Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,959
Halafu na wewe unajiita great thinker..mh kazi ipo,haya karibu JF
We GT ungetaja basi tarehe
Halafu na wewe unajiita great thinker..mh kazi ipo,haya karibu JF
We GT ungetaja basi tarehe
ka sredi kanaenda spidi haka...
Utwamasiku nkamu?!
naomba kuuliza wakuu anayefaham sikukuu ya ID ni lini? anijulishe asanteni sana
Mweeh!!!
Kuswigha fiki gwakukaajha?
IDD ni kesho INSHAALLAH!!!!
Tununu itolo...
Ikisu hiki mma abhandu balina mahelu naloli...
Mahelu gakindile. Kyala atutule
Bakanagho amahala muntu abha.Tununu itolo...
Ikisu hiki mma abhandu balina mahelu naloli...
Jamani IDD ni lini maana tunashindwa kusafiri kikazi.
Sikukuu ya ID sijawahi isikia au ndo inaanza mwaka huu, na wanaohusika ni watu ganinaomba kuuliza wakuu anayefaham sikukuu ya ID ni lini? anijulishe asanteni sana
Natumia uzoefu tu yani kama wale wengine hawaja fungua leo basi Iddi itakua jumanne make naona kama huwa hawapendi kufungua pamojanaomba kuuliza wakuu anayefaham sikukuu ya ID ni lini? anijulishe asanteni sana
Inaweza kuwa kesho Jumatatu, lakinibJumanne ni lazima kwani siku 30 za kufunga kwa waliowengi ni kesho, na hairuhusiwi kuzidisha siku30 kwa Sheria za Kiislam.
wafanyakazi wako busy leo kuulizia kama mwezi umeandama ili waendelee kuvuta mashuka asubuh ya kesho. Kwa anaejua atupe updates ili tujue kwa kuwa namimi ni mmoja wao.