Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

Sikulifuta Azimio la Arusha - Mwinyi

Lidumu Azimio!

Ili iweje wakati lilikuwa tamko tu na wala haikuwa sheria tena ni la wana CCM tu na wala sio sisi wote. Ni uvivu wa kufikiri kudhani litatufaa. Halikusaidia chochote na halitaweza kusaidia binadamu yeyote duniani. It was really unresearched declaration.
 
Mhh! Mkuu unajua sikuzote huwa halaumiwi 'nyoka' bali hulaumiwa aliyeingia Msituni!!
 
Ili iweje wakati lilikuwa tamko tu na wala haikuwa sheria tena ni la wana CCM tu na wala sio sisi wote. Ni uvivu wa kufikiri kudhani litatufaa. Halikusaidia chochote na halitaweza kusaidia binadamu yeyote duniani. It was really unresearched declaration.

Life is not about avoiding the storm, it is about learning to dance in the rain. Kitendo cha Mwinyi ni kama cha katoto kanakoogopa kwenda shule kwa kuogopa umande bila kufikiria gharama ya ujinga. Tulipanda wakati wa Mwinyi, tukavuna wakati wa Mkapa na hivi sasa tuko mezani wakati wa Kikwete, tunakula. Ni ajabu kweli kweli kwa Mwinyi kujitokeza wakati huu na kudai tulichovuna si kile tulichopanda, yeye akiwa kiongozi. Kama ni machungu awe tayari kuyameza na katu hatutamruhusu kuyatema - alilikoroga na sasa awe tayari kulinywa.
 
Ujamaa was the concept that formed the basis of Julius Nyerere's social and economic development policies in Tanzania after Tanganyika gained independence from Britain in 1961 and its union with Zanzibar to form Tanzania in 1964. In 1967, President Nyerere published his development blueprint, which was titled the Arusha Declaration, in which Nyerere pointed out the need for an African model of development and that formed the basis of African socialism. Ujamaa comes from the Swahili word for extended family or familyhood and is distinguished by several key characteristics, namely that a person becomes a person through the people or community.

Nyerere used the Preventive Detention Act to brutally lock up people at will and victims numbered in thousands. The government transferred people to new collective farms by giving them promises that later turned out to be false. Others were forced, for instance, by burning their villages. Armed police and military were used in population transfers. The economy collapsed and most of the population was close to starving to death. The nation survived only on foreign food.

Ujamaa was dismantled when Nyerere gave up power to Ali Hassan Mwinyi in 1985
 
Ujamaa was the concept that formed the basis of Julius Nyerere's social and economic development policies in Tanzania after Tanganyika gained independence from Britain in 1961 and its union with Zanzibar to form Tanzania in 1964. In 1967, President Nyerere published his development blueprint, which was titled the Arusha Declaration, in which Nyerere pointed out the need for an African model of development and that formed the basis of African socialism. Ujamaa comes from the Swahili word for extended family or familyhood and is distinguished by several key characteristics, namely that a person becomes a person through the people or community.

Nyerere used the Preventive Detention Act to brutally lock up people at will and victims numbered in thousands.

Oh yeah; what is going at Gitmo? do you really believe "thousands" were detained? can somebody just give the first 50.

The government transferred people to new collective farms by giving them promises that later turned out to be false. Others were forced, for instance, by burning their villages. Armed police and military were used in population transfers. The economy collapsed and most of the population was close to starving to death. The nation survived only on foreign food.

Really.. and some people believe this.

Ujamaa was dismantled when Nyerere gave up power to Ali Hassan Mwinyi in 1985

and what followed capitalism?
 
WIKIPEDIA.....

Ujamaa was the concept that formed the basis of Julius Nyerere's social and economic development policies in Tanzania after Tanganyika gained independence from Britain in 1961 and its union with Zanzibar to form Tanzania in 1964. In 1967, President Nyerere published his development blueprint, which was titled the Arusha Declaration, in which Nyerere pointed out the need for an African model of development and that formed the basis of African socialism. Ujamaa comes from the Swahili word for extended family or familyhood and is distinguished by several key characteristics, namely that a person becomes a person through the people or community.

