Sikupanga kuwa na mtoto...

Tunarudi pale pale kwenye kua mwangalifu...hicho ni kitu ambacho kiko ndani ya uwezo wetu ila tunajifanya hatujali mpaka pale inapotokea. Kama mke na mume wote wamekubaliana hawataki mtoto basi watumie kinga.

kwa jinsi ninavyoelewa huwezi ukakutana na mwanaume /mke kwa kipindi cha week mbili mnalala na kuamka pamoja na siku zote mkatumia kinga sidhani kama kuna watu wana ujasiri huo ... kwani wataanza japo kimoja mara kinazaa kingine mara wanasahau
 
Basi wakose na ujasiri wa kuwalaumu watoto na kuwatreat vibaya pale wanapozaliwa!!
 
Wapo watoto wanaokuja kwa bahati mbaya. Hukudhamilia kubeba mimba, lakini kwa bahati mbaya mimba ikaingia. Hii inaweza kuwa mimba ilitokana na kondom kupasuka, au kitanzi kulegea au sababu yoyote ile ambayo imepelekea mimba kuingia bila kupangwa. Katika hali hii unajikuta huwezi kuwa muuaji kwa kukitoa kiumbe hicho tumboni. Basi kiumbe hicho kitazaliwa kikiwa ni kwa bahati mbaya. Ataitwa mtoto wa bahati mbaya ingawa hutaona vizuri kumuita hivyo, lakini ukweli utabaki kuwa mtoto huyu amekuja kwa bahati mbaya kwa kuwa hakupangwa azaliwe. Kungekuwa hakuna bahati mbaya, hakuna mtoto ambaye angetupwa chooni au kutelekezwa. Bahati mbaya ipo.
 
Basi wakose na ujasiri wa kuwalaumu watoto na kuwatreat vibaya pale wanapozaliwa!!

wao wanaangalia ni ile enjoyment ya wakati huo na wanajifanya hawaelewi kwamba nini furaha yao ya muda itakuwa nini
 
kwa jinsi ninavyoelewa huwezi ukakutana na mwanaume /mke kwa kipindi cha week mbili mnalala na kuamka pamoja na siku zote mkatumia kinga sidhani kama kuna watu wana ujasiri huo ... kwani wataanza japo kimoja mara kinazaa kingine mara wanasahau
Swala sio kula nyama kwa nyama, swala kwamba je siku husika inafaa kula nyama kwa nyama? na kama haifai ni kwa nini msitumie condomu? Hujiulizi ni kwa nini mamodel hawapati mimba? je unadhani hawana kizazi, au unadhani hawatiwi?

Wao wanajitambuwa kwamba mimba kabla ya wakati aliopanga ni kujialibia mambo yake. kumbuka sio jukumu la mwanamume kujuwa kwamba leo mwanamke yupo kwenye period gani mwanaume anachotaka ni bupa. kama mwanamke anajijuwa yupo kwenye siku mbaya inabidi akanunuwe condom yeye mwenyewe kabla ya kukutana na mwanaume, lakini ukiwauliza watu wa phamacy je kuna mwanamke aliwahi kuja kununuwa condom watakwambia kondom huwa wananunuwa wanamume tu.

Na kuna ujinga mwingine wa wanawake anajuwa kabisa kwamba yupo kwenye siku mbaya anakwambia umpige mashine halafu upizi nje! nani anakudanganya kwamba mimba inahitaji kikombe kzima cha kahawa ndio inase!!?
 
nyama kwa nya si ndo chanzo ...... ukishaanza kuipata live na umakini unapungua , utakuwa makini kwa kipindi cha miezi miwili then kifuatacho wakijua
 
What I meant was ..mtu anaweza akapata miscarriage....japo sio yeye anaefanya iwe hivyo bado inafanyika
Kwa uelewa wangu, miscarriage inatokea ('haifanyiki'), hivyo naamini sio kweli kwamba mtu anaweza kuamua/kupanga kuwapo kwa miscarriage ama la.

...Kuhusu kupanga tunarudi pale pale kwenye knowledge. Wengi wetu tunajua sana matokeo ya sex...mtu anapoamua kufanya mapenzi bila kuwa mwangalifu tayari anajua kwamba anaweza akapata mimba na bado anaendelea kufanya vile. Kitendo hicho ni kielelezo tosha kwamba alipanga (japo anajifanya hataki kuwa na mtoto/hakutaka kupata mimba!

Kama huku ndio unaita 'kupanga' then I fully agree with you.
 
...Hujiulizi ni kwa nini mamodel hawapati mimba? je unadhani hawana kizazi, au unadhani hawatiwi?..

