Sikukuu gani watu wanafanya ngono zaidi?

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,093
Nimekuwa nataka sana kufanya kautafiti kadogo kujua kati ya sikukuu hizi, xmas, mwaka mpya au valentine ni ipi ambayo watu wanafnya ngono sana (Ngono zembe)

Nataka timu ya kushirikiana nayo kufanya utafiti huu.......any volunteer?
 
Zunguka na questionnaire guest. . .
Haya ni maoni ya kutolewa kwenye team, u wanna be in?
Kwenye ma guest hatuendi bhana................
Habari ya siku nyingi kwanza? Hope watu hawajaniibia........nlivyokuwa sipo
 
Sikukuu ambayo watoto wa geti kali wanaachiwa huru ndiyo inaongoza kwa ngono zembe.
 
Siku ya vunja jungu namaanisha siku moja kabla ya kuanza mfungo wa ramadhani
 
Haya ni maoni ya kutolewa kwenye team, u wanna be in?
Kwenye ma guest hatuendi bhana................
Habari ya siku nyingi kwanza? Hope watu hawajaniibia........nlivyokuwa sipo
No I don't!!

Uibiwe wapii. . .wamehamia tu hapa mpaka urudi rasmi!!Lolz
 
Sikuku inayo ongoza ni mwaka mpya.....Sababu huwa haigemei upande wowote wa dini na umri wote husherehekea mpaka ma beck 3.

Sikukuu inayofuata ni X-mass kiukweli wakristo ni wengi zaidi ya waislam vile vile hata hao waislam wachache nao hujumuika.

Inayo fuata ni idd hii nayo watu hungonoka sana.
Valentine day huwa haina mashiko yoyote zaidi ya kufanyika kwa tabaka fulan tu la watu.Imekaa kimalaya zaidi mtoto wa geti kali na house girl hawawezi kuenjoy.
Ni hayo tu mkuu kwa mtizamo wangu.
 
Nimeipenda hii analysis
 
Back
Top Bottom