Sikujua kama ni mke wa mtu

Sikujua kama ni mke wa mtu

Mke wa mtu sumu, na ukumbuke asali haionjwi mara1 ...utakamatwa utolewe jicho bure
 
Kaa ukijua siku moja utafungua mlango itakuwa ni kumewe na ndio utakuwa mwisho wako labda wa maisha au kuumizwa vibaya au kuingiliwa kinyume.

Mke wa mtu ni sumu, anza kumkimbia hakuna mwanaume asiyejua mke anapobadilika kama kutouliza maswali ya wivu na tabia.

Asikudanganye utafatwa au atawafumania.waji jiokoe
 
mrejesho tafadhali" bado tu mume wake hajangundua akakutumia mabaunsa .........
 
Ha ha ha ha hamna kitu mkuu daah wadau wamenitisha sana nimeanza kuwithdraw maana yasijenikuta na kumtengenezea faida Shigongo kwa kuuza story za mie kuliwa 0713
 
Acha haraka sana kutoka sasa. Kila mtu kaja kwa siku yake na ataondoka kwa siku yake duniani, hukumjua wala kudhania utakuja kuonana nae. Kuna janga laja. Acha majuto ni mjukuu
 
We achana nae mkuu, utapata unayemhitaji. what if na wewe siku moja ukushaoa ukagungua kuna mtu anamega mkeo? maumivu utakayoyapata ndio hayo jamaa atayapata akigondua unamega mke wake. run fast before its too late
 
Wanajamvi,

Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa kukaa nae chini kumpa yanayonisibu moyoni.Kama kawaida akaniambia usijali nipe muda nikatafakari, haikupita wiki mrembo akatinga kwangu bila cha kupiga simu wala nini,mara TANESCO nao umeme wakakata.

Basi tangu siku hiyo maisha yakaendelea, kilichonishtua zaidi kwa mrembo huyu kila nikimuomba tutwange selfie japo tujione tunavyolandana hataki, siku moja akanipigia simu akaniambia kuanzia nisimpigie simu usiku eti babake yupo nyumbani hivyo tuwasiliane mchana au usiku yeye ndio ataanza nitafuta.

Siku mbili baadae mida ya saa 4 usiku mrembo akaja kwangu akiwa simpo tu nusu kulala nusu kuamka kufika ndani akadai amemiss dyudyu ikabidi nimpe haki yake wakati anaondoka ikabidi nimuulize umetokaje kwenu ili hali baba yupo akaniambia amelewa sana hajitambui daah nikachukulia poa tu.Baada ya wiki siku moja mrembo akaja kwangu lakini siku hiyo hakuwa na furaha sana baada ya kumdadisi kwa maswali ikabidi anipe ukweli ulioupasua moyo wangu.

Eti yule alieniambia ni baba kumbe ni mume wake ila siku nyingi akai nyumbani kwa mwezi anarudi baada ya siku 24 toka huko mgodini anakofanya kazi na hata akiwa Off yeye ni pombe kwenda mbele na kutanua na marafiki Off ikiisha anasepa hivyo ananiomba nisimuache sababu mimi ndio faraja yake,akaniambia mumewe hana muda nae hivyo uwepo wangu kwake unaongeza thamani ya maisha.

Kwa kweli niliumia sana maana kichwani nilishaanza kuamini nimempata msichana ambae atakuwa mke wangu! Wanajamvi ebu nishaurini nifanyeje nahisi nikumuacha roho itaniuma nikiona mshkaji mwingine anagegeda maana nilichogundua huyu mrembo yupo desperate na ndoa yake, bt nafsi yangu haipo tayari kuendelea kuzini na mke wa mtu nahitaji msichana ambae yupo single ili tuje kuwa mume na mke baadae lakini mwili umegoma kumuacha mrembo huyu maana tuliyoyafanya sitamani kuyamiss ila jamaa (Chapombe) akijua kama mie ndio nagegeda papuchi aliyoitolea mahari itakuwaje?

Ushauri wenu tafadhari najua hii ni hatari niame mtaa sijui?

