Sasa hapa mama anahusikaje?Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana.
Michezo, ni moja ya vitu vinavyowaliwaza watu kusahau magumu tunayokabiliana nayo katika maisha ya kila siku. Ni liwazo kwa vijana wengi waliokosa ajira, na makundi ya jamii ya watu kama vile Wazee n.k
Kitendo cha Serikali kukurupuka kimeleta sintofahamu na kuzua taharuki. Wafikirieni watu waliofika asubuhi, wengine na familia zao, huku watu wengi wakiwa raia wenye kipato cha chini lakini kwa mapenzi ya soka na kupata liwazo wamekwazika, wamepoteza hela zao na wamepoteza muda wao
Lakini kikubwa unajenga chuki na jamii kubwa ya watu ambao wako katika kundi la wapenda soka.
Jambo hili linasikitiaha sana, Michezo ndio inawafanya hawa watu wasahau shida zao mbalimbali kwa muda mchache. Maisha ni magumu, ajira hakuna basi waachieni watu wafurahie na michezi na wajiliwaze
Labda wengije hamjui tu, GSM boss ni mpenzi wa Simba SC lakini yupo Yanga sio kwa sababu ya mapenzi au kibishara. Ni kutuliza wana Yanga kwa kuondoka kwa Manji, ili kusijengeke chuki baina ya fan base ya club ya Yanga dhidi ya Serikali.
Unrest ikianzia kwenye mipira inasambaa na kwengine, wakianza watu kuandamana kwa sababu ya mipira na kufanya fujo itahamia sehemu nyingine. Hili litazamwe vizuri
Hayo ni manyunyu mvua bado inakuja, mlikuwa mnamshobokea sana oh mara mama ooh mama mzuri tulieni.Sisi tulikuwa tunakusapoti umetuangusha sana, kitendo cha leo serikali yako kuingilia masuala ya Soka na kupelekea kuvunjika kwa pambano la soka kati ya timu za Yanga na Simba kinasikitisha sana.
Michezo, ni moja ya vitu vinavyowaliwaza watu kusahau magumu tunayokabiliana nayo katika maisha ya kila siku. Ni liwazo kwa vijana wengi waliokosa ajira, na makundi ya jamii ya watu kama vile Wazee n.k
Kitendo cha Serikali kukurupuka kimeleta sintofahamu na kuzua taharuki. Wafikirieni watu waliofika asubuhi, wengine na familia zao, huku watu wengi wakiwa raia wenye kipato cha chini lakini kwa mapenzi ya soka na kupata liwazo wamekwazika, wamepoteza hela zao na wamepoteza muda wao
Lakini kikubwa unajenga chuki na jamii kubwa ya watu ambao wako katika kundi la wapenda soka.
Jambo hili linasikitiaha sana, Michezo ndio inawafanya hawa watu wasahau shida zao mbalimbali kwa muda mchache. Maisha ni magumu, ajira hakuna basi waachieni watu wafurahie na michezi na wajiliwaze
Labda wengije hamjui tu, GSM boss ni mpenzi wa Simba SC lakini yupo Yanga sio kwa sababu ya mapenzi au kibishara. Ni kutuliza wana Yanga kwa kuondoka kwa Manji, ili kusijengeke chuki baina ya fan base ya club ya Yanga dhidi ya Serikali.
Unrest ikianzia kwenye mipira inasambaa na kwengine, wakianza watu kuandamana kwa sababu ya mipira na kufanya fujo itahamia sehemu nyingine. Hili litazamwe vizuri
sasa huto mwinyi anaadika nini kwenye hicho kitabu ambacho watanzania hatujui? Hata akaandika vitabu 10 vitatusaidia nini?Tatizo kubwa la ccm na viongozi wao, ni kujiona wao ni bora sana kuliko wengine.
watu waachane na mipiraSerikali ifute ligi kuu. Tuchape kazi
Hili jambo silielewi.
Serikali imeingiliaje sasa?
Hayo ni manyunyu mvua bado inakuja, mlikuwa mnamshobokea sana oh mara mama ooh mama mzuri tulieni.
Mzee mwenyewe Ni kama netwek ilishakata alaf analazimisha tufatilie kitabu chake
Basi mimi ndiyo muhusikaSasa hapa mama anahusikaje?
Soma hiyo barua.Hili jambo silielewi.
Serikali imeingiliaje sasa?