Kuna assumption kubwa kweli umeifanya hapa! Kama mimba zote zinazotolewa zingekuwa na uwezo wa kushitaki....hao unaowaita ma model ni wachache sana wange simama mbele za watu!
 
Kuna assumption kubwa kweli umeifanya hapa! Kama mimba zote zinazotolewa zingekuwa na uwezo wa kushitaki....hao unaowaita ma model ni wachache sana wange simama mbele za watu!

aah wao si wanaruhusu kavu ili access kubwa waipate kwa wanaume
 
Madabwada inawezeka mimi na Lizzy tukawa tumeongea kitu kimoja lakini katika Lugha tofauti,.....nakushauri na wewe usome upya uzi wa Lizzy uone maudhui ya lugha yake, ndio maana mimi nimeamuwa kutoa ufafanuzi katika lugha nyepesi lakini ikiwa imebeba mantiki mbadala kwamba kupata mimba zisizotarajiwa ni uzembe wa mwanamke,.........nilitalajia kama ni chalenge ungechalenge hapo.

Narudia tena kusema, mimba zisizotaljiwa ni uzembe wa mwanamke kwa sababu anazijuwa siku zake vyema, na kondomu kazi yake sio kuzuia maambukizi ya ukimwi bali kazi kuu ya kondomu ni kuzuia hizi mimba zisizotalajiwa.
Sidhani kama lizzy anamaanisha kuzuia mimba hapa bali.
Nilivyoelewa mimi yaana upata mimba then unazaa halafu unadai hukupenda kuwa na mtoto kwa wakati ule!
 
Sidhani kama lizzy anamaanisha kuzuia mimba hapa bali.
Nilivyoelewa mimi yaana upata mimba then unazaa halafu unadai hukupenda kuwa na mtoto kwa wakati ule!

anazungumzia utoaji mimba na kuzaa kwa shingo upande
 
Ukiamua kuwa nae unapanga kuwa na mtoto.

Mimba inaweza kupangwa ama isipangwe..mtoto hatokei tu out of nowhere...hivyo ukiamua mwenyewe kwamba unabaki na mimba yako unakua unapanga kuwa na mtoto.

Kwa hiyo kuamua na kupanga is the same thing?
 
Hii issue iko very complicated kuliko wengi tunavyofikiri....na kwa wale ambao hawajapitia majaribu haya basi ni vyema kuomba Mola akuepushe nayo..kwani binadamu tuna udhaifu wa kufikiri hasa majaribu yakituzidi...

Wakati mama ame-conceive kwa vyovyote vile utakavyoita iwe kupanga au sio kupanga kuna vitu vinapita haraka kwenye akili yako..mfano kama tayari una watoto na labda wa mwisho ana mwaka tu... unafikiri utakavyomtesa, familia inafikiri utakavyomchosha mke kwa ujauzito mwingine, unafikiri miangaiko ya maisho na uchumi kwani familia inaongezeka...unafikiri maisha ya watoto baadaye, unafikiri complications za ujauzito..sijui atajifungua kwa kawaida ..sijui ataongezewa damu..jamani hiyo damu itakuwa salama...Je? mama ata-survive? unajilaumu kwa ni ni haukuwa makini ... Ni wakati mgumu ..na wamajaribu kama una moyo dhaifu..sometime majaribu yanaweza kukufikisha hadi kwa dokta kwa ajili ya abortion ....

Ni uamuzi mmoja unatakiwa kuuchukua..ni kujiuliza..kama mtoto angezaliwa ghafla leo na kukuangalia usoni ungeamua nini...Kumpiga nyundo afe? ..No, ungeona aibu...Hili ni swali ambalo litakupa tabasamu kama ukishinda majaribu yaani siku ile atakapozaliwa mtoto .. Unamwagalia usoni..unamwona hana makosa.. unamwona anakutegemea wewe kwa kila kitu.. utamwona so beautiful na utajisifu kwa uamuzi na utasahau kwa muda changamoto za uko mbele!

Mtaongea mengi...lakini kwa wale ambao hawajapitia hiyo experience.. mjifunze kuwa jasiri.. ni wakati wa majaribu sana..ila mwishoni yanalipa.. Kila mtoto ana uzuri wake..Yes, they are always beautiful, innocent and it's true..they always looks like angels!

