MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,562
MJ1...MKWE pale juu ..
Kwasababu tu mtu anamzaa mtoto kwa kulazimika (kwasababu yoyote ile) haina maana kwamba hajapanga kuwa nae.Tofauti na yule ambae anaamua kubaki nae tangu mwanzo ni kwamba huyu wa kulazimika anakua HAJAKUBALIKA...HATAKIKANI...HAHITAJIKI ila amepangwa.
Kitendo cha mtu kubaki na mimba miezi 9 huku akijua kwamba haitayeyuka basi anapanga kua na mtoto even though ni katika mazingira ya kulazimika zaidi.
Na sio wote wanaobeba mimba miezi yote tisa wanakuwa wamepanga mydia: Kuna wale wanaokuwa wanatamani kuitoa but may be wanagundua when it is too late kuitoa (Si nasikia kuna mwisho wa risks); kuna wanaojaribu na kukuta imegoma kutoka ........mtaani kuna usemi kuwa mimba ya mtoto wa kiume huwa ni ngumu sana kutoka; au wengine wanakwambia ukoo wetu hatutoagi mimba na ukiitoa ya kwetu lazimma ikuondoe na wewe au inagoma. Sasa huyu analazimika kuzaa kwa kuwa alijaribu kluitoa ikashindikana! au mie nachanganya madawa?