Nyerere used the Preventive Detention Act to brutally lock up people at will and victims numbered in thousands. The government transferred people to new collective farms by giving them promises that later turned out to be false. Others were forced, for instance, by burning their villages. Armed police and military were used in population transfers.[1] The economy collapsed and most of the population was close to starving to death. The nation survived only on foreign food.

Ujamaa was dismantled when Nyerere gave up power to Ali Hassan Mwinyi in 1985
 
Mkuu safari,
Hivi kweli unajua unachozungumza..Unaponukuu toka wiki pedia unafahamu kwamba unanukuu mawazo ya mtu mmoja binafsi?.. je unajua kwamba hata wewe sasa hivi unaweza kuingia wikipedioa ukaandika unayoyataka kuhusu Nyerere, Mwinyi, Mkapa na hata mimi Mkandara ukanipa uwaziri mkuu wa Tanzania?...
Na jinsi nchi yetu inavyo fail leo kiuchumi (kama hujui) Je, tuulaani pia Ubepari au?..
 
Mh! huyu Gtmo vipi tena et thousands were detained! na jamaa yake safari ni safari please tuacheni tupumzike kwa amani mwatuletea mambo ya wikipedia!
 
WIKIPEDIA.....

Ujamaa was the concept that formed the basis of Julius Nyerere's social and economic development policies in Tanzania after Tanganyika gained independence from Britain in 1961 and its union with Zanzibar to form Tanzania in 1964. In 1967, President Nyerere published his development blueprint, which was titled the Arusha Declaration, in which Nyerere pointed out the need for an African model of development and that formed the basis of African socialism. Ujamaa comes from the Swahili word for extended family or familyhood and is distinguished by several key characteristics, namely that a person becomes a person through the people or community.

Nyerere used the Preventive Detention Act to brutally lock up people at will and victims numbered in thousands. The government transferred people to new collective farms by giving them promises that later turned out to be false. Others were forced, for instance, by burning their villages. Armed police and military were used in population transfers.[1] The economy collapsed and most of the population was close to starving to death. The nation survived only on foreign food.

Ujamaa was dismantled when Nyerere gave up power to Ali Hassan Mwinyi in 1985

I know...ndio maana nikaweka wazi...ili watu wasipotoshwe...na tuweze kujadili kwa upana...Nyerere wa an institution anh human as well Mwanakijiji...
 
Safari,
Mkuu tatizo lako hukuwepo wakati ule ama ulikuwa bado unavaa nepi (yaani mtoto mdogo) hivyo unaandikwa unavyosimuliwa...ati, a person becomes a person through the people community..Huyu ndo mdudu gani?..haters jamani duh!
 
Mnaolilia azimio la Arusha mnalijua nje ndani au mnaimba kama kasuku mkiwa? msingi mkuu ulikuwa ni kujitegemea, rejeeni miaka 5 kabla ya Mwinyi kuingia (1980-1985)Taifa lilikuwa kwenye mstari wa ujamaa??kama mpaka dawa ya meno, viberiti, sabuni n.k havikupatikana hata kwa mwenye pesa azimio lilikuwa na maana ipi? kama Nyerere aliweza kuingilia Bunge kupinga kuundwa serikali ya Tanganyika kweli alishindwa kuingilia CC ya CCM, eti hakujua hata agenda ya cc-ccm pamoja na uwepo wa akina Butiku na Kaduma kwenye mkutano huo.

Azimio lilikufa siku nyingi pale tulipoanza ku POLITISIZE ECONOMY while others ECONOMIZE THEIR POLITICS, vyama vya ushirika wakapewa makada badala ya wataalam wa ushirika,even in1985 Nyerere anaondoka Taifa lilikuwa ICU, kilichofanyika 1992 ni mazishi lakini azimio lilikufa longtime, kama tuli sign SAP ya IMF tulikuwa kweli na azimio?AZIMIO LA ARUSHA NA UCHUMI WA KIJAMAA HAVITENGAMANI waliua uchumi wa kijamaa ndo chinjachinja wa azimio msiwakabe waloshiriki mazishi. Walio uwa mashirika ya umma si walifanya hayo chini ya Nyerere, Mwinyi & Mkapa sasa iweje kengele avikwe mmoja, waliohujumu ujamaa mpaka taifa likose huduma za msingi kama suruali,sabuni ni MZEE RUKSA KWELI???

