Sikupanga kuwa na mtoto...

Lizzy

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
22,407
Points
2,000

Lizzy

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
22,407 2,000
Heading ya sred imenishtua kweli! bado kidogo nikwambie ulejeshe mahari yangu.

Bek to ze topik: nitakomenti baadae, mida hii siko serious kabisa yaani na stopenda kuchakachua sred ya mchumbaangu.
Hahahah...Kloro bana...kwani huwezi kuwa baba w kambo wewe?!

Haya nenda ukiwa siriaz upite hapa!
 

Lizzy

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
22,407
Points
2,000

Lizzy

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
22,407 2,000
Ashadii nimekusoma ila bado tunatudi palepale kwamba mimba ni mtoto mtarajiwa...na kubeba mimba sio kuzaa.

Hivyo mtu anapoamua kuilea mimba na kuazaa hata kupata mtoto basi anakua alipanga kuwa na mtoto. Unless huyo mtu hakujua ana mimba miezi yote tisha na kushtukizwa na uchungu basi mtoto atakaezaliwa amepangwa!!

Mengine yote nakubaliana na wewe...watoto ni zaidi ya zawadi!!
 

AshaDii

Platinum Member
Joined
Apr 16, 2011
Messages
16,232
Points
1,500

AshaDii

Platinum Member
Joined Apr 16, 2011
16,232 1,500
Ashadii nimekusoma ila bado tunatudi palepale kwamba mimba ni mtoto mtarajiwa...na kubeba mimba sio kuzaa.

Hivyo mtu anapoamua kuilea mimba na kuazaa hata kupata mtoto basi anakua alipanga kuwa na mtoto. Unless huyo mtu hakujua ana mimba miezi yote tisha na kushtukizwa na uchungu basi mtoto atakaezaliwa amepangwa!!

Mengine yote nakubaliana na wewe...watoto ni zaidi ya zawadi!!


This post speaks volumes....
 

BlackBerry

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2011
Messages
1,843
Points
0

BlackBerry

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2011
1,843 0
Beyonce nae eti ulimi ulimyeleza, alisema hakupanga kubeba ihii mimba yake ni bahati mbaya, nikasema hata yeye nae kioo cha jamii anaweza sema maneno mazito namna hiyo, what if mtoto akikua na kusikia hayo maneno? si atajiona yeye ni wa kibahati mbaya tu
 

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2011
Messages
11,228
Points
2,000

Blaki Womani

JF-Expert Member
Joined Feb 28, 2011
11,228 2,000
Lizzy dear
hii thread daah acha tu.............. inaweza kutokea hujapanga kuwa na mtoto na pale inapotekea kuwa hivyo unakuwa huna ile roho ya kutoa unaamua kulea ................ndio japokuwa unapofanya kile kitendo ukijua kinamatokeo lakini inakuwa haipo kwenye plan ya maisha ya wakati huo
 

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
10,314
Points
2,000

nyumba kubwa

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
10,314 2,000
Inawezekana kuwa si sahihi kusema hukupanga kuwa na mtoto na labda ingekuwa sahihi kusema sikupanga kupata mimba.

Ila tukirudi kwenye substance; hakuna kitu kibaya kama kusema huyu mtoto ni wa bahati mbaya. Na hili nimeshaona kwenye familia nyingi hawaoni aibu kusimulia kuwa sikupanga kuzaa tena, hii ni bahati mbaya. Hivi huyo mtoto unadhani atajisikiaje akijua yeye ni 'wa bahati mbaya'? Yaani naongelea experience watu kibao wanaongea openely kuwa huyu mtoto wangu wala sikupanga. Inasikitisha. Hata kama hukupanga iwe siri yako si kusimulia kila mtu.

Kuna rafiki yangu ni european ana watoto wawili; mdogo ni kama hawampendi fulani hivi; housegirl wao ambaye wamekaa nae miaka mingi kuna siku alinambia NK huyu mtoto walikuwa hawamtaki kwani walipanga kuwa na mtoto mmoja. Nlisikitika saaana; na mtoto mwenyewe ana manners kweli kuliko dadake labda kwa kuwa hamna anayemjali kiivyo.
 

Tata

JF-Expert Member
Joined
Dec 3, 2009
Messages
5,610
Points
2,000

Tata

JF-Expert Member
Joined Dec 3, 2009
5,610 2,000
Hi guys!!
Hope wote mko pouwaaa!!

Nwy leo nlikua naongea na rafiki yangu tukawa tunabishana kuhusu jambo...
Ishu yenyewe inahusu watu wanaopata mimba bila kupanga na kuamua kuzaa. Baadhi ya hawa watu utasikia kabisa wakisema kwamba hawakupanga kuwa na mtoto (didn‘t plan to have a baby kwa lugha ya wenzetu) ila ukweli ni kwamba hamna mtoto anaezaliwa bila kupangwa. Yani japokua mimba yaweza kupatikana bila kupanga mtoto yeye anapangwa na ndio maana wapo wanaopata mimba na bado hawawi na watoto.

Pale unapogundua kwamba una mimba na ukaamua kuiacha ili ikue...uzae na kupata mtoto basi unakua umepanga kuwa na mtoto.Huo ndio ukweli na hiyo ndio hali halisi.
Hamna mtoto anaezaliwa kwa bahati mbaya!!
Wewe umeenda mbali sana. Unapokubali tu kupanda kitandani na mtu wa jinsia tofauti na kukubali kufanya yale mambo yetu ya kikubwa bila kinga yoyote ujue tayari umepanga ama kupata mimba au ukimwi au vyote. Nina uhakika huwezi kupandiwa na mtu wa jinsia tofauti bila kupanga hata kama mchakato wote kuanzia kukutana mpaka kumaliza tendo vimefanyika ndani ya siku moja tu.
 

