Gamba la Chuma
JF-Expert Member
- Feb 11, 2012
- 1,243
- 346
Wanaojua mtujulishe
Na mimi pia ni mmoja wao.
imehairishwa mpaka mweziwa 9
Kuna mtu kasema umeonekana Kondoa!
Mwezi umeliwa na jua kwa taarifa zilizotufikia hivi punde!
Ngoja Answar Sunna waje watuambie. Kama Answar wanafunga kesho, basi na BAKWATA tunafunga keshokutwa.