Eti hata mzee Butiku analilia AZIMIO LA ARUSHA wakati kila hatua ya kuliua (AKIWA MKUU WA UTUMISHI WA UMMA PALE IKULU) mpaka mazishi yake alihudhuria ZNZ, bt 2day anatoa kilio cha 'KWIKWI' kuliomboleza AZIMIO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Rais Mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, amesema Azimio la Arusha halijafutwa kama watu wengi wanavyodhani. Mwinyi alitoa kauli hiyo jana jijini Dar es Salaam, wakati wa uzinduzi wa Benki ya Biashara ya Ukombozi, inayomilikiwa na Kanisa Katoliki.

***

Ujumbe kwa Mwinyi:

Ningependa kukumkumbusha Mheshimiwa Mwinyi kile alichosema Mwal. Nyerere baada ya Azimia la Zanzibar, kwamba "Wale wenye akili tukatambua Azimio la Arusha limeshafutwa".

Basi Mheshimiwa Mwinyi, kumbuka unapotoa kauli sizizo na msingi kama hiyo hapo juu wapo watu na akili zao wanaokusikiliza, kama alivyosema Mwalimu Nyerere. Kama huna cha kuongea afadhali ukae kimya na kufurahia pension yako. Kuna mengi uliburuzwa kufanya na wenye pesa, ambayo ni bora kwetu tukayasahau na kuganga yaliyopo, kwa sababu kama kuna kiongozi aliyetengeneza msingi wa ufisadi Tanzania basi ni wewe Mwinyi. Uliharibu misingi ya Azimio la Arusha kufikia hatua watu kuona elimu haina maana tena, bali kuwa mfanya biashara fisadi na wa tenda hewa. Uliua heshima yote ya kuwa mfanyakazi wa serikali na mashirika yake na kufanya wafanyabisahara, hasa wahindi, waonekane watu bora sana nchini. Ukaua heshima ya Ikulu, ya ofisi za Wizara, ya mamlaka za vyombo vya serikali, ukakuza mamlaka na utu wa pesa, tofauti kabisa na misingi ya Azimio la Arusha.

Ukatudanganyia "economy liberalization" wakati hasa policy yako ilikuwa "ufisadi liberalization".

Leo hii unathubutu kusema hukuua Azimio la Arusha!!! Hiki ni kichefuchefu kibaya zaidi ya cha mimba changa.

Mwinyi huna la kutuambia Watanzania, na tunakustahi sana, huenda usivyostahili.

AZIMIO LINGEKUWEPO JF ISINGEKUWEPO, kwa sie freedom fighter JF IS BETTER THAN ARUSHA DECLARATION
 
Mnaolilia azimio la Arusha mnalijua nje ndani au mnaimba kama kasuku mkiwa? msingi mkuu ulikuwa ni kujitegemea, rejeeni miaka 5 kabla ya Mwinyi kuingia (1980-1985)Taifa lilikuwa kwenye mstari wa ujamaa??kama mpaka dawa ya meno, viberiti, sabuni n.k havikupatikana hata kwa mwenye pesa azimio lilikuwa na maana ipi? kama Nyerere aliweza kuingilia Bunge kupinga kuundwa serikali ya Tanganyika kweli alishindwa kuingilia CC ya CCM, eti hakujua hata agenda ya cc-ccm pamoja na uwepo wa akina Butiku na Kaduma kwenye mkutano huo.