Ni hayo tu..BTW..apologies .Lizzy..sikujibu swali nimezunguka mbuyu..
 
hakuna mimba ya bahati mbaya bali ni uzembe wa wanawake.
Sikubali na kauli hii maana kutokutumia kondomu sio kitu pekee kinachoweza kumfanya mwanamke apate mimba isiyopangwa.
Mwanamume hausiki na maswala ya mimba hapa ni lazima ieleweke, mwenye uwezo wa kupokea au kutokupata mimba ni mwanamke, huu ndio ukweli wenyewe.
Na mwenye uwezo wa kumsababisha mwanamke apate mimba ni mwanaume, basi nafikiri masuala haya yanamhusu. Kwa sababu mizunguko ya wanawake si always regular, inawezekana kabisa mwanamke hajui ni stage gani hasa aliyopo katika mzunguko wake. Ndio maana ni bora kwa wanaotaka kupunguza uwezekano wa kupata mimba isiyotarajiwa watumie kinga mara zote. Kama mke wa mwanaume akipata mimba bila kupanga, badala ya kumlaumu mwanaumke tu, mwanaume pia alaumiwe kwani hakuwa akivaa kondomu alipofanya tendo la ndoa (unless mwanamke alimdanganya akisema wako safe wakati hawako kabisa).
On a side note: Kondomu haina "kazi kuu", kuzuia maradhi na mimba yote mbili ni kazi yake.
 
Kumbuka sio jukumu la mwanamume kujuwa kwamba leo mwanamke yupo kwenye period gani
And who says that? Kama mwanaume anataka kuwa na uhakika zaidi mimba haitapatikana, anaweza kumwuliza mke wake kuhusu mzunguko wake ili aweze kumkumbusha kama mke akisahau. Yeye ndiye atakayekuwa baba ya yule mtoto asiyetakiwa kama mimba ikipatikana bila kupanga, basi ni jukumu yake pia kufanya chochote awezacho asikutane na hali hii ya kuwa na mtoto asiyetakiwa.
 
Sikubali na kauli hii maana kutokutumia kondomu sio kitu pekee kinachoweza kumfanya mwanamke apate mimba isiyopangwa. Na mwenye uwezo wa kumsababisha mwanamke apate mimba ni mwanaume, basi nafikiri masuala haya yanamhusu. Maadam mizunguko ya wanawake si always regular, inawezekana kabisa mwanamke hajui ni stage gani hasa aliyopo katika mzunguko wake. Ndio maana ni bora kwa wanaotaka kupunguza uwezekano wa kupata mimba isiyotarajiwa watumie kinga mara zote. Kama mke wa mwanaume akipata mimba bila kupanga, badala ya kumlaumu mwanaumke tu, mwanaume pia alaumiwe kwani hakuwa akivaa kondomu alipofanya tendo la ndoa (unless mwanamke alimdanganya akisema wako safe wakati hawako kabisa). On a side note: Kondomu haina "kazi kuu", kuzuia maradhi na mimba yote mbili ni kazi yake.
Wewe somo la Biology limekupita kushoto, haihitajiki kuwa na degree kujuwa kwamba mwanamke ana siku zake za kupata mimba na hata mimba ya mtoto wa kiume ina siku zake maalum. au hujui maana ya x na y? wewe wa wapi?
 
How to Prevent Pregnancy Using Calendar Method

How to prevent pregnancy using calendar method is another birth control method every couple should know about. Calendar method has been proven to prevent pregnancy if done right.

Calendar method is recording the days of menstruation as well as the days a female is fertile the most. With that, calendar method is indeed another natural way of preventing pregnancy since you are not taking any pills nor using any devices when having contact with partner.

How to do the Calendar Method

  • First day. Whenever you have your period, of course this is for women, you have to take note of the very first day of your menstrual cycle.
  • Subtract 18 days. After taking note of the first day of your cycle, you have to remember the shortest span of your menstrual cycle then subtract 18 from the total length of that cycle. So if your normal menstrual cycle 28 days then 28 days minus 18 days equals 10 days. It means you are fertile from day 1 up to the 10th day.
 
Wewe somo la Biology limekupita kushoto, haihitajiki kuwa na degree kujuwa kwamba mwanamke ana siku zake za kupata mimba na hata mimba ya mtoto wa kiume ina siku zake maalum. au hujui maana ya x na y? wewe wa wapi?
Kwani niliipinga kauli iliyo kwenye bold katika post yangu? Uninukuu basi maana sioni lini au wapi nilipofanya hivi. Nilichosema ni kwamba mizunguko ya mwanamke si regular siku zote, kwa hiyo mwanamke anaweza kusuppose ni lini fertility period yake itaanza (kwa kutumia the calender method for example), lakini hawezi kujua akiwa na uhakika wa asilimia 100. Ndio sababu method hiyo ina failure rate. Na ndio maana nikasema, kwa sababu wapenzi wawili hubeba jukumu ya kuzuia mimba isiyopangwa, mume anapaswa kuvaa kondomu kuongeza uwezekano wa mke yake kutopata mimba. Ikiwa akichagua pleasure over security kwa kutokuvaa kondomu, alaumiwe pia basi kwani kuna uwezekano mimba isingalipatikana kama asingalifanya uamuzi huo.
 
Back
Top Bottom