Sikujua kama ni mke wa mtu

Sikujua kama ni mke wa mtu

Saa kama jamaa anarudi baada ya siku 24, kwann akukataze kumpigia simu usiku, wakata mtu hayupo!

Anza story upya

Inaweza kuwa chai hii mkuu...tena bila tangawizi afu kwenye kombe la vati
 
Sasa unajua. Tumia busara, usiulize majibu wala kutafuta sababu kama wewe ni muungwana kweli. Ma binti wazuri wasiolewa wapo wengi.
 
Wanajamvi,

Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa kukaa nae chini kumpa yanayonisibu moyoni.Kama kawaida akaniambia usijali nipe muda nikatafakari, haikupita wiki mrembo akatinga kwangu bila cha kupiga simu wala nini,mara TANESCO nao umeme wakakata.

Basi tangu siku hiyo maisha yakaendelea, kilichonishtua zaidi kwa mrembo huyu kila nikimuomba tutwange selfie japo tujione tunavyolandana hataki, siku moja akanipigia simu akaniambia kuanzia nisimpigie simu usiku eti babake yupo nyumbani hivyo tuwasiliane mchana au usiku yeye ndio ataanza nitafuta.

Siku mbili baadae mida ya saa 4 usiku mrembo akaja kwangu akiwa simpo tu nusu kulala nusu kuamka kufika ndani akadai amemiss dyudyu ikabidi nimpe haki yake wakati anaondoka ikabidi nimuulize umetokaje kwenu ili hali baba yupo akaniambia amelewa sana hajitambui daah nikachukulia poa tu.Baada ya wiki siku moja mrembo akaja kwangu lakini siku hiyo hakuwa na furaha sana baada ya kumdadisi kwa maswali ikabidi anipe ukweli ulioupasua moyo wangu.

Eti yule alieniambia ni baba kumbe ni mume wake ila siku nyingi akai nyumbani kwa mwezi anarudi baada ya siku 24 toka huko mgodini anakofanya kazi na hata akiwa Off yeye ni pombe kwenda mbele na kutanua na marafiki Off ikiisha anasepa hivyo ananiomba nisimuache sababu mimi ndio faraja yake,akaniambia mumewe hana muda nae hivyo uwepo wangu kwake unaongeza thamani ya maisha.

Kwa kweli niliumia sana maana kichwani nilishaanza kuamini nimempata msichana ambae atakuwa mke wangu! Wanajamvi ebu nishaurini nifanyeje nahisi nikumuacha roho itaniuma nikiona mshkaji mwingine anagegeda maana nilichogundua huyu mrembo yupo desperate na ndoa yake, bt nafsi yangu haipo tayari kuendelea kuzini na mke wa mtu nahitaji msichana ambae yupo single ili tuje kuwa mume na mke baadae lakini mwili umegoma kumuacha mrembo huyu maana tuliyoyafanya sitamani kuyamiss ila jamaa (Chapombe) akijua kama mie ndio nagegeda papuchi aliyoitolea mahari itakuwaje?

Ushauri wenu tafadhari najua hii ni hatari niame mtaa sijui?
Mke wa mtu ni sumu!
Achana nae akashughulikie matatizo ya mumewe mwambie kamwe wewe hutoweza kuwa suluhu ya matatizo ya mumewe maana yeye kaolewa!

Kaa nae mbali...
 
Hilo nalo sasa ni gumu kutokea patachimbika siku hiyo

Hayajakujuta ndio maana unaongea lugha za kwenye tamthilia. Hicho kiboga watu wanakila vizuri kama kuchovya kidole kwenye asali.
Huku kino kuna mbabe alifumaniwa mtu wa kwanza kumla kiboga alikuwa mtoto wa miaka 14.
 
Kuna jamaa aliingiziwa chelewa hapo mbele afu ikavunjwa vunjwa ikiwa ndani kisa mke wa mtu....endelea tu kubandua

Mueleze dogo maana anataka kubadilisha maumbile yake halisi.
Sio muda mrefu haja ndogo ataanza kuitolea chini ya kitovu.
 