Azimio lilikufa siku nyingi pale tulipoanza ku POLITISIZE ECONOMY while others ECONOMIZE THEIR POLITICS, vyama vya ushirika wakapewa makada badala ya wataalam wa ushirika,even in1985 Nyerere anaondoka Taifa lilikuwa ICU, kilichofanyika 1992 ni mazishi lakini azimio lilikufa longtime, kama tuli sign SAP ya IMF tulikuwa kweli na azimio?AZIMIO LA ARUSHA NA UCHUMI WA KIJAMAA HAVITENGAMANI waliua uchumi wa kijamaa ndo chinjachinja wa azimio msiwakabe waloshiriki mazishi. Walio uwa mashirika ya umma si walifanya hayo chini ya Nyerere, Mwinyi & Mkapa sasa iweje kengele avikwe mmoja, waliohujumu ujamaa mpaka taifa likose huduma za msingi kama suruali,sabuni ni MZEE RUKSA KWELI???

Eti hata mzee Butiku analilia AZIMIO LA ARUSHA wakati kila hatua ya kuliua (AKIWA MKUU WA UTUMISHI WA UMMA PALE IKULU) mpaka mazishi yake alihudhuria ZNZ, bt 2day anatoa kilio cha 'KWIKWI' kuliomboleza AZIMIO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Mkuu Songoro wanaolilia Azimio si wajinga na wanareflect on the present kwa kuchukua yale mema tuliyoyaacha nyuma.
Ni dhahiri kwamba kwa kulisigina Azimio si wengi walitarajia haya tunayoyaona leo.

Ni kweli miaka ya mwisho ya ule ujamaa mkavu mkavu mambo yalikuwa mabaya, tena mabaya sana kiuchumi.

Hata hivyo kulikuwepo na many externa influential forces zilizo cheza wakati huo.

Tanzania ilikuwa haikopesheki hata na nchi za kijamaa zenyewe, inflation ilikuwa inakimbia na kupaa balaa, uzalishaji mali haukuwa na tija na serikali ilikuwa na mashirika yaliyo uza hadi viwembe.

Structural adjustment ya uchumi wetu ilikuwa muhimu ili tuweze kuingia katika uchumi unaoeleweka na vile vile ku-tap potential ya private enterprises.

Tatizo letu, kwa upeo mdogo, tulifikiri Azimio kama Azimio ni la kulitupilia mbali.

Mwinyi mwenyewe alisema tumefungua madirisha ndani ya serikali na chama tawala na wameingia walanguzi, mafisadi, profiteers na hata wadhulumaji.

Chama kilikuwa cha wakulima na wafanya kazi, leo mkulima na mfanyakazi kugombea chochote ndani ya chama tawala ni kichekesho-nani atakusikiliza bila nguvu ya pesa.

Kikubwa kinachotesa sasa hivi ni UKOSEFU WA MAADILI na DIRA iliyodhahirikatiaka mustakabali ya kule tuendako
 
Mnaolilia azimio la Arusha mnalijua nje ndani au mnaimba kama kasuku mkiwa? msingi mkuu ulikuwa ni kujitegemea, rejeeni miaka 5 kabla ya Mwinyi kuingia (1980-1985)Taifa lilikuwa kwenye mstari wa ujamaa??kama mpaka dawa ya meno, viberiti, sabuni n.k havikupatikana hata kwa mwenye pesa azimio lilikuwa na maana ipi? kama Nyerere aliweza kuingilia Bunge kupinga kuundwa serikali ya Tanganyika kweli alishindwa kuingilia CC ya CCM, eti hakujua hata agenda ya cc-ccm pamoja na uwepo wa akina Butiku na Kaduma kwenye mkutano huo.

Azimio lilikufa siku nyingi pale tulipoanza ku POLITISIZE ECONOMY while others ECONOMIZE THEIR POLITICS, vyama vya ushirika wakapewa makada badala ya wataalam wa ushirika,even in1985 Nyerere anaondoka Taifa lilikuwa ICU, kilichofanyika 1992 ni mazishi lakini azimio lilikufa longtime, kama tuli sign SAP ya IMF tulikuwa kweli na azimio?AZIMIO LA ARUSHA NA UCHUMI WA KIJAMAA HAVITENGAMANI waliua uchumi wa kijamaa ndo chinjachinja wa azimio msiwakabe waloshiriki mazishi. Walio uwa mashirika ya umma si walifanya hayo chini ya Nyerere, Mwinyi & Mkapa sasa iweje kengele avikwe mmoja, waliohujumu ujamaa mpaka taifa likose huduma za msingi kama suruali,sabuni ni MZEE RUKSA KWELI???

