Mayo bakari
Member
- Aug 13, 2011
- 10
- 0
Acha kuandika usivyovijua! naamini hufahamu lolote kuhusu hiyo aya! kaa kimya..
Duniani kuna mwezi mmoja tu kama umeonekana uarabuni basi na Tanzania inabidi kuwa sikukuu, mwezi siyo lazima uonekane Tanzania. Fuata link hiyo hapo chini.
[FONT=".HelveticaNeueUI"]http://english.alarabiya.net/en/News/2014/07/27/Reports-of-Shawwal-moon-being-spotted.html[/FONT]
Safi sana mkuu kwa link yenye manufaa na hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa siyo huu uswahiliswahili wa Shaban Simba.
We kama so mwislamu inakuhusu nn? unafikir sikukuu za kiislam ndo km zile za kwenu za kukaa vikaon mkapanga kama harusi?
Shukrani Mkuu
Duniani kuna mwezi mmoja tu kama umeonekana uarabuni basi na Tanzania inabidi kuwa sikukuu, mwezi siyo lazima uonekane Tanzania. Fuata link hiyo hapo chini.
[FONT=".HelveticaNeueUI"]http://english.alarabiya.net/en/News/2014/07/27/Reports-of-Shawwal-moon-being-spotted.html[/FONT]
Duniani kuna mwezi mmoja tu kama umeonekana uarabuni basi na Tanzania inabidi kuwa sikukuu, mwezi siyo lazima uonekane Tanzania. Fuata link hiyo hapo chini.
[FONT=".HelveticaNeueUI"]http://english.alarabiya.net/en/News/2014/07/27/Reports-of-Shawwal-moon-being-spotted.html[/FONT]
bakwata wehu
BAK, kwani mie nimesema duniani kuna miezi mitatu? Nimesema sikukuu kubwa za Kiislam zinaongozwa kwa kuandama kwa mwezi.
Duniani kuna mwezi mmoja tu kama umeonekana uarabuni basi na Tanzania inabidi kuwa sikukuu, mwezi siyo lazima uonekane Tanzania. Fuata link hiyo hapo chini.
[FONT=.HelveticaNeueUI]http://english.alarabiya.net/en/News/2014/07/27/Reports-of-Shawwal-moon-being-spotted.html[/FONT]
Tatizo BAKWATA wako kimaslahi zaidi.