Sikutarajia mambo haya kuendelea chini ya Serikali ya Mamq

Ndio shida ya viongozi vyetu lakini nao TFF wanafiki walishindwa kuimbia serikali katiba ya soka bongo haluhusu...wakaona ni bora kuilamba miguu serikali...
 
One a failure is always a failure.

E0NhMwdXIAAW0HL (1).jpeg
 
Hili jambo silielewi.

Serikali imeingiliaje sasa?
Ukisoma taarifa iliyotolewa na TFF, utaona kuwa walifanya maamuzi ya kubadili ratiba ya mchezo kutokana na maelekezo ya wizara. Maana yake serikali imeingilia!

Ukweli ni kwamba viongozi wa serikali ni wabinafsi sana. Wanataka kupewa kipaumbele kwa kila kitu. Wao walipanga hafla yao wakijua wakitambua uwepo wa tukio la kiraia ambalo bila shaka walitamani na wao washuhudie na wakatumia "ukubwa" wao kubadili ratiba bila kujali athari itakayojitokeza kwa raia.
 
Hili jambo silielewi.

Serikali imeingiliaje sasa?
Ukisoma taarifa iliyotolewa na TFF, utaona kuwa walifanya maamuzi ya badili ratiba ya mchezo kutokana na maelwkezo ya wizara. Maana yake serikali imeingilia!

Ukweli ni kwamba viongozi wa serikali ni wabinafsi sana. Wanataka kupewa kipaumbele kwa kila kitu. Wao walipanga hafla yao wakijua wakitambua uwepo wa tukio la kiraia ambalo bila shaka walitamani na wao washuhudie na wakatumia "ukubwa" wao kubadili ratiba bila kujali athari itakayojitokeza kwa raia
 
Back
Top Bottom