Sasa baba kama umeshajua na uliapa hutokaa ukafanya hicho kitendo basi mimi nakushauri bora uachane naye Mke wa mtu sumu
 
Majamaa ya migodini huwa yanapenda sifa sana nakuonea huruma siku toyo kama kumi hivi zitakapokua zmepaki home kwako kuja kukupa haki yako
 
Mmmh nahisi tatizo letu linafanana kwakwel yani najua kabisa ninachofanya siyo sahihi na nikisema naacha naapa kabisa ila akinipigia simu tu narudi hatua kazaa nyuma mungu tu anipe ujasiri wa kumuacha uyu kijana nitafurahi mno.
 
Wanajamvi,

Toka ndani ya moyo wangu niliapa sitokuja kuzini na mke wa mtu,miezi 6 iliyopita nilikutana na binti moja mtaani hapo nilipohamia nilitokea kumpenda sana ndipo siku moja nikafanikiwa kukaa nae chini kumpa yanayonisibu moyoni.Kama kawaida akaniambia usijali nipe muda nikatafakari, haikupita wiki mrembo akatinga kwangu bila cha kupiga simu wala nini,mara TANESCO nao umeme wakakata.

Basi tangu siku hiyo maisha yakaendelea, kilichonishtua zaidi kwa mrembo huyu kila nikimuomba tutwange selfie japo tujione tunavyolandana hataki, siku moja akanipigia simu akaniambia kuanzia nisimpigie simu usiku eti babake yupo nyumbani hivyo tuwasiliane mchana au usiku yeye ndio ataanza nitafuta.

Siku mbili baadae mida ya saa 4 usiku mrembo akaja kwangu akiwa simpo tu nusu kulala nusu kuamka kufika ndani akadai amemiss dyudyu ikabidi nimpe haki yake wakati anaondoka ikabidi nimuulize umetokaje kwenu ili hali baba yupo akaniambia amelewa sana hajitambui daah nikachukulia poa tu.Baada ya wiki siku moja mrembo akaja kwangu lakini siku hiyo hakuwa na furaha sana baada ya kumdadisi kwa maswali ikabidi anipe ukweli ulioupasua moyo wangu.

Eti yule alieniambia ni baba kumbe ni mume wake ila siku nyingi akai nyumbani kwa mwezi anarudi baada ya siku 24 toka huko mgodini anakofanya kazi na hata akiwa Off yeye ni pombe kwenda mbele na kutanua na marafiki Off ikiisha anasepa hivyo ananiomba nisimuache sababu mimi ndio faraja yake,akaniambia mumewe hana muda nae hivyo uwepo wangu kwake unaongeza thamani ya maisha.

Kwa kweli niliumia sana maana kichwani nilishaanza kuamini nimempata msichana ambae atakuwa mke wangu! Wanajamvi ebu nishaurini nifanyeje nahisi nikumuacha roho itaniuma nikiona mshkaji mwingine anagegeda maana nilichogundua huyu mrembo yupo desperate na ndoa yake, bt nafsi yangu haipo tayari kuendelea kuzini na mke wa mtu nahitaji msichana ambae yupo single ili tuje kuwa mume na mke baadae lakini mwili umegoma kumuacha mrembo huyu maana tuliyoyafanya sitamani kuyamiss ila jamaa (Chapombe) akijua kama mie ndio nagegeda papuchi aliyoitolea mahari itakuwaje?

Ushauri wenu tafadhari najua hii ni hatari niame mtaa sijui?

Mkuu hakuna ubaya wowote kujamiana na mke wa mtu. Kumbuka, ndoa can be both karaha na faraja na katika ndoa siyo kila ndoa imekamilika, yaani nyingi tu haswa hizi za zama za kidigitali ni fake. Utakuta mtu kaoa kwa mbinde katumia mamilioni ya nguvu kufanikisha ndoa yake, baada ya wiki tu anawaza nyumba ndogo na kumsaliti mkewe. Mkewe nyumbani anahitaji haki yake, jamaa hana muda naye. Sasa mwanamke kama huyu akikujia kuomba umsugue kuna kosa gani? Kingine cha kuzingatia Zaidi ni huyo jamaa yake wa migodini....hawa watu ni mafuska sana na ni wachepukaji waliobobea kwenye fani ya uchangudoa wa kiume. Kama una dada, usikubali aolewe na mchimba migodi au mmiliki migodi, hawa watu wanaongoza kwa ngoma.
 
Kaka naomba muache mara 1 na katubu, omba Mungu akupe aliye single
 
Back
Top Bottom