Eti hata mzee Butiku analilia AZIMIO LA ARUSHA wakati kila hatua ya kuliua (AKIWA MKUU WA UTUMISHI WA UMMA PALE IKULU) mpaka mazishi yake alihudhuria ZNZ, bt 2day anatoa kilio cha 'KWIKWI' kuliomboleza AZIMIO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Unaweza kuwa una hoja ya msingi lakini unachanganya mambo mengi kwenye jambo moja.....Mwinyi anasema hakulifuta azimio la Arusha, wewe unadhani nani aliliua?.. au unaamini bado lipo?
 
Mnaolilia azimio la Arusha mnalijua nje ndani au mnaimba kama kasuku mkiwa? msingi mkuu ulikuwa ni kujitegemea, rejeeni miaka 5 kabla ya Mwinyi kuingia (1980-1985)Taifa lilikuwa kwenye mstari wa ujamaa??kama mpaka dawa ya meno, viberiti, sabuni n.k havikupatikana hata kwa mwenye pesa azimio lilikuwa na maana ipi? kama Nyerere aliweza kuingilia Bunge kupinga kuundwa serikali ya Tanganyika kweli alishindwa kuingilia CC ya CCM, eti hakujua hata agenda ya cc-ccm pamoja na uwepo wa akina Butiku na Kaduma kwenye mkutano huo.

Azimio lilikufa siku nyingi pale tulipoanza ku POLITISIZE ECONOMY while others ECONOMIZE THEIR POLITICS, vyama vya ushirika wakapewa makada badala ya wataalam wa ushirika,even in1985 Nyerere anaondoka Taifa lilikuwa ICU, kilichofanyika 1992 ni mazishi lakini azimio lilikufa longtime, kama tuli sign SAP ya IMF tulikuwa kweli na azimio?AZIMIO LA ARUSHA NA UCHUMI WA KIJAMAA HAVITENGAMANI waliua uchumi wa kijamaa ndo chinjachinja wa azimio msiwakabe waloshiriki mazishi. Walio uwa mashirika ya umma si walifanya hayo chini ya Nyerere, Mwinyi & Mkapa sasa iweje kengele avikwe mmoja, waliohujumu ujamaa mpaka taifa likose huduma za msingi kama suruali,sabuni ni MZEE RUKSA KWELI???

Eti hata mzee Butiku analilia AZIMIO LA ARUSHA wakati kila hatua ya kuliua (AKIWA MKUU WA UTUMISHI WA UMMA PALE IKULU) mpaka mazishi yake alihudhuria ZNZ, bt 2day anatoa kilio cha 'KWIKWI' kuliomboleza AZIMIO!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Najaribu kutafuta picha ya hii motion mkuu,

Miaka 20 ya Azimio la Zanzibar imeshuhudia kupwaya kwa demokrasia na mkataba kati ya watawala na watawaliwa unaotaka watawala watawale kwa ridhaa ya wanachi. Kupwaya kwa mkataba huo kunathibitishwa na kauli za viongozi kama "wavivu wa kufikiri" au "wale majani" kwa sababu tu ya kuhoji hoja za viongozi na Bunge kukosa meno. Miaka 20 ya azimio la Zanzibar limeshuhudia kutoweka kwa miiko ya uongozi na kufanya fedha na utajiri kuwa kigezo cha kupata au kubakia katika uongozi.

Sasa huwezi kutenganisha utajiri na uongozi kwa kuwa fedha inanunua uongozi na uongozi unanunua fedha na utajiri. Leo ni nadra kuwa na kiongozi asiyetajiri. Sasa wanasiasa ni kati ya matajiri wakubwa katika jamii. Fungate kati ya fedha na siasa imehamisha utawala kutoka kwa watu kwenda kwa matajiri wenye fedha chafu, wanaoweza kufadhili uchaguzi na kuingiza viongozi madarakani kwa nguvu ya fedha badala ya ridhaa ya watu.

