Sikukuu ya Idd 2014 ni lini?

Sikukuu ya Idd 2014 ni lini?

Hapa msikiti wa jirani sijui ni sunni hawa, maana wametangaza kuwa mwezi umeonekana na ni sikukuu.
 
Mufti mkuu wa Tanzania (Sheikh Issa Shaban bin Simba) asema mwezi haujaonekana sehemu zote nchini. Kesho waislam wote waendelee na swaumu na keshokutwa ndo swala ya Eid itafanyika. Source: TBC 8pm news.
Inshaalah bora uvumilivu kuliko kuharibu swaumu kwa masaa machache yaliyosalia
 
Acheni kuuhangaisha mwezi. Kila mara mwezi,hata wenyewe unachoka jamani. Alafu hata mkichinja hamuukaribishi,mnakula wenyewe.
 
Yaani mnategemea Mwezi, Kwanini Msimuulize Allah? Kwani Allah na Mwezi nani ni ABKAR?

KUMBE MWEZI NDIYE MOLA MLEZI ANAYEABUDIWA NA WAISLAMU!

Q6:77 SURAT AL - AN-A'AM
Alipo uona mwezi unachomoza alisema: Huyu ndiye Mola Mlezi wangu. Ulipotua asema:Kama Mola Mlezi wangu hakuniongoa, nitakuwa katika kaumu walio potea.

HII NDIYO SIRI YA ILE NYOTA NA MWEZI ILIYO JUU YA KILA MSIKITI!

"ALLAHU AKBAR"

Sasa Mwezi kuchagua siku ya Kufungua. Tuusubiri Mwezi.

----- lako
 
Kwanza najipa pole kwa kuwa mi ni miongoni mwa watu ambao walikua wanatamani loooong weekend kwamba j3 iwe sikukuu lakini imekua ndivyo sivyo sababu mwezi haujaonekana na kesho kazini tena.. Sasa katika kusikitika kwangu nikajiuliza swali ambalo mtu anaweza ona la kijinga...ila nauliza kwa nia njema kwamba hivi haiwezitokea mabadiliko ya dunia na mwezi ukaingia mitini tusiuone kama inavyotarajiwa na badala yake ukaonekana mwakani kwa mfano? Nini kina control hii mambo mpaka inakua kama inavyotarajiwa? Na ikitokewa usionekane ndugu zetu mfungo utaendelea mpaka siku mwezi uonekane hata kama ni mwakani?
 
Kisheria iddi ni kesho j3 ila kibakwata iddi ni keshokutwa j4.
 
Sijui kwanini huwa wana kiherehere cha kutangaza haraka haraka badala ya kusubiri kusikia toka nchi nyingine duniani.

Kisheria iddi ni kesho j3 ila kibakwata iddi ni keshokutwa j4.
 
Sijui kwanini huwa wana kiherehere cha kutangaza haraka haraka badala ya kusubiri kusikia toka nchi nyingine duniani.


Nadhani sijakuelewa mkuu, hebu nifafanulie japo kidogo.
 
Sijui kwanini hawatengenezi calendar ili tukaachana na huo mfumo wa kizamani wa kusubiri kuuchungulia mwezi angani. Dunia ya leo kuna technology ya kutosha tu kuweza kulijua hili kwa accuracy ya 100%. Waislamu wa dhehebu la Shia wao wanafuata calendar na wao Eid ni kesho.

The moon is the guiding light of ALL Islamic rituals & festivals. You can't change this practice.
 
Back
Top Bottom