza kumdharau mumeo
Sikwambii shemeji mzuri utaanza kujishaua na mumeo
Sikwambii mmefanikiwa mtajibweteka na mumeo
Sikwambii umeanza kuzeeka hutojiamini na mumeo
Sikwambii mali zako zinaliwa utakurupuka kumuacha mumeo
ujue kuna theory nyingi sana mtaani.wanawake zaidi naona tunaongoza kwa kupotoshana mara ohoo ukitaka kumdatisha mumeo akija mbebe mgongoni muogeshe na karafuu mswakishe na tui la nazi...sasa wanaume wengine huwezi wafanyia hivo so unakuta mwanamke ambae anashindwa kufanya hivo anajiona inferior kwenye ndoa kwamba ndoa yake haijakaa vizuri kwa vile tu mumewe haswakii tui la nazi..Exactly my point; yaani kila ndoa ni unique. Na ndio maana naweza nikashindwana na wanaume Sita nikaja nikafanya vizuri na mmoja.
Au mwanaume ambaye twamuita mkorofi anawezapata mwanamke ambaye wanaweza kuishi naye.
Again kwa watoto, wamezaliwa watatu same parents same malezi lkn unakuta mmoja kichomi.
Hivyo ikiwork kwako usitake for granted kuwa itawork kwa wengine. Let them find the remedy ambayo inasuit their situation!
Sikwambii jinsi ya kuwa mama wa kiafrika, kwani tayari wewe ni mama tena Mwafrika
Sikwambii jinsi ya kulea mwanao, kwani kila mtoto ni unique
Sikwambii jinsi ya kutunza nyumba yako, kwani sijui kilichopo nyumbani mwako
Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.
Sikwambii jinsi ya kuishi na mumeo, kwani huyo si mume wangu
Sikwambii jinsi ya kumwandalia chakula, kwani sijui mapendeleo yake
Sikwambii jinsi ya kuwa naye faragha, kwani ni ya wawili a faraghani
Sikwambii jinsi ya kuishi maisha yako, kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.
Sikwambii ukashop wapi, kwani sijui mahitaji yako
Sikwambii uanze na kipi, kwani sijui uwezo wala matamanio yako
Sikwambii wahitaji nini, kwani mimi si mmiliki wa maisha yako
Sikwambii uishi vipi, kwani Mungu KAKUAMINI na kukukabidhi maisha yako.
Sikwambii; sio kwasababu sitaki, bali kwakuwa SIJUI
Sikwambii; sio kwasababu mchoyo, bali kwakuwa sitaki KUKUPOTOSHA
Sikwambii; sio kwasababu sijali, bali kwakuwa si MNAFIKI
Sikwambii kwakuwa naamini UNAJUA kwani Mungu KAKIAMINI na kukukabidhi maisha yako.
.....Love you all and wishing you prosperity 2013 all tge way to 3013.....
Hahaha, sio uchoyo amu; nimesema sitaki kukupotosha, kwani nikikwambia nitakupa uzoefu wangu uliojaa mistakes na madudu kibao!
The same to you dear.
Elimu inasaidia sanaakwani ni vigumu kugundua na kukubali kuwa kuna vitu unakosea! Kuna vitu tu out of pride unakomaa ni haki kumbe sio! Mie semina sikosi!!!!!!!
Jst imagine usingeenda shule na kujifunza ungejua vitu vingapi? Si rahisi kujua mapyaaa yoote na ya zamani kijiweni!!!!!!!!
Education is sexy and sex education makes you sexier!!!!!!!!