Miaka 20 ya Azimio la Zanzibar imeshuhudia Taifa kutekwa nyara na kikundi kidogo cha "wasomi" wajanja lakini wenye nguvu kutokana na kujishirikisha kwao na mitaji ya kimataifa na mafisadi mbalimbali.

Ni kikundi hiki kinachoingia mikataba mibovu ya uwekezaji kwa kutanguliza mbele maslahi binafsi. Ni kikundi hiki kilichopania kuangamiza uhuru wa vyombo vya habari ili kiweze kula kimya kimya bila kuanikwa hadharani.

Ni kikundi hiki kinacholigawa Bunge kuwa na "hoja ya wapinzani" na "hoja ya chama tawala" ili wabunge wasiseme kwa sauti moja katika kutetea maslahi ya wananchi au katika kutokomeza ufisadi.

Ni kikundi hiki kinachotuambia nchi yetu inafuata sera ya ujamaa na kujitegemea wakati kinatuchezesha ngoma kwa mdundo wa kibepari. Ni kikundi hiki kinachofurahia na kudumu katika kashfa kama kitendo cha "ushujaa" badala ya kuziona kuwa ni jambo la aibu.

Miaka 20 ya Azimio la Zanzibar imeshuhudia wabunge kuruhusiwa kuwa wenyeviti au wajumbe wa bodi za taasisi za umma. Zamani hawakuruhusiwa kwa dhana sahihi kwamba wasingeweza kuhoji bungeni utendaji kazi wa taasisi wanazoziongoza. Mtu huwezi kujichoma kisu mwenyewe.

Tumeshuhudia wabunge kuteuliwa kuwa wakuu wa mikoa, kinyume na dhana ya utawala bora juu ya "mgawanyo" wa madaraka kwa kuzingatia mihimili mitatu Bunge, Utawala na Mahakama.

Kwa mfano, hivi karibuni Serikali imetiliana mkataba wa miaka 25 na kampuni ya Petrobras ya Brazil kwa shughuli ya kutafuta mafuta katika Bahari ya Hindi. Tunaelezwa kati ya miaka hiyo 25 minane ya kwanza itakuwa ni kwa ajiri ya kupata taarifa za kijiolojia, kifizikia na kikemia.

Miaka minane itakuwa kwa ajili ya kuendeleza utafiti na uchimbaji wa visima, kama kampuni hiyo itagundua mafuta itatengenezewa mkataba wa miaka 25 ya uzalishaji ya kuanza kulipa kodi.

Hatuhitaji kukumbushwa yaliyotokea kwa mikataba ya madini. Kipindi chote cha miaka nane ya utafiti na uchimbaji visima cha nini kama si historia ya mikataba ya kiporaji ya madini kujirudia? Nani atathibitisha kwamba hawavuni mafuta?

Kinachokera zaidi ni ule usiri katika mikataba hiyo kana kwamba wananchi hawana haki ya kuelewa jinsi utajiri wa nchi yao unavyotumika.

Taarifa zinasema tayari kuna mikataba mingine kama huo na makampuni mengine 18 ya utafiti wa mafuta nchini na wakati huo huo mazungumzo yamekamilika na kampuni nyingine mbili za Statoil ya Norway na Tullow Oil ya Uingereza.

Miaka 20 ya azimio la Zanzibar limeshuhudia kuporomoka kwa uzalendo. Wananchi wamekatishwa tama na tabia, mwenendo na vitendo vya wanaojiona wenye nchi zaidi, wenye meno zaidi ya kufaidi matunda ya uhuru.
 
Kizazi chetu kitasutwa baadaye kwa haya yanayojiri sasa.
Sisi ndio wa kulaumiwa kwa maana tunaona tatizo lakini tuna-negotiate na tatizo badala ya kulitatua...
 
Mkuu inakera kupita kiasi,
halafu wanakuja na hoja nyepesi nyepesi za kutupaka mafuta ili tuendelee kujenga imani kwao wakati wanajua wanachokifanya hawataki kijulikane ilihali wanasema ni kwa maslahi ya Taifa.

Ndani ya Azimio la Arusha hakuna msmbo ys kitoto kama tunayoshuhudia watawala wetu wakiyafanya leo....
 
Back
Top Bottom