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Points
1,225

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 1,225
Lizzy bana.. haya kua uyaone!
Mayasa hiyo avatar yakonaipenda. I looove this chick! Jumbo Uche sijui!

Lizzy darling it is true kabisa kuwa isopangwa ni mimba na once mtu akishaamua kuilea basi anakuwa mtoto aliyepangwa despite the fact kuwa ametolewa katika mimba isopangwa. BUT what about wale ambao wanapata mimba wasizozipanga na wakaamua they dont want to kee the baby but wakajikuta wanagonga mwamba mimba haitoki?! je mtoto atakayezaliwa si atakuwa mtoto asopangwa? nauliza tu
 

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Points
1,225

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 1,225
Hii mada nzuri sana ila nachelea mkanganyiko kati ya mimba na mtoto... BTW Lizzy una mtoto?? kama ndio je wewe ulipanga?
Umeona kamanda?! hapa tunattend kuchukulia kuwa ukipata mimba bahati mbaya na kuzaa basi mtoto si bahati mbaya but ukweli ni kuwa si wote wanaoamua kuzaa wanakuwa wamepanga! Wapo wanaotamani (na wakajaribu kuzitoa hizo mimba wakashindwa) matokeo yake anakuwa force to have that baby ambaye bahati mbaya mara nyingi malezi yake yanakuwa ya shida sana!
 

Lizzy

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
22,407
Points
2,000

Lizzy

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
22,407 2,000
Hakuna mtoto wa bahati mbaya wakati walirithizia kufanya hilo tendo.
True that!!

NK hao watu wanaosema waziwazi kwamba huyu mtoto alikua bahati mbaya/au kuwaonyesha kwamba hawawapendi hua hawafikirii hisia za watoto hao.

Ni mbaya sana kwakweli....inaweza kumharibu sana mtoto kisaikolojia!!
 

klorokwini

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2009
Messages
8,705
Points
1,225

klorokwini

JF-Expert Member
Joined Dec 2, 2009
8,705 1,225
Ni kweli kabisa mimba ambayo hamkuipanga inaumiza kisaikolojia (kwa baba na mama), nalejea tena kwa helufi kubwa MIMBA ambayo hamkuipanga, kwa wenzetu kuna vitengo kabisa vya counselling kwa Unplanned pregnancy.

enhee nani ana suala la zaidi?
naelimisha bure bila rushwa.
 

Lizzy

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
22,407
Points
2,000

Lizzy

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
22,407 2,000
Mayasa hiyo avatar yakonaipenda. I looove this chick! Jumbo Uche sijui!

Lizzy darling it is true kabisa kuwa isopangwa ni mimba na once mtu akishaamua kuilea basi anakuwa mtoto aliyepangwa despite the fact kuwa ametolewa katika mimba isopangwa. BUT what about wale ambao wanapata mimba wasizozipanga na wakaamua they dont want to kee the baby but wakajikuta wanagonga mwamba mimba haitoki?! je mtoto atakayezaliwa si atakuwa mtoto asopangwa? nauliza tu

MJ1...MKWE pale juu ..

Kwasababu tu mtu anamzaa mtoto kwa kulazimika (kwasababu yoyote ile) haina maana kwamba hajapanga kuwa nae.Tofauti na yule ambae anaamua kubaki nae tangu mwanzo ni kwamba huyu wa kulazimika anakua HAJAKUBALIKA...HATAKIKANI...HAHITAJIKI ila amepangwa.

Kitendo cha mtu kubaki na mimba miezi 9 huku akijua kwamba haitayeyuka basi anapanga kua na mtoto even though ni katika mazingira ya kulazimika zaidi.
 

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined
Jul 24, 2008
Messages
10,476
Points
1,225

MwanajamiiOne

Platinum Member
Joined Jul 24, 2008
10,476 1,225
True that!!

NK hao watu wanaosema waziwazi kwamba huyu mtoto alikua bahati mbaya/au kuwaonyesha kwamba hawawapendi hua hawafikirii hisia za watoto hao.

Ni mbaya sana kwakweli....inaweza kumharibu sana mtoto kisaikolojia!!

Lizzy na tama naomba niwakumbushe lile tendo si kwa ajili ya child production peke yake. Mtu anawezaenda for starehe kikanasa 'bahati mbaya kwa maana ya condom kutoboka, kusahau kumeza a pill, n.k

Na wengine ni kama stress releaser, starehe, e.t.c
 

Lizzy

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2009
Messages
22,407
Points
2,000

Lizzy

JF-Expert Member
Joined May 25, 2009
22,407 2,000
Hii mada nzuri sana ila nachelea mkanganyiko kati ya mimba na mtoto... BTW Lizzy una mtoto?? kama ndio je wewe ulipanga?
Sidhani kama swala la ninae/ninao ni muhimu hapa.

Mwisho wa siku naamini kwamba mimba sio mtoto bali ni mtoto mtarajiwa ndio maana sio kila aliyewahi kupata mimba anaitwa mzazi! Umama/ubaba/uzazi unakuja pale mimba inapokua imekua na kuzaliwa mtoto na sio mwanamke anapoconcieve!!!
 

Forum statistics

Threads 1,390,677
Members 528,239
Posts 34,058,641
Top