Sikujua kama ni mke wa mtu

Sikujua kama ni mke wa mtu

siku za mwizi arobaini ipo siku mumewe atajua atakachokufanya itabaki historia kwa vile umegundua hilo tafuta mwanamke mwingine oa kabisa ili huyo mke wa mtu asijisogeze tena
 
ebanaa eeeh sisi wanaume nani katuroga utaanzaje kumtongoza binti mtaani bila kumjua vyema,unageuza mtaa bar au dangulo la wanawake..jesus christ

Daah ndugu uchunguzi upi binti wa miaka 26 unamuuliza anakwambia yupo kwao ana rafiki yake kila nikimdadisi ananiambia yaleyale....sometimes mambo ni mengi bro inabidi tuchunguze mazungumzo na hisia issue za kupita pita kuuliza majirani muda haupo mkuu.
 
Kwa mkasa huo umeshakuwa mtu mzima na unahitaji kufanya maamuzi ya kiutu uzima.

Kwanza hama mtaa halafu mengine tutakushauri!
 
Nahofia uhai wako na kudharilishwa

Tafuta wako ujilie vyako Bila Shaka umenisoma

Achana naee

Daaah umenitia hapo kwenye kutolewa uhai....nitaufanyia kazi ni ushauri wako Mkuu
 
Wanajamvi,

Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa kukaa nae chini kumpa yanayonisibu moyoni.Kama kawaida akaniambia usijali nipe muda nikatafakari, haikupita wiki mrembo akatinga kwangu bila cha kupiga simu wala nini,mara TANESCO nao umeme wakakata.

Basi tangu siku hiyo maisha yakaendelea, kilichonishtua zaidi kwa mrembo huyu kila nikimuomba tutwange selfie japo tujione tunavyolandana hataki, siku moja akanipigia simu akaniambia kuanzia nisimpigie simu usiku eti babake yupo nyumbani hivyo tuwasiliane mchana au usiku yeye ndio ataanza nitafuta.

Siku mbili baadae mida ya saa 4 usiku mrembo akaja kwangu akiwa simpo tu nusu kulala nusu kuamka kufika ndani akadai amemiss dyudyu ikabidi nimpe haki yake wakati anaondoka ikabidi nimuulize umetokaje kwenu ili hali baba yupo akaniambia amelewa sana hajitambui daah nikachukulia poa tu.Baada ya wiki siku moja mrembo akaja kwangu lakini siku hiyo hakuwa na furaha sana baada ya kumdadisi kwa maswali ikabidi anipe ukweli ulioupasua moyo wangu.

Eti yule alieniambia ni baba kumbe ni mume wake ila siku nyingi akai nyumbani kwa mwezi anarudi baada ya siku 24 toka huko mgodini anakofanya kazi na hata akiwa Off yeye ni pombe kwenda mbele na kutanua na marafiki Off ikiisha anasepa hivyo ananiomba nisimuache sababu mimi ndio faraja yake,akaniambia mumewe hana muda nae hivyo uwepo wangu kwake unaongeza thamani ya maisha.

Kwa kweli niliumia sana maana kichwani nilishaanza kuamini nimempata msichana ambae atakuwa mke wangu! Wanajamvi ebu nishaurini nifanyeje nahisi nikumuacha roho itaniuma nikiona mshkaji mwingine anagegeda maana nilichogundua huyu mrembo yupo desperate na ndoa yake, bt nafsi yangu haipo tayari kuendelea kuzini na mke wa mtu nahitaji msichana ambae yupo single ili tuje kuwa mume na mke baadae lakini mwili umegoma kumuacha mrembo huyu maana tuliyoyafanya sitamani kuyamiss ila jamaa (Chapombe) akijua kama mie ndio nagegeda papuchi aliyoitolea mahari itakuwaje?

Ushauri wenu tafadhari najua hii ni hatari niame mtaa sijui?

Mo11 ameshakutahadharisha
 
Eti nkimuacha roho itaniuma nkiona mshkaji mwingine anamgegeda. Wee mke wa mtu roho ikuume vipi? Mbona haiukuumi mumewe akiwa ana mgegeda.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom