Kondomu na P-2 kuuzika kwa kasi msimu wa sikukuu nani alaumiwe

Loading failed

JF-Expert Member
Sep 14, 2023
1,945
5,849
Msimu huu wa siku kuu kumezuka kadesturi cha watu kutumia kama njia moja wapo ya kufanya ngono na kulewa kupita kiasi, sii wanaume , sii wanawake, sii wavulana na wala sii wasicha ngono na pombe wameweka kipaumbele sana msimu huu wa sikukuu ikifika nyakati za jioni na usiku unachoka kabisa

Mbaya zaidi ukienda kwa wanachuo au kama unakaa jirani na maeneo yanayo zunguka chuo au kumbi za starehe, pub , gest house na maeneo yanayofanana nahaya kinachoendelea huko ni hatari sana, utaona wanawake wakiwa wamevalia vinguo vya kutamanisha , wanaume wakiwa na vibukta au mavazi mengine huku wakitembea pair pair wakiihiza kula maisha.

Hivyo hivyo utashuhudia group la wanawake wakijitoa out kwaajili ya kupata chochote kitu na baadhi ya wanaume wakitembea magroup group kuwinda moja ya watoto wazuri ili wakafanye nao zinaa kukidhi tamaa za mioyo yao. Barabarani mida ya jioni utajionea mabinti na vijana wakizunguka huko na huko kutafuta kitoweo cha kuzini nacho kwa namna atakayopenda yeye.

Wanawake wanadanganywa wanaleweshwa sana kupita kiasi namwishowe kuingiliwa kimwili pasi na ridha zao na yote haya wanafanya wanazini siku takatifu badala ya kutafakari matendo mema na kuachana na matendo mabaya hali inayopelekea mauzo ya kondom na P-2 kuongezeka nakushika kasi sana kuliko kawaida je, ni nani alaumiwe Kati ya mwanaume na mwanamke au viongozi wetu wa dini.?
 
Ngoja kwanza mletà mada P-2 inasaidia nini?

Na wauzaji wa condom na P-2 inabidi wakulipe.
 
CCM ya Bitozo. Mademu hawana hela wandanga tu
 
Baada ya wiki mbili vipima mimba vitaongoza kununuliwa pamoja na Azuma.
 
Back
Top Bottom