Bwana miye nilifanyiwa mkasa fulani na demu mmoja mpaka nikazaa nae wakati ni mke wa mtu niikuja kutambua baada ya kuzaa nae mtoto toka siku hiyo nikamfukuza na al7zidi kuja,hatimayakw nilimwita mmewe nikampa mkasa mzima,sasa cha ajabu yule mwanamme akanijibu usijali kwani nilimtuma mimi azae nje kwakuwa miye sizai
Niliduwaa nikamwambia basi aondoje
 
Wanajamvi,

Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa kukaa nae chini kumpa yanayonisibu moyoni.Kama kawaida akaniambia usijali nipe muda nikatafakari, haikupita wiki mrembo akatinga kwangu bila cha kupiga simu wala nini,mara TANESCO nao umeme wakakata.

Basi tangu siku hiyo maisha yakaendelea, kilichonishtua zaidi kwa mrembo huyu kila nikimuomba tutwange selfie japo tujione tunavyolandana hataki, siku moja akanipigia simu akaniambia kuanzia nisimpigie simu usiku eti babake yupo nyumbani hivyo tuwasiliane mchana au usiku yeye ndio ataanza nitafuta.

Siku mbili baadae mida ya saa 4 usiku mrembo akaja kwangu akiwa simpo tu nusu kulala nusu kuamka kufika ndani akadai amemiss dyudyu ikabidi nimpe haki yake wakati anaondoka ikabidi nimuulize umetokaje kwenu ili hali baba yupo akaniambia amelewa sana hajitambui daah nikachukulia poa tu.Baada ya wiki siku moja mrembo akaja kwangu lakini siku hiyo hakuwa na furaha sana baada ya kumdadisi kwa maswali ikabidi anipe ukweli ulioupasua moyo wangu.

Eti yule alieniambia ni baba kumbe ni mume wake ila siku nyingi akai nyumbani kwa mwezi anarudi baada ya siku 24 toka huko mgodini anakofanya kazi na hata akiwa Off yeye ni pombe kwenda mbele na kutanua na marafiki Off ikiisha anasepa hivyo ananiomba nisimuache sababu mimi ndio faraja yake,akaniambia mumewe hana muda nae hivyo uwepo wangu kwake unaongeza thamani ya maisha.

Kwa kweli niliumia sana maana kichwani nilishaanza kuamini nimempata msichana ambae atakuwa mke wangu! Wanajamvi ebu nishaurini nifanyeje nahisi nikumuacha roho itaniuma nikiona mshkaji mwingine anagegeda maana nilichogundua huyu mrembo yupo desperate na ndoa yake, bt nafsi yangu haipo tayari kuendelea kuzini na mke wa mtu nahitaji msichana ambae yupo single ili tuje kuwa mume na mke baadae lakini mwili umegoma kumuacha mrembo huyu maana tuliyoyafanya sitamani kuyamiss ila jamaa (Chapombe) akijua kama mie ndio nagegeda papuchi aliyoitolea mahari itakuwaje?

Ushauri wenu tafadhari najua hii ni hatari niame mtaa sijui?

Kwa hili unahitaji ushauri pia? Aisee utoto mzurii...
 
Andaa ana mafuta ya baby care kabisa ghetto kwako, Usije ukachubuliwa sana siku za mbeleni.
 
Roster za migodini mbaya sana, kama wote wawili hamjatulia basi tegemea magonjwa ya zinaa ndani na kulea watoto ambao sio wako..imagine 6 weeks upo mgodini na 3 weeks off..hizo week 6 umemuacha mkeo mzuri na kila siku anatongozwa na mababa huko mtaani..asipokuwa imara kidini au kiimani basi mwanamke huyu ni raisi sana kuanza mahusiano mapya
 
kama unaogopa mwambie huyo mdada ani-pm ili niendelee kumkuna papuchi yake
 
Tena mimi nasema endelea tu kufariji dada wa watu,huku ukitafuta mwenzi wako wa maisha.
Kwa sisi wanauchumi hii kwangu ni fursa, acha niandae business plan ya kampuni ya watu walio desperate.
 
Duuu we ni nouma mie nitakuwa PRO wa hiyo kampuni.
 
kiongozi akili yako sijui iko wapi....!!!unataka ushauriwe nini hasa---namna ya kuliwa 0713 usiumie au kutembezwa uchi mtaani....eti una wivu kabisa na mke wa mtu.....wacha utoto braza.....jamaa kesha kufahamu anaunda mkakati wa hiyo NNYA YAKO.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom